mateso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso

    "Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso. Sio kwamba mashabiki wanataka, hapana, wanajihami. Wanahepuka kadhia ya baadae. Kule kwa wenzetu kila tiketi ina seat number. Mageti yote pia yanafunguliwa na unaingia katika geti la jukwaa lako. Naona...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi jiandae kupita kwenye tanuru la mateso kama watangulizi wako, Nape na Polepole), baada ya zama za wahuni kupita

    Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe. Hivi sasa ni zamu ya Polepole...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tusisahau: Mateso, Kifo na Mateso ya Tundu Antipas Mughwai Lissu

    Habari za Wakati huu; Kwanza nianze kwa kusema tu kwamba kwa wale ambao jana walisahau basi jana ilikuwa ni Siku muhimu sana kwa historia ya nchi yetu.Kwa mujibu wa Taarifa za kihistoria Jana tarehe 7 ya mwezi wa Tisa ya mwaka 2017 ilikuwa ni siku ambayo kwa mara ya kwanza Mbunge wa bunge la...
  4. SIR MGAX

    JamiiForums Tanzania Binafsi ninapenda sana kunyoa kipara

    Heshima yenu wana JF Binafsi ninapenda sana kunyoa kipara,lakini changamoto kubwa ambayo huwa ninaipata japo si mara kwa mara ni maumivu na kuota kwa vipele upande wa kwenye kisogo. Je ni nini chanzo cha tatizo na ni njia gani ya kutatua tatizo hilo?
  5. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Hongera Jenerali Mabeyo, bila wewe tusingefika hapa

    Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mateso aliyepewa Mwenyekiti wa CHADEMA Makumbusho hawa watu wamebakiza kujenga gas Chambers

    Mzee mzima kama huyu anatekwa anafungwa macho anavuliwa nguo na kupigwa na kupigwa picha akiwa uchi Next time ni gas chamber tu
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuchoshwa na mateso ya Askari wa Maliasili, wananchi waamua kuchoma pori

    Wakuu, Wananchi wa Kijiji cha Rwamgasa, Wilaya ya Geita, wamechoma moto sehemu ya pori la akiba lililopo katika Kitongoji cha CCM wakipinga kile walichokiita uonevu na ukatili unaofanywa na askari wa Maliasili. Tukio hilo limeibuka baada ya watoto wawili kukutwa porini wakiwa wamepigwa na...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Nani anahusika na mateso ya Wapalestina huko Gaza?

    Tunafahamu ukweli kwamba kuna nchi barani Ulaya leo zenye idadi kubwa ya wahamiaji wa kiislamu Wakati mwingine, inaathiri sera za serikali zao kwa kuwakaribisha wahuni hao. Lakini hii haiwezi na haitaongoza Israeli kufanya maamzi ya kupelekeshwa na maamzi ya nchi zikiwa pokera waislamu kisha...
  9. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu, Dunia haina huruma, duniani unaishi kwa mateso na bado ukifa unaenda kuteseka, bora kuwa tajiri wa ushirikina

    Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
  10. Stability

    JamiiForums Tanzania Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe

    Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kupunguza aya mateso ya UDART waruhusu njia hizo kuwe na daladala

    Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
  12. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha na mafanikio ya binadamu

    "Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaofanikiwa kimaisha au kuwa viongozi hutokea maisha duni? Ni kwa sababu mateso huwafundisha kusimama bila kuegemea, kuvumilia bila kulalamika, na kutamani mafanikio kuliko usingizi."— Alloyce, P.R.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dhambi waliyoamua kuifanya baadhi ya waliokuwa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM kumtoa sadaka ya mateso Lissu, itaamua maisha yao badaye

    Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu akitoka gerezani atamkuta Heche kabaki peke yake kwenye Chama. Hapo ndipo watajua kuwa Mbowe alikuwa mwamba

    Sasa ndio mtajua kuwa Chadema ilijengwa na Mhe. Mbowe au Lissu. Gharika kubwa zaidi inakuja. hakuna atakaye salia, Katibu Mkuu, Kamati kuu, Bavicha, Bawacha, wazee wa CHADEMA wote watabwaga manyanga muda si mrefu. Atakaye enda gerezani kesho j.mosi 10/05/2025, asiache kumwambia ukweli chama...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nilivyo kutana na jini wa utajiri wa mateso

    H
  16. issac77

    JamiiForums Tanzania Mkuu Poor brain, mateso ya Mama wa Kambo hauko peke yako, tumeyapitia wengi

    Pole sana mkuu hauko peke Yako tumeyapitia wengi, mim nilikuwa nanyimwa maji ya kunawa uso Ile asubuhi kwenda shule kisa maji sikuyachota, Kuna siku shule walituma vipande vya Kuni asubuhi yake nikadokoa kimoja kisiri huwezi amini alinifata mpaka shule na kanga Moja kunipokonya ukuni...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wanapitia mateso yasiyomithilika

    Siwafahamu wahanga, lakini baada ya kusikiliza mathila yaliyowapata, nimejikuta nalengwalengwa na machozi! Kama mimi mwanaume, tena nisiye na ukaribu wowote na wahanga nimeumia hivi, watu wao wa karibu wapo katika hali gani? Wazazi wao wanateseka kwa kiasi gani? Fikiri jinsi wenzi wao...
  18. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mateso katika mabasi ya mwendokasi

    Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) jijini Dar es Salaam, hasa barabara ya Posta/Gerezani kwenda Kimara, uliwahi kuonekana kama suluhisho la uhakika kwa adha ya usafiri. Hata hivyo, hali halisi kwa sasa ni ya kusikitisha. Safari zimekuwa mateso, msongamano ni wa kutisha katika mabasi haya kiasi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere angelirekebisha Katiba hii, mateso yote haya yasingelikuwepo

    Alisema kabisa kwa kinywa chake kuwa katiba hii akitokea dictator ataumiza sana watu. Ndicho kinachotokea leo! https://youtu.be/br-LSD8AjSw
Back
Top Bottom