mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

    Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yatoa ishara kuwa inapigana maeneo 7 huku Houthi wakifanikiwa kupenya ngome za mataifa 20 yanayoongozwa na Marekani

    Waziri wa ulinzi wa Israel amesema nchi yake iko vitani maeneo saba tofauti.Akaongeza kusema kuwa kutokana na hilo tayari wameshaanza kushambulia kwa nguvu maeneo sita kati ya hayo kulipiza kisasi. Maeneo hayo aliyataja kuwa ni Iraq,Syria,Lebanon na Yemen.Mengine ni Gaza,ukiongo wa Magharibi na...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Mataifa 20 sasa yatia saini kuilinda bahari Nyekundu dhidi ya magaidi, Iran inazidi kutengwa

    Hawa magaidi wa kidini pamoja na mfadhili wao Iran wanazidi kuwekwa kwenye msalaba, mataifa 20 yote kulinda hilo bahari. =================== More than 20 countries have joined the US-led coalition to protect Red Sea shipping from attacks by Yemen’s Houthi rebels, the Pentagon says. The...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Waarabu yasema vita vikiendelea mwakani wataacha kutoa misaada ya chakula

    Kwamba watawaacha Wapalestina aidha wajifie au walishwe na Israel, hapo sijui wanadhani wanakomoa Israel au Wapalestina, au HAMAS................... Gulf countries, led by the United Arab Emirates and Saudi Arabia, have issued an ultimatum to Israel stating that if the war between Israel-Hamas...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Muarubaini wa magaidi ya Houthi wabuniwa na haya mataifa US, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, na Spain

    Haya mataifa yameungana kubuni mbinu za kupambana na hayo magaidi yenye mlengo wa kidini...... MANAMA, Bahrain — The US and a host of other nations are creating a new force to protect ships transiting the Red Sea that have come under attack by drones and ballistic missiles fired from...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Vita Kati ya Israel na Hamas ni matokeo ya makosa ya Umoja wa mataifa, Israel, Palestine na warabu

    Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia . Vita Kati ya Israel na hamas (Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za kwa nini akili inatakiwa itumike kumaliza vita hii. 1. Umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati...
  7. olimpio

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

    Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake. Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji? Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini? Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30? Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kuanzia Januari 2024, Raia wa mataifa yote wataingia Kenya bila kuwa na Viza

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini sasa ahadi yake inakuwa kwaajili ya mataifa yote duniani. Ruto amesema “Ni furaha kubwa, kama Rais...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa tanzania wanampenda na kumuamini sana Rais samia, mataifa duniani yanamkubali mno

    Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya utaratibu ukomo wa uongozi. Na kwahivyo baada ya ngwe zake kwisha...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Ramani: Mataifa yenye uhusiano mzuri na Israel

    Huku mataifa yanayoongozwa na chuki za kidini yakitaka Wayahudi wauawe na Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia, kuna idadi kubwa sana ya mataifa yanayotambua haki ya Wayahudi kuishi dunia hii. Kuna machache yamesitisha uhusiano kama mbinu ya kulalamika kwa jinsi Israel inatembeza kichapo pale...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

    Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie. Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Qalibaf: Mataifa ya Kiislamu yasimamishe mashambulizi ya Wazayuni

    Nov 08, 2023 03:33 UTC Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kinyama utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusisitiza kuwa, mataifa ya Kiislamu yana wajibu wa kusimamisha dhulma na hujuma hizo za kikatili za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Zaidi ya Watu 10,000 wameuawa katika eneo la Gaza

    Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, mashambulizi yanayoendelea #Gaza pia, yamesababisha athari kubwa kwa Watoto ambapo kila baada ya dakika 10 Mtoto mmoja anauawa. Guterres amesema hadi sasa takriban Watoa Huduma 89 wa UN wamepoteza maisha wakati...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa Anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu wa kutoka mataifa ya itikadi kali ni wa ovyo sana hata kama wako ugenini

    "when you are in rome, do what romans do" Unajua cha kushangaza kuhusu hawa jamaa ni misamamo yao. Msimamo wao mkuu huwa ni wazungu, wakristo na wayahudi ni jamii ya watu wasiofaa kabisa. Lakini cha ajabu ni kwamba wanapopata matatizo nchi zao hizi mahala pa kwanza pa kukimbulia huwa ni...
  16. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Azimio No. 181 la Umoja wa Mataifa lilitengeneza matokeo ya leo kati Palestina na Israel.

    Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina ya Uingereza na kutoa nchi mbili yaani ya Wayahudi na Waarabu ndiyo ilikuja kutengeneza tatizo zaidi...
  17. Jackal

    JamiiForums Tanzania Wapalestina Wavunja Ghala Za Umoja Wa Mataifa Huko Gaza Na Kupora Unga!

    Mytake: Wapestina ni wahuni tu kama Wahuni wengine 🤔 ..... https://m.jpost.com/breaking-news/article-770670
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kutaka vita isitishwe, Israel yapinga na yaongeza mapigo Gaza

    Kwa sauti moja hapo jana baraza kuu la umoja wa mataifa lilipitisha azimia likitaka vita visitishwe kwa muda ili kutoa fursa ya majadiliano na kuwezesha misaada kuingia Gaza. Kinyume chake taifa la Israel limepinga azimio hilo na katika kipindi cha masaa 24 wameongeza mapigo makali kuzidi ukali...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dkt. Salim, Dkt.Tulia atairudisha nchi katika unguli wa diplomasia ya kimataifa. Tumuombee, anaweza kuwa Katibu mkuu ajaye wa UN

    Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa. Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kwa vita ya Hamas na Israel, Marekani na Umoja wa Mataifa zishtakiwe

    Kitendo cha kuigawia uhuru wa dola nchi ya ISRAEL mwaka 1948 haikuwa sahihi na huenda ilikuwa ni mpango mkakati wa kuivuruga amani pamoja na uchumi wa dunia hii inatokana kuwapo na histosia kubwa katika nchi ya palestina. Kwa machafuko mengi ya kidunia huyu jamaa anatakiwa apigwe sanction za...
Back
Top Bottom