westandtogether
Senior Member
- Jul 8, 2020
- 153
- 229
Habari wanajf?
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,
Kuna kikampuni fulan jina ***** microfinance kinajihusisha na kutoa mikopo midogo mtaani Tena kwa dhamana ya vitu vya ndani kama vifaa vya electronics simu, Tv, Pc nk.
Hivi karibuni nilienda kuazima pesa kama laki 2 wakasema wanatoa riba ya elfu 35k kwa Kila laki kwahiyo ( 270000/=) nilipe kwa wiki mbili(2) na siku 7 za notsi,
Basi nikatoa asset kama dhamani yenye thamani mara nne ya hiyo pesa yao basi baada ya wiki mbili nikaplan nilipe kabla ya wiki2 hazijatimia ili nijikomboe ambapo ningelipa jumatatu maana ilikuwa wikiendi, Sasa kwenye hii wikiendi kabla ya jumatatu nikawa nimeibiwa pesa na simu hivyo likawa janga kubwa Sana na Hapo hapo nimeanz kazi Ofisi fulani, nikaoni nipige kuwajulisha kama wanisogezee deni na kuongeza riba ikiwezekana nilipe mwisho wa mwezi basi nikawajulisha kupitia simu hivyo ombi langu likapita wakanipa na kiasi kingine cha riba juu, nikaona afadhali
Ila kumbuka mawasiliano Sina maana simu iliibiwa so nikawa nachomeka line kwa rafika tu, baada ya siku 2 tangu niwajulishe nikapata simu ya kutumia , kesho yake jamaa kutoka kwenye ile microfinance ananipigia kunaambia dhamana yangu wameuza hivyo nisijisumbue kuendelea kudai au kufatilia, Anyway nilifadhaishwa Sasa nipo hapa nafikilia nifanyeje Hawa jamaa wamenichukulia Mali yang ya dhamana kuliko pesa yao, wadau?