Matapeli wa kisasa ni wahandisi wa akili (psychological engineers) au manipulators . Hawaji kuiba pesa zako mara moja; badala yake, wanajenga mazingira ambayo wewe mwenyewe utawapa pesa kwa hiari yako.
Hivi ndivyo wanavyotumia saikolojia kumnasa mtu:
1. Kukuvutia na Maisha ya Ndoto zako (The...
Katika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni matapeli? Kwenye picha mama KANUMBA ni huyo alie na mviii nyingi mwanamke peke yake.
Nani alaiwe kwa...
Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu
Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari
Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
Meseji hii kanitumia INBOX:
Hello darling.
How're you doing?, my love i must tell you, I'm no longer happy here . My life has been miserable here for the last 3 years. I am a beautiful woman but I am not married and every day I get older.
Please, my love, I want you to help me finish my...
Leo nilinunua kifurushi cha intaneti kwa njia ya mpesa. Muamala ukatoka freshi, intaneti ikashika.
Ghafla nikaletewa ujumbe ukisema salio langu halitoshi nichukue mkopo wa Tsh. elfu 4!🤔🤔
Bahati nzuri nilicheki salio langu kabla sijaendelea, na lilikuwepo la kutosha!
Utaratibu huu ni halali...
Hawa jamaa wamejaa kwenye mitandao na polisi wanawaangalia tu wakifanya utapeli ambapo wanatumia namba za simu tofauti kupokea pesa kisha kubadili mawasiliano kila mara.
Wanafanya kazi kwa majina tofauti huku wakitumia tin,leseni na hati ya usajiri wa kampuni kwa majina tofauti.
Wanajiita...
Kanisa moja maarufu kinondoni biafra (KRC ) lomekuwa likimkingia kifua muharifu wa utapeli kwa zaidi ya miaka 3 sasa.
Tapeli anatumia njia ya ulokole na muhumini wa pale kanisani, jamaa anauzaga nguruwe kama mboga pale kanisani kila jumapili ila yeye ni bodaboda pale chuo kikuu huria kilichopo...
Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
Wadau kaeni sawa imenitokea. Matapeli wapo kazini.
Hawa vijana wanao tangaza kuwa ni wataalam wa kutengeneza Website (tovuti) sawa na bure wengi wao ni matapeli hawafai. Nimekutana nao kama 4. Wamo wakenya na watanzania. Majina wanayo yatumia ni Mediapix, Datazone technology... na tovuti...
Naandika huu Uzi kama tahadhari,
Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli,
Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu ni mwezi wa 3 wameshindwa kukamilisha kazi Yao,
Nikasema niwaase Wana Arusha na watanzania kwa...
Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu.
na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa.
Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana.
Mwendo huohuo.
Great Thinkers,
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa za kuwapo kwa kikundi kinachojiita SIIB kinachodai kuhusika na mradi wa Pi Network hapa Tanzania. Napenda kuwatahadharisha Watanzania wote—hasa wastaafu—kuwa makini sana, kwani kikundi hiki hakijasajiliwa kisheria hapa Tanzania...
Hii ni kauli ya nguli wa sheria na siasa, kwa MBA, uchaguzi hauzuiliki. Kauli hiyo ameitoa wakati akipasua anga za wilaya ya Busega akieneza sera za ACT Wazalendo.
===
Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia...
Wakuu nawataarifu msinunue mabandle kwenye halotz...wanaiba hela kwa nguvu
1. Nilikuwa na dkk zaidi ya 600 za mwezi zilitakiwa ziishe 20 July lakini zimeipotea yaan ukiangalia salio ni zero na sijazitumia
2. Nilinunua GB 1 jana usiku nikaingia fb dkk moja nikalala asubuh nikakuta no data...
Haya, wote watatajwq nankuanikwa hadharani. Bila shaka sasa utapeli wa kutumia neno la Mungu unafikia mwisho. Natamani kombora la kwanza lidondokee Ubungo Maji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.