mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Mataifa tajiri yahatarisha maisha ya watoto ulimwenguni

    Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao. Kituo cha Utafiti cha UNICEF kimetafiti mataifa 39 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi na...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Takriban watu milioni 18 kukabiliwa na baa la njaa ukanda wa Sahel

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu milioni 18 katika eneo la Sahel barani Afrika wanakabiliwa na njaa kali katika miezi mitatu ijayo kutokana na athari za Vita kati ya Urusi na Ukraine, janga la COVID-19 na mabadiliko ya hali ya hewa Inaelezwa kuwa idadi kubwa zaidi ya watu wako katika hatari...
  3. Enkaly

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mataifa yenye resources kubwa Duniani

    1. Russia Russia's natural resources reserves are worth $75 trillion by Statista's estimate.1 This amount incorporates, among other things, coal, oil, natural gas, gold, timber, and rare earth metals. Russia's Ministry of Natural Resources and the Environment produced a much lower estimate of...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waonya watoto kuajiriwa katika magenge ya kihalifu nchini Haiti

    Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto kwa kuajiriwa na magenge ya kihalifu, huku ghasia zinazoongezeka katika mji mkuu wa #Port-au-Prince, zikisabisha vifo vya makumi ya raia na zikiwalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao - Naibu msemaji wa Umoja wa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) walaani Utawala wa Mali kufungia vyombo vya habari

    Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amekosoa uamuzi wa Mali wa kupiga marufuku vyombo vya habari vya Ufaransa na kuwataka watawala wake wa kijeshi kubadili uamuzi wao. "Tumesikitishwa sana na uamuzi wa Mdhibiti wa Vyombo vya Habari wa Mali kuifungia Radio France...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi yatishia kuzuia usambazaji wa gesi kwa mataifa mengine ya Ulaya

    Baada ya Urusi kusitisha usambazaji wa gesi kwa Nchi zaPoland na Bulgaria, sasa taifa hilo limesisitiza kuwa itafanya hivyo kwa mataifa mengine ya Ulaya ambayo hayatakubali kulipia gesi kwa fedha ya Urusi (rubles). Taarifa ya Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov amesema uamuzi wa Urusi wa...
  7. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

    Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya juu zaidi za Moscow. "Iwapo mtu ataamua kuingilia kati matukio yanayoendelea kutoka nje na kuunda...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za kuabudu mataifa wanayoishi hawa Diaspora, ni vyema Serikali isiruhusu uraia wa nchi mbili, ni rahisi sana kusaliti nchi

    Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi. Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi. Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
  9. Gan star

    JamiiForums Tanzania Jicho la Mwewe: Kwanini Mataifa mengi seriously sasa yanaelekeza silaha nyingi zaidi Ukraine?

    Mapambano makali zaidi ya kivita yanaendelea Ukraine hasa mashariki mwa nchi, unaambiwa mapigano yaliyoko kule ni zaidi ya movie za kivita , Jeshi la Urusi limeuchakaza mji wa Mariopol lakini kwa sababu ya ushujaa wa jeshi la Ukraine Urusi imeshindwa kuumiliki mji Kwa 💯 hii ni baada ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya kuiondoa Urusi kwenye Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa: Tanzania yajitoa (abstain)

    Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa. Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita. Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika yanayoitegemea Urusi kwa chakula, kumbe ndio maana baadhi yaliogopa kuisema vibaya Urusi

    Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande wowote, baadaye taarifa zimetoka kumbe haya mataifa maskini yanategemea Urusi kwa ngano hivyo kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiuchumi kati ya Urusi na Mataifa ya Magharibi imefikia Patamu sana

    Lengo kubwa la mataifa ya magharibi ni kuiangusha kiuchumi Urusi ili hatimaye idhoofike kijeshi. Kufikia lengo hilo walimpata rais msanii na mchekeshaji Zelensky wa Ukraine, ambaye walimvimbisha kichwa na kumdanganya kuwa aigomee Urusi kuhusu kuruhusu majimbo ya mawili yaliyoko mashariki mwa...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mataifa mengi ya Afrika hayajaweka Mikakati thabiti ya Usalama wa Mitandao jambo linalowafanya wawe kwenye hatari ya kushambuliwa

    Mpaka kufikia mwaka 2022 bado mataifa mengi ya Kiafrika yanaonekana kuwa nyuma katika ya kuweka mikakati thabiti itakayowezesha usalama wa mitandao katika nchi zao. Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia wananchi wengi pamoja na serikali za Kiafrika zinatumia vifaa vya kidijitali katika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Urusi yazidiwa, Yaomba wapiganaji wa kujitolea kutoka mataifa ya kigeni

    Kazi IPO. Mzee Putin kakabwa Koo ndani ya Ukraine, Sasa anaomba msaada wa watu wanaotaka kujitolea kwenda kupigana nchini Ukraine. Russian President Vladimir Putin has called for foreign volunteers to be able to fight against Ukrainian forces. Speaking at a Russian security council meeting, he...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Urusi latengwa na dunia, kutouziwa spare parts, na kuzuiwa kwenye anga za mataifa mengine

    Huku Putin akiendelea kuingia hasara kwa uwekezaji mkubwa wa wanajeshi wengi Ukraine ambao kama wameshindikana kusonga mbele kwa uhitaji wa chakula na vyombo, nyumbani Urusi mambo yanaendelea kuharibika, shirika la ndege la Urusi limeanza kutengwa na dunia. Kwenye huu ugomvi Putin alikurupuka...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo idadi ya silaha za nyuklia Urusi, hali ilivyo mataifa mengine

    Urusi ina silaha ngapi za nyuklia? Takwimu zote za silaha za nyuklia ni makadirio lakini, kwa mujibu wa Shirikisho la Wanasayansi wa Marekani, Urusi ina vichwa vya nyuklia 5,977 - vifaa vinavyosababisha mlipuko wa nyuklia - ingawa hii inajumuisha takriban 1,500 ambazo zimechoka na zinatazamiwa...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Memba wa Umoja wa Mataifa waondoka ukumbini, wasusia hotuba ya Waziri wa Urusi

    Zaidi ya wajumbe 140 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, leo Machi Mosi, 2022 walitoka nje ya ukumbi baada ya kukataa kusikiliza hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov. Waziri huyo alikuwa akishiriki mkutano huo kwa njia ya video kutokana na mipaka ya ndege...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi (Mataifa) yanayoingiliana kimaeneo au kiutawala

    Kuna baadhi ya nchi au mataifa yanayo ingiliana kimaeneo au utawala baadhi ya Mataifa hayo ni; 1. Nchi zenye maeneo katika bara la Asia na Ulaya. Ni Urusi na Uturuki. Yaani maeneo haya yanapatikana kati ya ulaya na Asia 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Idara za usalama za dunia na majeshi ya mataifa makubwa on High Alert, Pray for World

    Hali imebadilika katika uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia. Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo. Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari. Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya...
  20. econonist

    JamiiForums Tanzania Je, baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lina uwezo wa kufanya maamuzi dhidi ya Russia?

    Ni vigumu Umoja wa Mataifa kuichukulia hatua Urusi. Changamoto za Umoja wa Mataifa kupitia baraza kuu la usalama kuichukulia hatua Urusi ni mbili. Kwanza, tatizo linakuja pale ambapo Urusi ni mmoja wa wanachama wakudumu wa baraza la usalama akiwa pamoja na China, UK, France na USA. Hivyo Ni...
Back
Top Bottom