maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Wakili Komba: Maswali ya Wakili wa Serikali Mkuu Katuga, kwa Heche yamedhalilisha taaluma ya sheria

    Mwanasheria maarufu, Aloyce Komba ametoa maoni yake kuhusu maswali ya dodoso yaliyofanywa na mawakili wa Serikali wakuu, akiwamo Wakili Nassoro Katuga. Haya ndio maelezo yake: 1. Ilidhalilisha taaluma ya sheria kwani ilikusanya maswali mengi ya umbea wa kisiasa na maisha binafsi ya shahidi...
  2. JamiiForums Maswali matano kwa Godbless Lema

    Nani alimtuma kuandika ujumbe kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alitoa salamu za rambirambi kwa Rais Samia Suluhu Hassan aliyefiwa na mumewe, Hafid Ameir? Hata kama kweli Lissu alimuuliza Makamu Mwenyekiti wa chama hicho wa Zanzibar, Said Mzee Said, kulikuwa na haja gani ya ku hype hizo...
  3. JamiiForums Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Salaam, Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu. Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo. 1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
  4. D

    JamiiForums Haki ya "AKWILINA AKWILINI" na maswali ambayo bado yananiumiza kichwa

    Kuna mambo ambayo jamii inaweza kuyasahau kadri muda unavyopita, lakini kuna maumivu ambayo hayawezi kufutwa kwa kupita kwa miaka. Kisa cha Binti Akwilina ni miongoni mwa mambo hayo. Leo nimeona mjadala huu ukirudi tena baada ya Bwana Heche kuzungumzia suala hili. Imenifanya nitafakari tena...
  5. F

    JamiiForums Nani anatakiwakumpa Rais rikizo ya maombolezo?

    Habari Wana jamii.. Binafsi kulingana na hali inayoendelea Sasa Kuna maswali nimekaa nakutafakari sana.. Ikiwa katiba ya nchi yetu inamtaka raia anaetaka kugombea ngazi ya Raisi.. awe na mwenza wake. Je katiba inasemaje ikiwa Raisi aliemadarakani amefiwa na mwenza wake? Nani anatakiwa kumpa...
  6. JamiiForums Maswali ambayo watanganyika wanapaswa kujiuliza kuhusu Muungano na Tanganyika

    Tukiacha kwanza hisia, itikadi na hofu za kisiasa, kuna swali moja la msingi: Je, ndani ya Muungano wa watu wawili, Tanganyika bado ipo kama upande wa Muungano, au imegeuka kuwa jina la kihistoria huku Tanzania Bara ikitumika kama sura ya Tanganyika ndani ya Muungano? A. Kuhusu utambulisho wa...
  7. JamiiForums “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  8. I

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Usalama Nairobi: Tukio la Mchana Linalowafanya Wakenya Kuuliza Maswali

    Hali ya usalama Nairobi inaendelea kuwa mbaya. Video hii inayosambaa mitandaoni inaonyesha mwanamke akipokonywa simu mchana peupe kwenye barabara ya Thika Super highway. Vijana wawili wanaonekana wakimbana kwenye ukuta na kuondoka na simu yake. Ni picha ya wazi ya jinsi uhalifu na vurugu...
  9. H

    JamiiForums Haya ndio Maswali Muhimu ya Lissu kwa Mashaidi kuhusu kauli za Raisi Zitakazomlazimisha Samia aitwe mahakamani

    Lisu kwa Golugwa. ' 1. Je baada ya maoni ya Jumuia za kimataifa juu za ubovu wa uchaguzi serikali ilifanyeje Golugwa: Mama alihutubia akasema wasitupangie. Tundu lisu; Je hizo lipoti zilimaanisha nini? Golugwa ; mifumo yetu ya uchaguzi lazima ibadilike ili itende haki labla ha chaguzi nyingine...
  10. H

    JamiiForums Kesi Dhidi ya Lisu: Wakili Mwenye Uwezo Mdogo, Katuga Aambiwa na Shahidi Mnyika, Asikilize Majibu Kama Mtu Mwenye Utimamu wa Akili

    Majibu ya John Mnyika yanadhihiridha uwezo mkubwa wa akili wa John Mnyika dhidi ya maswali yasiyo na weledi ya Katuga. Sijui kwa nini serikali inapendelea kuwa na mawakili matapeli wa taaluma!! Angalia maswali machache ya wakili duni wa serikali kwa shahidi mwenye akili kubwa John Mnyika...
  11. M

    JamiiForums Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho Leo September...
  12. JamiiForums TikTok live (Dukuduku) ya Pipy Tida chazidi kupamba moto na kuibua maswali juu ya ulinzi wa taarifa binafsi

    Kipindi cha Dukuduku kinachoendeshwa kupitia TikTok na mtayarishaji wa maudhui Pipy Tida kimeendelea kuvuta hisia za watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na namna kinavyogusa maisha ya kawaida na masuala yanayowakabili watu katika jamii. Kupitia kipindi hicho, Pipy Tida huibua mada...
  13. H

    JamiiForums Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.
  14. JamiiForums The class is big but English is the problem. Kocha wa Yanga amewachana live waandishi wetu, wana maswali lakini hawamuulizi.

    Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya Taifa, kwanini waandishi mnashindwa kuitumia kwenye kazi zenu? Tanzania hatuhitaji mkalimani wa kiingereza kwakuwa English inafundishwa kuanzia chekechea, shule za msingi, sekondari hadi vyuoni, kwanini hamjui kuiongea? Wewe mwandishi wa habari bila shaka...
  15. JamiiForums Maswali ambayo huwa najiuliza kuhusu maisha, destiny na “Kwa nini mimi?”

    Kuna wakati nimejikuta nikifikiria sana kuhusu maisha ya mwanadamu na jinsi ambavyo kila mmoja wetu amekuja kuwa yeye. Kwa nini mimi nimekuwa mimi? Kwa nini wewe umekuwa wewe? Na kama mambo machache tu yangekuwa tofauti, je, tungekuwa watu gani leo? Kwa mfano: Kwa nini Seran asingekuwa Ephe...
  16. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Mathare: Kijana afariki akiwa mikononi mwa Polisi, wananchi waandamana kushinikiza haki na uchunguzi huru

    Wakazi wa Mathare wameandamana wakitaka haki na uchunguzi wa kina kufuatia kifo cha kijana Eric, ambaye familia yake inasema alijeruhiwa akiwa katika seli za polisi. Kulingana na taarifa iliyo kwenye video ya NTV iliyotumwa, familia imeomba uchunguzi huru wa mwili (independent autopsy) ili...
  17. JamiiForums Maswali Usaili Mkaguzi Daraja la II (NAOT)

    Maswali yanayoulizwa katika usaili huu yamejikita maeneo manne ambayo ni: Uelewa wa mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii, Maswali kuhusu taaluma yako, Maswali kuhusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Maswali kuhusu kompyuta, internet na akili mnemba na maswali kuhusu hesabu. Japo lolote...
  18. JamiiForums Kuna maswali kama Baada ya utawala mwisho wako utakuwaje.

    Hata ufie ukiwa ofisini ila nauliza tu Je baada ya utawala mwisho wako utakuaje kama usikilizi viongozi wema wadini sio wanaokusifia. Sawa ukawa umetoka kwenye utawala ndio hawa wanaolalamika sisi mtaani kwa nini tukuwa pamoja wakati nguvu zimekuishia na ulivyo kuwa na nguvu mbona ulituona sio...
  19. E

    JamiiForums Ufafanuzi wa TPDC kuhusu Mafuta: Maswali Bado

    Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta. Nimesikiliza hotuba Yao na kurejea maswali ya ACT kiukweli bado ufafanuzi inahitajika Nakuwekea maswali ya ACT hapa...
  20. A

    JamiiForums DOKEZO Taharuki Mpimbwe: Katibu wa Hospitali Asimamishwa Baada ya Kuibua Maswali ya upigaji wa Fedha

    Katibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mpimbwe amesimamishwa kazi na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe baada ya kuhoji masuala yanayohusu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya pamoja na matumizi ya fedha za ujenzi wa njia za watembea kwa miguu (walkway) katika hospitali ya wilaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…