matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii nchi nikajua ambao hawapo serious ni Tanesco kumbe hadi matapeli wanasahau majukumu yao😂😂

    Dada alivo mjibu anatoa jicho tapeli kasahau hadi kutapeli na nina uhakika yeye ndo katapeliwa
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi matapeli wanavyolindwa na polisi, utapeli hautaisha

    Kumekuwa na kasumba kuwa kesi nyingi zikifika polisi na mtuhumiwa akapelekwa mahakamani basi walalamikaji wanakosekana na mtuhumiwa kuachiwa huru. Lakini tujiulize je ni kweli sheria inaamua haki? Kama polisi walithibitisha kweli mtuhumiwa ameletwa na raia na ametapeli kweli kwanini kusiwe na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini mtandao wa TTCL unatumiwa sana na matapeli kutuma jumbe zao?

    Nataka kujua kuna ushirika gani kwa hao matapeli na mtandao wa TTCL
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya 'Go bet' ni matapeli sana kuweni makini

    Kuna kampuni moja inatumia jina la go bet, Hawa jamaa ni matapeli Sana, wanatumia namba ya kampuni iliyokuwa inatumia na betpawa pamoja na namba ya malipo, namba ya kampuni ni 122122 malipo ni 60124815, ukiweka pesa umeliwa hakuna huduma wanazotoa namba ya simu 0677040553 hawapokei simu na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

    Huu ndiyo ulio ukweli: "Hatupoi!" Alipo sasa Rais Samia anayo namna moja pekee: "Kuufuta tu, mkataba huu ambao ni wa hovyo mno, usiorekebishika!"
  7. JamiiForums Tanzania Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

    Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto. IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto. ( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. ) Kabla sija elezea mbinu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia amewakumbatia matapeli na wanafiki?

    Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo. Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nchi imefunguliwa, matapeli wa mtandaoni wanawalenga maprofesa

    Kuna tapeli mmoja wa mtandaoni anayejiita Prof. Veriani Samweli Maswayaga sidhani kama ni jina lake halisi. Huyu bwana anashirikiana na mwana mama wa kizungu kuwarubuni Maprofesa wastaafu kuwa wana world Bank project ya mazingira hivyo wanahitaji washauri wa kufanya nao kazi kwenye miradi yao...
  10. JamiiForums Tanzania Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" kuhusu jambo lolote lenye maslahi makubwa kwa taifa letu liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii. Mada ya leo ni kuhusu makubaliano ya kiserikali, IGA ambapo Bunge letu tukufu, limeridhia...
  11. JamiiForums Tanzania Ombi: Makalla Dar ishamshinda. Mama mrudishe Makonda

    Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
  12. JamiiForums Tanzania Chalinze Cement yatoa tamko kuwa kampuni yao si ya mfukoni na sio matapeli

    Kupitia kwa Wakili wa Chalinze Cement Company Limited, Melchisedeck Lutema ambaye pia ni Wakili wa Chama cha Kutetea na Kusemea Walaji Tanzania amesema kuwa Chalinze ni Kampuni ambayo ilisajiliwa Mwaka 2021. Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Mei 8, 2023 Jijini Dar es Salaam amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi hawa masai wanaotembea wakiuza dawa ni za kweli au matapeli?

    Hola Amigos, Jana nmekutana na mmasaai anatembea akiuza dawa mbalimbali kwenye kigunia, alikuwa ameshikilia kama kimenu cha dawa alizonazo na bei zake, ukikutana naye haongei sana anakupa kipeperushi tu. Baadhi ya dawa nlizoziona kwenye menu Mkongo puturu-10,000 Mkuyati-15,000 Dawa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Si kila Mchungaji, Nabii au Mtume anayetumia Biblia kufundisha ni Mkristo, wengine ni matapeli

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaojiita Mitume, Manabii au Wachungaji ambao wamekuwa wakiwakonfyuzi watu hasa wale ambao si waumini wa Dini ya Kikristo. Kitu kibaya zaidi hao Viongozi wa madhehebu hayo wamekuwa wakitumia Biblia kama njia ya kufanya huo utapeli wao ukaonekana ni ukweli...
  15. JamiiForums Tanzania NIDA yakanusha kutangaza nafasi za ajira, tuepuke matapeli

    Kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya wananchi hususani kutoka Zanzibar kupigiwa simu na watu wasiowajua wakiwafahamisha kuwa wanatafutwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waajiriwe na kuwataka wananchi wanaowapigia simu wawatumie tarifa zao na pesa ili kuwasaidia kupata ajira...
  16. JamiiForums Tanzania Onyo!! Usije weka hela parimatch ni matapeli

    Nilikuwa mteja mzuri wa parimatch lakini nimekuja kugundua ni matapeli. Unaweka hela inaingia vizuri tuh lakini ukija kutoa hela hawakuoneshi hela umetolea kupitia number gani halafu utakuja kuona hela haingihi then utawatafuta watakuambia tunafanyia kazi. Mwishowe utakuja kuona ulitoa...
  17. JamiiForums Tanzania Mafundi wengi ni wezi na matapeli

    Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta . Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa vyao,mna list kweny mahitaji ya vifaa ata vitu visivyokuwepo boss usipokuwa makini ahh umeisha...
  18. JamiiForums Tanzania Epuka matapeli. Kamala Harris hamjui msanii yoyote kwenye playlist inayozunguka

    Huo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo. Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado ni ngumu. Huyu mmoja anaetuwakilisha nje siku hatokuwepo na tutarudi enzi za dharau. Say no tu janja...
  19. JamiiForums Tanzania CWT ni Genge la Matapeli wanaokula kwa Mgongo wa Walimu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Kila mwaka kumekuwa na madai ya walimu kuchangia katika michango mbalimbali ya shughuli za kiserikali kwa ushurutishwaji hasa na wakurugenzi wa Halamashauri ama manaibu wakurugenzi. Moja wapo ya kilio cha muda mrefu kwa walimu ni hii kero ya Michango ya...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi yatoa tahadhari, baadhi ya mawakala wanaosajili laini mtaani ni matapeli

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime Akitoa darasa kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amezungumzia utapeli wa mitandao unaofanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…