matukio ya utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu awataja wanaodaiwa kumteka Abdul Nondo, "Wakimpiga Nondo mmoja wanazaliwa 100, Hatutoogopa"

    Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amewataja watu waliomteka na kumtesa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo, akisema kuwa licha ya mateso hayo, chama hakitogopa wala kutojiweka pembeni. Akiwa katika mkutano hapo jana (Disemba 3), Shaibu alisema kwamba "wakimpiga...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Orodha halisi ya nchi 90 zinazoongoza kwa matukio ya utekaji nyara, kuumizwa, na mauaji kulingana na data mbalimbali za kimataifa za uhalifu

    Kulingana na RIPOTI KUTOKA OFFICE OF HIGH COMMISSIONER FOR HUMAN RIGHTS (OHCHR)ambayo ni ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kukuza na kulinda haki za binadamu duniani ikiwa inasimamia utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa haki za binadamu na na kusaidia nchi wanachama katika kuimarisha...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

    Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka." Pia soma ~ Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nondo azungumzia kutekwa kwake. Nina hofu sana na maisha yangu

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Tanzania kwa tukio la hivi karibuni, la kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ya chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo, Abdul Nondo ambapo kwa sasa akiwa amelazwa katika hospitali ya Agha Khan, jijini Dar es Salaam, baada ya kutekwa na...
  5. Don Gorgon

    JamiiForums Tanzania Press Conference ya ACT Wazalendo kuhusu kutekwa Abdul Nondo ilidhamiriwa kunyamazishwa?

    Nimetafuta sana press conference ya ACT Wazalendo waliyofanya jana jioni kuhusu ukamatwaji wa Abdul Nondo iliyoongozwa na kiongozi mmoja wa ACT. Nimebahatika kuipata ikiwa imerushwa na ICON TV tu. Labda mtanisaidia kama kuna pahala inapatikana kwa sauti yenye ubora. Lakini nilichoona ni kipaza...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi: Gari la kituo cha Gogoni halihusiki na utekaji wa Abdul Nondo

    Jeshi la Polisi limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai gari lililoegeshwa Kituo cha Polisi Gogoni limehusika na tukio la utekaji wa Abdul Omary Nondo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli leo alfajiri. Pia, Soma: Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Responded Kwa hali ilivyo ni muda wa kuwa na Tanzania Bureau of Investigation ambayo itakuwa inahusika na Uchunguzi pekee!

    Wakuu, Kiukweli tangu mwaka huu uanze kumekuwa na utitiri wa matukio ya mauaji na utekaji ambayo hakuna hata moja tumepatiwa majibu. Tukio likitokea, formula ni ile ile. Polisi watatoa "Statement" kwenye social media alafu mwishoni utakutana na sentesi ya UCHUNGUZI UNAENDELEA. Soma pia...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

    Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam. Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tuna uthibitisho na tunaamini Abdul Nondo yupo kwenye mikono ya vyombo vya dola

    Tamko la ACT Wazalendo kuhusu ukiukwaji wa Haki za Binadamu limetolewa leo katika mkutano na Waandishi wa Habari na Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi wa chama hicho, Mbarala Maharagande, leo Desemba 1, 2024 WANACHAMA WETU 200 WANAISHI PORINI KWA VITISHO...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawakumpa Abdul Nondo wito wa kufika Kituo cha Polisi kama wanamuhitaji kwa nia njema?

    Swali hilo linanifanya nianze kufikiri na kuamini kwa uhakika kuwa hawa sio Polisi wa kawaida bali hiki kinachoendelea ni matumizi mabaya ya ile sheria inayowapa watu wa usalama wa Taifa (TISS) haki ya kukamata watu huku wakiwa na kinga maalumu. Kama Polisi wapo, basi watakuwa wameshirikishwa...
  11. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu ==== UPDATE JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na...
  12. Inside10

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Janga la Kariakoo sio kubwa kama La utekaji

    “Juzi tumekuwa na janga pale Kariakoo, nchi imesimama kwa sababu ya janga la pale Kariakoo. Wote tumeguswa kwa ajili ya watu ambao tumetangaziwa 13 wamefariki, wale watu wamekufa wakati wanatafuta Maisha, wamekatishwa na kifusi kama Watanzania ni janga la kitaifa.” “Lakini iweje mtu...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanapokuja kukukamata bila utaratibu (kukuteka) ni bora wakuue mbele za watu kuliko wakuchukue, wakutese na wakuue mafichoni

    Kwema Wakuu! Nimeona clip ya Mwanaume mmoja àmbaye alikuwa anatekwa Mchana kweupe pee, mbele za Umma. Ikitokea upo katika Hali kama hiyo. Fanya utakachofanya, pigana utakavyopigana, jitahidi kadiri uwezavyo lakini Kamwe usiruhusu wakuchukue ukiwa mzima. Ni ufe au wakuue mbele za halaiki...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Utekaji yanaumiza na kutupa hofu Wananchi hasa tunapoona Wahusika hawapatikani, Serikali ifanye maamuzi magumu

    Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi inaanza kupotea. Mawazo hayo yamekuja baada ya kuona tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Jaribio la Utekaji wa Deogratius Tarimo: LHRC yahimiza uchunguzi wa haraka, jamii kutimiza wajibu wa kulinda uhai kila mtu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

    Salaam, Shalom! Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto. Kwa jicho la Umakini, yupo shujaa aliyetumia vizuri simu yake na kurekodi tukio Zima tena sauti zikisikika kabisa, hii Ina maana...
  17. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

    Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024. Ikionesha watu wakimteka Ndg. Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari. Taarifa ya Polisi. Tanzania waliyoitoa leo tar. 13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

    Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini. Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

    Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
  20. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

    Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X. Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo...
Back
Top Bottom