Urusi yazidiwa, Yaomba wapiganaji wa kujitolea kutoka mataifa ya kigeni

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Kazi IPO. Mzee Putin kakabwa Koo ndani ya Ukraine, Sasa anaomba msaada wa watu wanaotaka kujitolea kwenda kupigana nchini Ukraine.

Russian President Vladimir Putin has called for foreign volunteers to be able to fight against Ukrainian forces.
Speaking at a Russian security council meeting, he said those who wanted to volunteer to fight with Russia-backed forces should be allowed to.

Russian Defence Minister Sergei Shoigu said there were 16,000 volunteers in the Middle East ready to fight alongside Russia-backed forces.

US officials said these could include Syrians skilled in urban combat.

Moscow is a long-standing ally of Syria and Mr Putin has been a key backer of Syrian President Bashar al-Assad in the country's civil war.

"If you see that there are these people who want of their own accord, not for money, to come to help the people living in Donbas, then we need to give them what they want and help them get to the conflict zone," Mr Putin told his defence minister.

Mr Shoigu also proposed handing over captured Western anti-tank missile systems to Russian-backed rebel fighters in the breakaway Ukrainian regions of Luhansk and Donetsk in the Donbas region.
 
Wapiganaji ndio wameomba sio urusi
img_3_1647101252067.jpg
 
Hilo limesemwa Jana i'la jamani kiukweli Ukraine wanakwisha Jana wamepigwa na mayor was jiji flani amekamatwa jina .....fedorov .. leo unaambiwa mashambulizi yamezidi kuliko kawaida. Cia wanaamini chini ya siku 7 kyv itakua imekwenda na maji.
 
1647110593800.png
zelinsky aliomba, putin kaombwa

1647110661625.jpeg

===================================================================
1647110719867.jpeg

* dunia mduara - wengi walitoka ulaya kwenda syria vitani wabichi wakibeba hasira za ubaguzi, sasa warudi wameiva kijeshi - kasheshe.
 
Usimuamini sana PUTIN hiyp yaweza kuwa ni propaganda ya kivita ili mdhani ni dhaifu
Anachofanya hapo ni kuajiri watu kutoka syria ambao wa uzoefu wa vita za mijini kwenye watu wengi na wanajeshi wanaojificha nyuma ya raia. So technically hajazidiwa ila anabadili mbinu kwa sbb adui anajificha nyuma ya raia na yeye inaonekana hataki kuangamiza raia weng kwenye hii vita ndo maana yuko slow but sure
 
Kwa kuangalia vyombo vya magharibi lazima utaona kama Ukraine inaichapa Russia vilivyo but huo sio ukweli... ndo maana kila siku kuna new development za majeshi ya Russia kuingia miji mbalimbali ya Ukraine. It's a matter of time jmaa atachukua nchi.

Kitu cha kunote, wa Magharibi hawataki waonekane wametelekeza Ukraine kinyume na walivyoahidi kabla ya vita so ili waweze kuwawin nje raia wake inabidi wawape taarifa za kuonyesha Ukraine inapambana vilivyo kushinda hii vita kwa msaada wa vifaa wanavyopewa na nchi zao huku hali ni tofauti field.
 
Kazi IPO. Mzee Putin kakabwa Koo ndani ya Ukraine, Sasa anaomba msaada wa watu wanaotaka kujitolea kwenda kupigana nchini Ukraine.
Russian President Vladimir Putin has called for foreign volunteers to be able to fight against Ukrainian forces.
Speaking at a Russian security council meeting, he said those who wanted to volunteer to fight with Russia-backed forces should be allowed to.
Russian Defence Minister Sergei Shoigu said there were 16,000 volunteers in the Middle East ready to fight alongside Russia-backed forces.
US officials said these could include Syrians skilled in urban combat.
Moscow is a long-standing ally of Syria and Mr Putin has been a key backer of Syrian President Bashar al-Assad in the country's civil war.
"If you see that there are these people who want of their own accord, not for money, to come to help the people living in Donbas, then we need to give them what they want and help them get to the conflict zone," Mr Putin told his defence minister.
Mr Shoigu also proposed handing over captured Western anti-tank missile systems to Russian-backed rebel fighters in the breakaway Ukrainian regions of Luhansk and Donetsk in the Donbas region.
Tunajiandikisha wapi kwenda huko jamani, tusicheze na fursa hii ya uraia baada ya vita. Kama naona Wanigeria vile wanajitokeza maana wale wenzetu hawachezi mbali na fursa kama hizi.
 
Hahahah.....Jamani Saidieni Wenzenu...Kizuri Kuleni na Wenzenu !

Wapi Watu Wanajiandikisha..?
Fursa Zisiachwe Zipotee hivi hivi tunaziangalia .!
 
Anachofanya hapo ni kuajiri watu kutoka syria ambao wa uzoefu wa vita za mijini kwenye watu wengi na wanajeshi wanaojificha nyuma ya raia. So technically hajazidiwa ila anabadili mbinu kwa sbb adui anajificha nyuma ya raia na yeye inaonekana hataki kuangamiza raia weng kwenye hii vita ndo maana yuko slow but sure
Got it..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom