mateso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwangi afunguka mateso ya kikatili aliyofanyiwa Tanzania, adai ''Tuliambiwa tuvue nguo, tutambae na tuoshe damu''

    Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ametoa simulizi ya kushtua na isiyo na kificho kuhusu masaibu aliyoyapata akiwa kizuizini nchini Tanzania, akieleza jinsi alivyolazimishwa kuvua nguo, kutambaa na kuosha damu mwilini mwake, huku akidai kuwa aliteswa kikatili pamoja...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeshindwa kutimiza majukunu yake ndiyo maana inawatisha wananchi kwa mateso na Mauaji

    GT Kwa kiufupi sana tunaweza kusema CCM imesha fail watu hawana matumaini kabisa na hiki chama. Pamoja na utitiri wa machawa kama comedians, Wanamuziki na vyombo vya habari lakini bado hawaelewi kabisa. Pamoja na ukatili wa Magufuli watu walikaa kimya maana maendeleo yalikuwa yanaonekana...
  4. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waandishi wa habari wa vyombo rasmi niwaombe mtembelee kuripoti mateso kwenye ofisi za NIDA Ukonga, Mombasa

    Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa. Kama hatutapaza sauti tutaendelea na huu utaratibu ambao sielewi kama kweli kama nchi tumeshindwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA haiwalipi vibarua kwa wakati suala linalowapunguzia morari

    Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani). 1. Dawasa ina kawaida ya Kutumia Vibarua...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza :KANISA linakibali kuiambia Dunia, Mateso na Video haifai Tena, watafute Njia nyingine, Kanisa linapofanya hivo haliingilii Siasa.

    Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Yesu alisema mateso haya ni makubwa sana

    Bwana Yesu alipokuwa Gethsemane alisema,"Baba,kama ikiwezekana,sitaki kukinywa hiki kikombe cha mateso. Lakini Mapenzi yako yatimizwe,siyo utashi wangu.". Sasa hapa kuna ubishi kwamba hiyo haki ya kupiga kura kistaarabu Mamlaka iombwe au watu wanapaswa kuchakarika?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tafakari Ya Mateso ya Lisu Kwa Siku Hii Ya Ijumaa Kuu.

    Kumkamata Lisu, kumdhalilisha na kisha kumtengenezea kesi ya uhaini kwa sababu tu Tundu Lisu anapigania haki ya Watanzania wote, wakiwemo wanaCCM, na wasio na vyama, ili wakati wa uchaguzi kila anayetangazwa kuwa amechaguliwa kuwa kiongozi, awe amechaguliwa kweli, na ili watu wasiumizwe...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mateso matano yanayotesa watu wengi, kila mtu huyapitia kwa namna na jinsi yake, ni ngumu kuyakwepa

    MAHUSIANO - Kuna watu wanapigania sana mahusiano yao yasivunjike, kuna waliochoka na mahusiano wanatafuta mlango wa kutokea lakini hawauoni mlango wa kutoka, wengine wana kiu ya mahusiano wanautafuta mlango wa kuingilia lakini hawauoni, watu wanasalitiwa na kuachiwa vidonda vya milele, mtu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Cliniki ya walimu inayoendeshwa na CWT mateso kwa walimu

    Hii inajitokeza hapa Morogoro Mjini kwani wale wanaostahili kupata huduma hawapati ni waliochelewa ndio wanaopata huduma. Ni ubabaishaji mtupu, Yani mtu anafika saa 1 asubuhi na kupewa namba lkn hazifuatwi, wahusika chukueni hatua hili zoezi litawachafua
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, kagueni mahakama za mwanzo, wananchi wanateseka sana

    Mheshimiwa Jaji Mkuu, Shikamoo Baba yangu. Habari za uzima. Naamini Mungu ametuwezesha kuamka salama ili tuweze kuwatumikia wananchi wetu. Baba yetu, Mzee wetu — leo nimeona nikujuze tu kuhusu yanayoendelea kwenye mahakama za mwanzo. Mheshimiwa Jaji Mkuu, Mahakimu wa mahakama za mwanzo...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kugeuza elimu kuwa biashara, ni mateso kwa wazazi/walezi na wanafunzi.

    Asikwambie mtu watu wanataka A's na hela tu mengine mtajua wenyewe wazazi 1. watoto wanakalishwa madarasani kama wafungwa 2. wanakaririshwa midude hadi wanachanganyikiwa 3. watoto hawako huru, hawajifunzi vitu vya ziada nje ya masomo 4. wazazi wanteseka na ada ada ada hadi wanachanganyikiwa 5...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kumlazimisha mtu kutoa sadaka ya shukrani kwa kufiwa na mama yake aliemuuguza miaka 10 kwa cancer na stroke yenye mateso makali sio sawa

    Habari wadau Kuna familia imepata msiba wa mama yao. Mama huyo amefariki kwa mateso makali ya kuugua kwa zaidi ya miaka 10. Mama huyo alikuwa na cancer na Stroke pia. Familia imeuza mali zao karibu zote katika harakati za kumtibia mama yao na mateso ya kisaikolojia ya kuuguza wamepitia sana...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Papa anasema Trump kufanya deportation ni kuwafanyia mateso wahamiaji. Basi sawa baba, tuanze na wewe, waruhusu maelfu waje kwenye haya majengo yako

    Baba mwenyewe anapoishi pamezungushiwa ukuta
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania KERO Prof. Mkenda suala la chakula Shuleni, limekuwa mateso na mzigo kwa Wazazi / Walezi, bora kipangwe kiasi fulani cha fedha kwa wote

    Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa Wanafunzi, ambapo utaratibu ulivyo umekuwa kero kwa wengi wetu. Utaratibu ulivyo kwa sasa kila shule...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Igunga (Tabora) hadi Rungwe (Mbeya) ni mbovu, inatupa mateso tunaoitegemea

    Sisi wakazi wa Igunga ambao tumekuwa tukifanya shughuli zetu kutoka Wilayani hapa kueleke Mbeya tumekuwa tukikutana na changamoto kubwa ua ubovu wa Barabara. Kwanza kabisa kabla sijaingia katika hoja yangu ya msingi, huku vijiji vyetu vina changamoto kubwa ya Barabara kuingia kwenye vijiji...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Trump awaonea huruma mateso wanayopata wapalestina, aagiza misri na jordan kubadili sera zao na kuanza kuwahamishia wengi zaidi nchini mwao!

    Wadau hamjamboni nyote? Rais trump atoka maagizo mazito ya kiutendaji kwa nchi za Jordan na misri Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: January 26, 2025 By Agencies Today, 4:32 am US President Donald Trump says that Jordan and Egypt should take more Palestinians from Gaza, where...
  18. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Wadau, mnipe pole sana nmepata mateso makubwa leo baada ya vyakula vya kihindi

    Nipo India week ya pili sasa. Jana nimekaribishwa chakula chao kinaitwa Andra Chilli Chicken. Kina pilipili hatari na chapati nyepesi hivi nazo unachovya kwenye sauce ya pilipili. Nlipenda nikala maana mi ni mlaji sana wa pilipili mbuzi nikiwa Dar. Sasa issue ilikuja kwenye kupata choo. Kwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

    Inaumiza sana sana sana Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni kabla ya ndoa nikapoteza mchumba kwa ajari.. hili sitaki kulizungumzia) Kama wewe ni mfuatiliaji wa...
Back
Top Bottom