matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Familia inayomuweka Marehemu kwenye Sanduku/Jeneza la kuanzia laki 3 kwenda Juu,hiyo Familia itakuwa na matatizo ya kiakili

    Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya! Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye , kikosa ajira yeye ...Kila siku ananipa hbr mbaya nahisi ana mikosi
  3. Tranquilizer

    JamiiForums Tanzania Matatizo 3 ambayo binadamu hukumbana nayo kila siku

    Binadamu hukumbana na matatizo mengi kila siku, lakini hapa kuna baadhi ya matatizo matatu ambayo mara nyingi hutokea: 1. Msongo wa mawazo (Stress): Binadamu mara nyingi hukumbana na hali ya msongo wa mawazo kutokana na sababu mbalimbali kama vile shinikizo la kazi, mahusiano, maswala ya...
  4. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Madalali wa bongo mna matatizo gani lakini?

    Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu "Gari ya muhindi, dukani na nyumbani tu" "Gari ya mdada" "Gari ya baba mchugaji hii" "Gari ya mrembo wa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Binamu yangu ana matatizo? Baada ya kusoma mwaka wa kwanza chuoni akiwa kwangu nimemwacha huru aishi gheto lakini nasikia hakuna binti kawahi kuvusha

    Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa. Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
  6. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana tatizo gani?

    Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya! Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM mnasikiliza na kutatua kero au matatizo ya wananchi?

    Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa majirani wengine, mlevi anayetukana hovyo mtaani, kuachwa na mume bila kupewa mali stahiki, mwenyekiti wa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

    Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa. Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Somo la mahusiano lifundishwe shuleni ili kupunguza matatizo ya kijamii

    Makazini utakutana na matatizo mengi ambayo chanzo kikubwa ni mahusiano mabovui, Ukija Mtaani pia utakuta kesi nyingi chanzo kikubwa ni mahusianomabovu. Mahusiano ni zaidi ya mapenzi kama wengi wanavyolitumia neno hilo bali hali yoyote ya kimawasiliano kati ya mtu na mtu. Baadhi ya Afisa...
  10. NYENJENKURU

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya RITA, Missenyi wana matatizo gani?

    Ndugu wanaJamvi kuna jambo limenishangaza kidogo kutoka ofisi ya RITA MISSENYI mkoani Kagera.Kuna mtoto wa shemeji yangu aliomba cheti cha kuzaliwa kwa njia ya mfumo wa RITA ajaza kila kinachotakiwa kuwekwa kwenye mfumo.Baada ya wiki moja kwenye mfumo status ikaonyesha Cerificate Issued,Collect...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

    Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe. Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua. Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alaumiwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink

    Waziri wa Habari na Mawasiliano, ndugu Nape Nnauye ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kutokuwa na internet ya uhakika nchini kwani waziri huyu aliikataa kampuni ya Mmarekani tajiri zaidi duniani iitwayo StarLink ambayo ina satellite zaidi ya 10,000 angani. Kampuni hiyo iliyowasilisha maombi ya kutoa...
  13. Maleven

    JamiiForums Tanzania Baada ya matatizo, leo nimerudi nyumbani

    Nyumban ni nyumbani, nina line za mitandao yote, miezi miwili iliopita, Voda walibadilka wakawa hawana kazi nikahamia tigo na airtel ambayo ili nipate kazi nzuri kwa eneo nilipo, ni lazima niitege simu sehemu fulani. leo mambo yakawa tofauti, nikakumbuka nina line ya TTCL, nikaweka kwa kweli...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Mkongo wa Taifa ni funzo kubwa la kiusalama!

    Bado kuna umuhimu wa back up ya Hardcopy katika maswala yote ya kiserikali na kijamii ili kuepuka kusimama kwa huduma na mengineyo. Hili ni somo kubwa kwa wanausalama nchini. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  15. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Wenzangu wa MAN U,timu yetu Ina matatizo Gani??

    Hii tImu Nilianza Kuipenda mwaka 1998 nikiwa Shule ya vidudu,Bi mkubwa alinunua Jezi number 7 mgongoni Imeandikwa Cantona,Kaka zangu wakawa wananipa story za Cantona,Tangu hapo nikawa mpenzi wa Manchester united, Wakati Nasoma secondary school,usiku tulikua tunatoroka shule tunatembea karibu...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kutokana na matatizo ya kifamilia nimehamia yanga

    Hizi familia zina nini. Alieondoka kadai familia, Benchika nae familia problem. Na mimi nimeamua kuhamia rasmi Yanga kutokana na matatizo ya kifamilia.
  17. John_Anthony

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kutatua matatizo yote ya Tanzania na Afrika kwa ujumla

    Is to form everything new, new country, new leadership system, even the brains of people must be new, we need to throw away the brains from the Europeans and e.t.c Africa must be united
  18. G

    JamiiForums Tanzania Ni vitabu gani vizuri vya elimu ya matatizo yetu Afrika vilivyoandikwa na waafrika

    Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k. Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia waliminya haki. sijitaji vitabu vya mtu kaandika tu ajulikane nae ana kitabu, sipend vitabu vya...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Katika kila Watanzania 10, tisa wamewahi kwenda kwa waganga hasa matatizo yakiwaelemea. Je, dini ni pambo?

    Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga wahalifu hasa wa kusafirisha magendo, wizi, utapeli hawa karibu wote wanaenda kwa waganga Wengi wakiumwa hospitali...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

    Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko. Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga Biashara ikiwa na wateja...
Back
Top Bottom