Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amemuomba Naibu waziri Mkuu Dr Biteko wafanye kila wawezalo kumaliza tatizo la watu kutekwa na Kuuawa
Dr Biteko anawakilisha Serikali kwenye mazishi ya Askofu Dr Sendoro wa Mwanga
Askofu Dr Malasusa amesema hali ni mbaya ikiwa ni pamoja na Ongezeko la ajali za...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania badala ya kulilaumu Jeshi la Polisi kuhusika na matukio ya utekaji na mauaji, ni vema wakajiuliza kwanini matukio hayo yanatokea kila inapokaribia wakati wa uchaguzi.
Waziri Mkuu amesema hayo leo Jumatatu Septemba 16, 2024 katika Baraza la Maulid...
Dr Samia Suluhu Hassan tokea alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli amekuwa akifanya kazi kubwa sana katika kuijenga Tanzania mpya huku akionyesha uwezo na ujasiri mkubwa katika kulinda maslahi ya taifa.
Rais anaijenga Tanzania mpya ya watu...
KATA ya Mzingani, Tanga, nyumbani kwa Ali Mohammed Kibao, ni eneo la tukio. Watu wanazomea, makofi yanapigwa na mayowe ya kushangilia. Ajabu, mkusanyiko ni wa msiba. Shughuli ni mazishi.
Ali ndiye kichwa cha habari cha msiba. Amefariki dunia. Mazingira ya kifo yanaogofya kupita kiasi. Ali...
Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani.
Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo...
Yupo Mzee Wasira, Majid Mjengwa, Hamadi Rashidi. Muongozaji ni Dkt. Ayub Rioba.
Karibuni sana
Updates....
Stephen Wasira
Rais Samia Suluhu Hassan amesema tufanye uchunguzi wa vitendo vya utekaji, nami nakubaliana naye kuwa tuchunguze. Na tukichunguza, Watanzania watatuuliza uchunguzi huo...
"Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza utekaji, kwa namna ambavyo tumeiona mahakama kuu inapuuzs utekaji, hivi kweli hiyo rai ya kumtaka...
Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho, na kwa sababu wao wamekataa kulifikisha mwisho, sisi tutawalazimisha walifikishe mwisho. Ili tufanikiwe hili, ndugu zangu Wanachadema tunahitaji kuwa kitu kimoja, kila mmoja wetu anapaswa kuwa bega la...
10 September 2024
Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania;
"Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
Nimeona teknolojia ya mtandao ikitumika kuwatambua mawakili kama wamesajiliwa kutoa huduma ya uwakili.
Nashauri Police wakamataji wote taarifa zao ziwekwe mtandaoni kwa maana ya Force Number, picha, Majina, Kituo anachofanyia kazi na kadhalika.
Hii itasaidia wakija kukamata mtu, watu wa karibu...
Habari ndungu zangu wana JamiiForums.
Ni matumaini yangu kuwa wana JamiiForums na watanzania wote popote mlipo mtakuwa mnaomboleza kifo cha ndugu yetu Ally kibao,
Taifa letu limefika mahali pabaya sana na halikufika hapa kwa bahati mbaya au kwa mda mfupi. Taifa letu limefika hapa sio kwa...
Nikiwa mwanachama wa kawaida wa CCM, najivunia sana historia na harakati za chama chetu tangu enzi za uhuru. Hata hivyo, naona kuna mambo yasiyo sawa yanayotokea hivi sasa, ambayo yanatia hofu kubwa kwa usalama wa raia nchini.
Tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Mzee Kibao na mfululizo wa...
Nchi yetu Ina maajabu mengi sana ,nilitegemea kuona tweet na posti nyingi tangia jana kutoka kwa wasanii wakipaza sauti juu ya Hali hii lakini nimeishia kuona Lady jaydee, zuchu na Idrisa tu angalau wamepiga kelele kukemea jambo hili ,kwa nini nyinyi wasanii hamjitambui ?
Nani amewaroga au...
Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofauti na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao.
Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza...
Kwa sasa ukitetea au kupaza Sauti juu ya kinachoendelea na wewe unakuwa kwenye Target List.
Mbunge mmoja wa viti Maalum alitoa hoja juu ya kukithiri watu kuuawa, kupotezwa, kutekwa na watoto wakiwemo. Lakini kwa Mshtuko Mkubwa Dr Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ww Tanzania...
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji.
Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana...
Salaam
Kama Hamad Yussuf Masauni akigoma kujiuzulu, Rais Samia itabidi afumbe macho atengue uteuzi wake sababu ni aibu kwa mtu anayejiita Muislam safi, watu wanapiga, wanategwa na kuuliwa lakini anakosa hata roho ya kusema pole.
Mheshimiwa Hamad M Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani
Kisiasa...
Watanzania
Salaam!
Hanari za watu:-
Kutekwa,
Kujeruhiwa,
Kuuawa, na
Kupotezwa
Zimekuwa za kawaida lakini madhara yake kwa familia za wahanga ni makubwa sana. Ikumbukwr kuwa wahanga hao wana familia zinazowategemea, ada, afya, malazi, Chakula nk nk. Kutoweka kwao ghafla kwa mipango ya kishetani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.