Umoja wa Mataifa: Zaidi ya Watu 10,000 wameuawa katika eneo la Gaza

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1287d60f-4e4c-49f6-b3f3-44c5af1293dc.jpg

Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, mashambulizi yanayoendelea #Gaza pia, yamesababisha athari kubwa kwa Watoto ambapo kila baada ya dakika 10 Mtoto mmoja anauawa.

Guterres amesema hadi sasa takriban Watoa Huduma 89 wa UN wamepoteza maisha wakati wakiwa katika zoezi la kutoa misaada kwa waathirika wa mapigano kati ya #Israel na #Hamas.

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Euro-Med Monitor, limesema karibu Watoto 52,500 wako hatarini kukumbwa na Njaa, Magonjwa na Vifo na Wajawazito 55,000 hawana uhakika wa Usalama wakiwemo 5,500 wanaokaribia kujifungua mwezi Novemba.

========

The number of Palestinians killed in Gaza since Hamas attacked Israel on October 7 has surpassed 10,000, according to the Palestinian Ministry of Health in Ramallah drawing from sources in the Hamas-controlled enclave.

More than 70% of those killed were children, women and the elderly, while some 24,000 people have been injured, according to the ministry.

On Monday, the Hamas-controlled health ministry in Gaza said the death toll in the enclave had risen to more than 10,000.

Some background: Israel declared war on Hamas after the Islamist militant group launched a brutal attack on October 7, killing 1,400 in Israel and kidnapping more than 240. Israel retaliated by launching an air and ground offensive on Gaza, vowing to eliminate the militant group.

Thousands more Palestinians have been killed in Gaza in the past month than during conflicts with Israel spanning the past 15 years.

The United Nations Human Rights Office said the attacks last week on Gaza’s largest refugee camp “could amount to war crimes” given the scale of casualties and destruction.

CNN
 
Wewe una akili za matope kati ya binadamu. Yaani Israel inafanya uhalifu wa kivita wewe unashabikia. Kwanza wanakalia ardhi ya watu kimabavu, halafu wanaua hadi watoto wa Kipalestina katika ardhi yao. halafu wewe unawashabikia!!! mama aliyekuzaa amekula hasara na nchi imekula hasara.

Hiyo ni ardhi ya wayahudi,kasome historia vzr,wapalestina walikalia kwa muda mrefu haiwafanyi iwe yao.

Hamas ndio chanzo cha maumivu ya raia wa palestina,kinachofanyika ni kuondoa hamas kwa gharama yoyote.
 
Wewe una akili za matope kati ya binadamu. Yaani Israel inafanya uhalifu wa kivita wewe unashabikia. Kwanza wanakalia ardhi ya watu kimabavu, halafu wanaua hadi watoto wa Kipalestina katika ardhi yao. halafu wewe unawashabikia!!! mama aliyekuzaa amekula hasara na nchi imekula hasara.
Kwa hiyo wewe unauona uhalifu wa Israel lakini hukuona uhalifu wa Hamas walipoivamia Israel wakaua watu kwenye sherehe,wakakata watu vichwa,wakabaka wakateka wayahudi ila unaangalia upande mmoja kwa mizuka ya kidini

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
HAMAS hawajavamia Israel. Wanatetea ardhi yao iliyoporwa mwaka 19478 kimabavu. Uporaji uliendelea mwaka hadi mwaka. Ile nchi yoye kabla ya mwaka 1948 ni ardhi wa wapelstina na waarabu wachache na wayahudi wachache waliokuwepo pale miaka maelfu kwa maelfu. Israel haina ardhi tena pale, ni Wamamizi na waporaji.
 
Wewe una akili za matope kati ya binadamu. Yaani Israel inafanya uhalifu wa kivita wewe unashabikia. Kwanza wanakalia ardhi ya watu kimabavu, halafu wanaua hadi watoto wa Kipalestina katika ardhi yao. halafu wewe unawashabikia!!! mama aliyekuzaa amekula hasara na nchi imekula hasara.
Usichokijua watoto ni magaidi wa baadae ,lazima utolewe mfano Ili magaidi hao wa baadae wapate histori

Kikubwa na borazaidi waliambiwa watoke eneo Hilo ,kama wao na wazazi wao walijua watakuwa ngao dhidi ya mkong'oto kwa magaidi rahasha walikosea
 
HAMAS hawajavamia Israel. Wanatetea ardhi yao iliyoporwa mwaka 19478 kimabavu. Uporaji uliendelea mwaka hadi mwaka. Ile nchi yoye kabla ya mwaka 1948 ni ardhi wa wapelstina na waarabu wachache na wayahudi wachache waliokuwepo pale miaka maelfu kwa maelfu. Israel haina ardhi tena pale, ni Wamamizi na waporaji.
Kwa hiyo kutetea ardhi yao hao Hamas wanaruhusiwa kuwaua wayahudi na dunia yote ikae kimya Israel ikijitetea mnapaza sauti muonewe huruma mnauliwa waislamu

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wewe una akili za matope kati ya binadamu. Yaani Israel inafanya uhalifu wa kivita wewe unashabikia. Kwanza wanakalia ardhi ya watu kimabavu, halafu wanaua hadi watoto wa Kipalestina katika ardhi yao. halafu wewe unawashabikia!!! mama aliyekuzaa amekula hasara na nchi imekula hasara.
Hapo ndo mnakosea unataka wayahudi waende wapi? Huwezi kumsifia hamasi Kwa kuteka halafu ukailaumu Israel , vita ni mbaya , kwenye vita wahangaa Huwa ni watoto na wamama ambao hawezi kukimbia, kwa mawazo Yako ukipewa usuluhishe huu mgogolo unaweza kuchochochea mauaji mengine, Kwa Sasa Hamas wasakwe na kuachia mateka Ili vita iishe
 
Jiondoe kwenye NIRa ya udini ili uwe na kuwa na ubongo huru. Kinyume na hapo utakuwa unatoa maoni uhuku ukiwa mtumwa wa dini uliyoletewa.
 
Hapo ndo mnakosea unataka wayahudi waende wapi? Huwezi kumsifia hamasi Kwa kuteka halafu ukailaumu Israel , vita ni mbaya , kwenye vita wahangaa Huwa ni watoto na wamama ambao hawezi kukimbia, kwa mawazo Yako ukipewa usuluhishe huu mgogolo unaweza kuchochochea mauaji mengine, Kwa Sasa Hamas wasakwe na kuachia mateka Ili vita iishe
Kwani walikuwa wapi kabla 1962??
 
Wewe una akili za matope kati ya binadamu. Yaani Israel inafanya uhalifu wa kivita wewe unashabikia. Kwanza wanakalia ardhi ya watu kimabavu, halafu wanaua hadi watoto wa Kipalestina katika ardhi yao. halafu wewe unawashabikia!!! mama aliyekuzaa amekula hasara na nchi imekula hasara.
Ninyi si mliwaua kwa upanga mayahudi kipindi cha mtume wenu na bado kipindi cha Adolf Hilter mliwaua mayahudi milioni sita,tulieni nae alipize kisasi
 
Wewe una akili za matope kati ya binadamu. Yaani Israel inafanya uhalifu wa kivita wewe unashabikia. Kwanza wanakalia ardhi ya watu kimabavu, halafu wanaua hadi watoto wa Kipalestina katika ardhi yao. halafu wewe unawashabikia!!! mama aliyekuzaa amekula hasara na nchi imekula hasara.
Kwani kati ya israel na Parestina ni yupi aliyeanza kumshambulia mwezie ndg shekhe
 
Back
Top Bottom