matokeo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wasichana wang’ara na kuwaburuta wavulana kwenye matokeo ya mitihani ya kuingia chuo kikuu

    Pili Mwinyi Katika kipindi cha kuanzia mwezi Juni wanafunzi wengi wanaojiandaa kuingia chuo kikuu wanakuwa wameshafanya mitihani yao ya kumaliza, na wengi wao wanakuwa wamepata matokeo ya mtihani. Kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo inaonekana kwamba maendeleo ya elimu kwa wanawake yanazidi...
  2. JamiiForums Tanzania Kutokana na matokeo haya, naweza kuapply chuo gani?

    Habarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani History-D Geography-D E language-E GS-S Je, kutokana na ufaulu wangu naweza kuapply chuo gan? Na coz ipi? Naomben msaada wenu tafadhari
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nikipeleka kuku chotara kijijini nitapata matokeo mazuri?

    Wakuu hivi kwa mazingira ya kijijini ambapo kipato cha wengi ni cha chini, kuku wa chotara wataweza kuboresha maisha ya mwanakijiji? Na kama sio hao, je ni kuku wa aina gani ni chaguo bora zaidi?
  4. JamiiForums Tanzania Mwenye matokeo haya anaweza kupata MD chuo gani?

    Jamani nina kamjomba kangu kamepata division 1.9 ya PCB. Yani Physics C, Chemistry C, Biology C, BAM D na GS C.ndoto zake ni kuwa daktari wa binadamu. So nimejaribu kupitia matokeo yao ya mwaka huu naona PCB wamefaulu sana hivyo naona ushindani utakua mkubwa hasa kwenye chuo kama muhimbili. So...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya Kidato cha Sita naombeni ushauri wenu

    Mm nimemaliza kidato Cha 6 mwaka 2022 kiuhalisia nimepataje matokeo mabaya yaan Division 3 ya 14 Combination EGM Economics D Geography E Mathematics E Ila na ndoto za kusoma Degree ya accounting ila kulinga na TCU siwez kusoma tena Naombeni ushauri wenu nirudie mtihani, niende diploma au...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

    Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi. Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje? Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka...
  7. JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Lyamungo wana division one 213 matokeo ya kidato cha sita 2022

  8. M

    JamiiForums Tanzania Shule 10 bora matokeo ya Kidato cha Sita: Zimo shule 7 za serikali. Wakongwe Marian Girls, Feza Boys, Kibaha Sekondari, Ilboru Sekondari watupwa mbali

    Kuna mabadiliko makubwa sana katika ushindani wa matokeo ya kidato cha sita. Wakongwe waliotesa kwa miaka mingi wamepigwa mweleka mkali wakiwemo Marian Girls, Feza boys, Marian boys, Feza boys, Kibaha sekondari, Uwata sekondari nk. Je tatizo ni nini? Mkeka huu hapa: Kemebos Sekondari, Kagera -...
  9. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kampa mimba mwanamke mtu mzima

    Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!. Mchizi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwanini nawe nakuomba usiyaamini Matokeo ya Jana ya Kidato cha Sita ya nchi nzima?

    1. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko. 2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia takwimu za matokeo kidato cha sita, somo la physics hali ni tete. Shida iko wapi?

    Somo la Physics, somo la Physics. Je, Tz hatuna walimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana? Nakumbuka mimi pia nlivyokua nafanya mtihani wa physics, kidato cha sita, niliteseka sana kwa kukutana na maswali ambayo sikujua hata nianzie wapi kusolve. Bado namkumbuka mwalimu wangu...
  12. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Machame girls, hakika Mmeng'aa Sana Matokeo ACSEE 2022,Marium na Stella mmeipaisha Serikali ya awamu ya 6

    Hongereni sana Machame girls, hakika Mmeng'aa Sana Matokeo ACSEE 2022, https://matokeo.necta.go.tz/acsee2022/index.htm
  13. JamiiForums Tanzania Wasichana kuwaburuza kaka zao ktk 10 bora za matokeo ya NECTA ni uwezo wao, wanawezeshwa kijinsia au wavulana wamepunguza bidii

    Orodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee 𝐖𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐢 𝟏𝟎 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐤𝐢𝐝𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐚 1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – St. Mary’s Mazinde Juu Tanga. 2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga. 3. Mhewa Charles Kamando (PCB) – Tabora Boys 4. Minaeli...
  14. JamiiForums Tanzania Inakuaje shule ya serikali inapata matokeo mazuri kama haya?

    Yani shule ya serikali haina division 4 wala zero? https://matokeo.necta.go.tz/acsee2022/results/s0129.htm
  15. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma Tahasusi ya PCM wazidi kuongoza kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita 2022

    .....
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

    Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki. Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Nguvu Ya Ukiri Inavyoweza Kuleta Matokeo Chanya Au Hasi Kwenye Maisha Ya Mtu

    "Yafueni majembe yenu yawe panga, na miundu yenu iwe mikuki; aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari", Yoe 3:10 SUV. Mtu aliyechoka sana kwa kukata tamaa au kwa kuchoka, mtu huyu anaweza kuinuliwa kwa kinywa chake mwenyewe, ama mtu huyu anaweza kuinuliwa na maneno yenye kumtia moyo. Ukiri wa mtu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vip kwa matokeo haya atapata kusoma mambo ya afya , au aende tu A level asome masomo ya art

    Civics B, History C, Geograqhy C, Kiswahili C, English C, Literature C, Biology D, CHEMISTRY D, PHYICS D, MATHEMATICS F.
  19. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kukumbukwa leo Simba kapasuliwa na Yanga Kirumba

    1. Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest Feisaaaaaaaaalll! 2. Nyoni kushindwa kuvaa vizuri hereni yake akahangaika mpaka refa akamuona na kumtoa nje wakati Simba ishapasuliwa muda huo 3. Simba kuwa mbovu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…