matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje masoko ya Lebanon yenye matatizo mengi hivi yana tiles ila yetu hayana!

    Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles! Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo?? Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
  2. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Huyu Member Anayejiita Chief Godlove ni mzima kweli au atakuwa na tatizo?

    Kila ninapokuwa nikiingia hapa Jukwaani ni lazima nitakutana na Uzi wa huyu jamaa Anayejiita Chief Godlove Nimekuwa nikilazimika kufungua nyuzi zake kwasababu nimekuwa nikiona mada zake zimekaa Kishambenga hasa kushambulia wanaume ambao yeye Kwa tafsiri yake amekuwa akiwaita "MASIKINI" Huyu...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula wana matatizo gani?

    Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati? Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini Watanzania hufurahia mtu akipatwa na matatizo au kuyumba kiuchumi au kutumbuliwa?

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi Lucas Mwashambwa nikiri kwa moyo wa dhati kabisa pasipo unafiki wa aina yoyote ile ya kuwa ni mtu ambaye hufurahia mafanikio ya mtu,kupanda kwa mtu kiuchumi,kupata mafanikio katika maeneo mbalimbali.mimi nikiona mtu wa karibu yangu au niliyekuwa namfahamu au kusoma...
  5. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Tujikwamue kwa fikra za maendeleo dhidi ya fikra za kuogopa matatizo

    Salaamu wanajamvi, Imekuwa ada kuanzisha hata kusajili vikundi vya kusaidiana mambo ya kijamii kama vile msiba na sherehe. Sio jambo baya kwa vile linakuza ushirikiano na ustawi wa jamii. Ila huwa najiuliza kwanini huwa tunatumia nguvu kubwa mno kuanzisha vikundi vya kuzikana na shughuli za...
  6. kipoma

    JamiiForums Tanzania Gari hizi zina matatizo gani? Watu wengi wanazikataa

  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi kama Serikali kutumia polisi wanataka matatizo ya wananchi wasikilizwe wapi?

    Vilio vya wananchi vimekuwa vingi sana mpaka wabunge wa CCM naona kama pale dodoma ni kujaza vyoo vya dodoma. wananchi ndio viongozi wao ila leo mpaka mawaziri wakiongea kwa kejeli kuwa wanajitka,hakuna kosa kwenye serikali kukosea,TRA siyo tatizo. ili litafikia mwisho kwa nchi zilizochoka...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Elvis Kamsoba ni mshambuliaji mrundi kamili wa kutatua matatizo ndani ya Simba

    Naunga mkono Simba kumsajili mshambuliaji wa Burundi Elvis Kamsoba, amemzidi vitu vingi sana yule striker wa USMA Alger Leonel Ateba Mbida. Kamsoba ana nguvu, namfananisha na marehemu Damian Kimti, mshambuliaji ambaye alileta changamoto kubwa enzi zile hasa kuhusu uraia wake hadi akafanikiwa...
  9. realMamy

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu cha Milele katika Dunia hii ikiwamo Matatizo

    Ni kweli kabisa tunakumbana na matatizo makubwa sana ambayo kwa namna moja ama nyingine likikufika unaweza ukaona kuwa sasa umekwisha. Yani unaona kabisa hapa sitoboi hata iweje. Ngoja nikuambie kitu. Tatizo linapotokea wakati huo huwa linakuwa la moto sana kulingana na tatizo lenyewe. Sasa...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Stamina Shorwebwenzi ana matatizo ya saikolojia au amelifuma soko lake?

    Kwa muda mrefu sasa huyu mwanamuziki kila nikikutana na nyimbo yake analalamikia mapenzi tu, sana hasa yanayohusu upande mmoja tu wa mke au mwanamke. Sina uhakika kuna nyimbo nyingine alizoimba ambazo sio ulalamishi wa kupigwa na mwanamke katika mapenzi na mimi ndiye sijakutana nazo ila huyu...
  11. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na Tatizo la akili

    🔹Kuwa kijana huja na Matukio ya kusisimua ambayo yana Changamoto maradufu. 🔹Akili ya kijana hukua Kulingana na namna anavyoshughulikia maisha yake ya kila siku. 🔹 Tafiti Zinaeleza kuwa 75% ya Matatizo ya akili huanzia katika umri wa ujana. Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Benki zote zina matatizo ya kimtandao, tatizo ni la dunia nzima

    Kuna matatizo ya kimtandao yametokea benki karibu zote duniani. Nimeenda benki tangia asubuhi huduma hakuna Vip na wewe umekutana na tatizo hili?
  13. contask

    JamiiForums Tanzania Upuuzaji wa mambo muhimu na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na...
  14. contask

    JamiiForums Tanzania Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na jamii kwa ujumla na wengi wetu tukafanya...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
  16. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kutatua matatizo yoyote yale

    Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,,kwa maana kwamba kama kusingekuwa na matatizo basi huyu mwanadamu asingekuwa na umuhimu wowote hapa duniani Kwahiyo shida na matatizo ndio yanatufanya tutafakari kwa kina,tuwaze na kuwazua na mwisho wa siku tunapata ufumbuzi Kuna njia nne kuu za...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Habari ya Eng. Matarra iwe funzo kwa vijana wengine wa upinzani wanaodhani CHADEMA itasimama nao wakipatwa na matatizo

    Eng. Japhet Matarra ni kada kindakindaki wa CHADEMA ambaye kwa sasa yuko gerezani Karanga Moshi kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhukumiwa kwa kufanya makosa ya mtandaoni. Ilikuwa aende jela au alipe faini ya Tsh 7m ila kwa bahati mbaya huyu kijana hakuwa na hizo pesa ikambidi aende jela...
  18. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Kenya ni matokeo ya Viongozi kutokusikiliza matatizo ya wananchi na kujiona wao ndiyo kila kitu

    Wakenya walianza kulalamika mda sana kuhusu Zakayo kusafiri sana kutafuta mikopo lakini maisha yao bado ni magumu. Vijana wako mtaani mambo yao ni magumu ajira hamna, mazingira ya biashara ni magumu, hawasikilizwi, wakilalamika viongozi wanajifanya viziwi. Viongozi kutwa kucha kupitisha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Usifanye watoto wako wachukie wajomba na baba zao wadogo kwa matatizo yako 😊

    USIFANYE WATOTO WAKO WACHUKIE WAJOMBA NA BABA ZAO WADOGO KWA MATATIZO YAKO 😊 1.Ukishindwa kuwasomesha wakulaumiwa ni wewe sio wajomba. 2 Wakikuta milo yako ni ya kubahatisha wa kulaumiwa ni wewe kwa 100% 3 Wakikuta una chumba kimoja mnabanana humo wa kulaumiwa ni wewe na sio mjomba...
  20. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Familia inayomuweka Marehemu kwenye Sanduku/Jeneza la kuanzia laki 3 kwenda Juu,hiyo Familia itakuwa na matatizo ya kiakili

    Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya! Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye...
Back
Top Bottom