Mwanangu mmoja alikuwa anasoma Muhimbili MD, yupo mwaka wa pili. Sasa wakati mimi napiga zangu field pale Sinza Palestina, siku moja kwenye pita-pita zangu nikakutana naye. Mawasiliano tukapiga story nyingi, maana kitambo hatujaonana. Nikamwambia, “Weekend moja nitaenda kukusalimia Campus yenu...