Mwanao anasoma lakini matokeo hayaridhishi?

Mwanao anasoma lakini matokeo hayaridhishi?

Joined
Jul 15, 2026
Posts
64
Reaction score
185
Huenda si kwamba hana uwezo. Wakati mwingine mwanafunzi anahitaji mwalimu anayemfuatilia kwa karibu, anayegundua changamoto zake na kumsaidia kuelewa masomo hatua kwa hatua.

Elite home tuition

Tunawasaidia wanafunzi ambao:

  • Hawafanyi vizuri kwenye masomo
  • Wanapata changamoto kwenye English, Mathematics au Science
  • Wanahitaji kuimarisha msingi wa masomo
  • Wanahitaji maandalizi ya mitihani
  • Wanahitaji kujenga confidence na uwezo wa kujifunza
  • Wanahitaji msaada wa karibu na ufuatiliaji wa maendeleo yao

Kwa mwanafunzi anayehitaji kuanza kutoka kwenye msingi kabisa, tunaanza naye hatua kwa hatua hadi aanze kuelewa, kujiamini na kufanya vizuri.

Tunatoa Home Tuition kwa wanafunzi wa Nursery, Primary, Secondary na Advanced Level, kwa mitaala ya Cambridge na NECTA.

Masomo yanafundishwa kulingana na mahitaji ya mwanafunzi.

Mwalimu anakuja nyumbani kwako kwa muda unaokufaa.

Mzazi, usisubiri mtoto afeli ndipo uanze kutafuta msaada. Msaada wa mapema unaweza kubadilisha kabisa uwezo, confidence na matokeo ya mwanao.

Wasiliana nasi leo kwa usajili na maelezo zaidi:

0743567169
WhatsApp/Call

ELITE HOME TUITION
Tunamjenga mwanafunzi kutoka kwenye changamoto hadi kwenye mafanikio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom