USA kitabia angefanana na Simba na comodo dragon. Ni hatari, jasiri, anavamia, anaumiza na anaogopwa kama simba, pia ana tabia ya kuvamia na kukung'ata akuachie sumu na kukufuatilia mpaka udondoke kama comodo dragon.
China kitabia namfananisha na Hyena. Fisi ni hatari, anavamia...
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake...
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Hussein Mohamed, Rais William Ruto atatoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) leo Jumatano saa 3 usiku katika Jiji la New York, Marekani.
Katika hotuba yake ya kwanza kwa Umoja wa Mataifa, Ruto...
Huyu ndio kiongozi anayejitambua
👇
With my wife Mutinta, we’ve arrived in New York for 77th Session of #UNGA . While here, we will illustrate how #Zambia is determined to be an economic centre whose central focus is creating meaningful jobs & business opportunities for all.
Thanks for your...
Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
african leaders
afrika
baada
basi
biden
comments
daladala
kupanda
kwao
london
lumumba
mabasi
magufuli
marais
mataifa
mheshimiwa
mitandaoni
moja
msiba
ndugu
ndugu zangu
nyerere
pamoja
rais
rais biden
rais samia
samia
serikali
suala
ufafanuzi
uhakika
uingereza
viongozi
wawakilishi
wazungu
Bara Ulaya kuzuia visa kwa Warusi, na hii ni pamoja na mataifa yaliyoizunguka Urusi, yaani Putin anapitisha taifa lake kwenye hali ngumu sana.
=========
European Union foreign ministers have agreed to suspend a visa agreement with Moscow, making it harder for Russian citizens to obtain entry...
Wito umetolewa kusitishwa mara moja kwa mapigano makali yanayohusisha makundi mawili ya Kisiasa yanayowania kuchukua Utawala wa Serikali katika mji mkuu wa Tripoli.
Taarifa ya Umoja wa Mataifa iliyoungwa mkono na Balozi wa Marekani nchini Libya, Richard Norland imesema kuwa mapigano hayo...
Kiukweli niliwaamini sana Urusi, sasa sina imani nao. Hii vita kwa nguvu ambazo wanazo Russia ilikuwa waimalize ndani ya week moja zikizidi mbili. Sasa sielewi kwa nini wanapiga dana dana nyingi sana?!
Russia ni Taifa ambalo tumekuwa tukitegemea liitishe Marekani. Sasa Ukraine ka nchi ambako...
Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja.
Afrika tuoneshe kujitambua.
Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vijana duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jamii kuwasaidia vijana kwa kuwekeza kwenye kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa kiujuzi kupitia mikutano pamoja na kufanya mabadiliko katika mifumo ya elimu.
Vijana, ni nusu...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, Mathias Gillmann kuondoka Nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kumshutumu kwa kutoa "taarifa zisizoeleweka na zisizofaa" kuhusiana na Nchi hiyo
Takriban watu 30...
Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa Zelensky na majeshi yake ya Ukraine wamekuwa wakiwatumia raia kama ngao za vita.
Umoja huo umetaja mapigano ya maeneo tofauti tofauti ambapo majeshi ya Ukraine yaliwazuia raia wasio na hatia wakiwemo wanawake, wajawazito, wazee, walemavu, wagonjwa, na watoto...
Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara...
BUDGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
• Guinea 🇬🇳
• Libya 🇱🇾
• Morocco 🇲🇦
• Nigeria 🇳🇬
• South Africa 🇿🇦
• Sudan 🇸🇩
• Tanzania 🇹🇿
• Tunisia 🇹🇳
Ukiangalia mataifa mengine utaona kwamba yamepiga hatua kubwa mno kimaendeleo kutokana na matumizi sahihi ya Rasilimali zao.
Botswana na Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) especially Dubai au hata Libya utaona namna uwekezaji sahihi ulivyobadili kabisa maisha ya wananchi toka ufukara mpaka kuwa na...
Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO.
NATO sasa inawaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.