Mashujaa Waliolala Makaburi ya Kisutu

Mashujaa Waliolala Makaburi ya Kisutu

Nilijua tu lazima Sykes atajwe
Voice of Mtwara,
Abdul Sykes alipata mkosi mkubwa wa hasad katika maisha yake.

Allah alimjaalia nema kubwa nyingi katika umri mdogo sana.

Akiwa katika King's African Rifles (KAR) Burma Infantry 6th Battalion alikuwa na cheo kikubwa kupita Waafrika wenzake, " Quarter Master Sergeant."

Abdul Sykes alikuwa na miaka 20.

Mwaka wa 1947 akiwa na miaka 24 Waingereza walimteua kuwa Secretary wa Dar es Salaam Dockworkers Union.

1950 akachaguliwa kuwa Secretary wa TAA na mwaka huu huu akafanya mkutano wa siri na President wa KAU, Jomo Kenyatta na wazalendo wengine wa Kenya: Peter Mbiu Koinange, Kungu Karumba, Bildad Kaggia, Paul Ngei na Karume Njega.

1952 Abdul Sykes akampoke Nyerere Dar es Salaam wakati huo akiwa Act. President wa TAA na Secretary.

Wakati huo ni Market Master Soko la Kariakoo.

1953 Abdul Sykes na Julius Nyerere waligombea nafasi ya Rais wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo.

Ilikuwa tarehe 17 April 1953.
Sina haja ya kueleza zaidi ila moja.

Abdul Sykes hayupo katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika si kwa lolote ila hasad.

Wewe unaghadhibika jina la Abdul Sykes kutajwa kwa sifa ambayo ni haki yake.

Jiulize kwa nini Nyerere alikwenda kumzika Abdul Sykes Makaburi ya Kisutu?

Abdul Sykes sijaishia kumtaja.
Nimeandika kitabu cha maisha yake.

Kitabu hiki kimependwa sana na kimebadili si historia ya Nyerere bali hata historia ya uhuru wa Tanganyika.

Elewa kuwa kadi ya TANU ya Abdul Sykes ni kadi no. 3.

Nisimtaje Abdul Sykes nieleze nimtaje nani roho yako iridhike?

Mwalimu Nyerere alipoacha kazi ya ualimu alikwenda kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes.

Hudhani kuwa historia hii ni ya kutukuka?

Dar es Salaam ile kulikuwa na vijana wawili tu waliokuwa wakiendesha Mercedes Benz - Abdulwahab Abbas na Abdulwahid Sykes.
 
1. Alipaswa kuzikwa wapi? kwani kuna makaburi ya viongozi/mashujaa hapa Tz?
2. unadhani alipaswa kupewa wadhfa gani serikalini? kwanini hakupewa?
3. kwani kuna kitabu rasmi cha serikali au CCM kinachoelezea historia ya mapambano ya kutafuta uhuru? ni vitabu gani hivyo vya historia visivyomtaja Sykes?
 
Sijui swali lako la kwanza umekusudia nini lakini nitajibu kadri ya ufahamu wangu.

Sisi Waislamu Dar es Salaam wengi tunazikwa Kisutu.

Kuhusu swali la pili kuhusu wadhifa mimi sijazungumza popote kuhusu hilo.

Suala la tatu ni kuhusu kitabu rasmi cha CCM kinachoeleza historia ya TANU.

Kitabu hiki kinaitwa "Historia ya TANU 1954 - 1977 na kimeandikwa na Chuo CCM Cha Kivukoni (1981).

Abdul Sykes, Ally Sykes Abbas Sykes na hata baba yao aliyeunda African Association 1929 hajatajwa katika harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Tuachanene na hadithi za watu wa kale waliokufa, sasa tuijenge nchi yetu, tudeal na uvumbuzi technologia,tuweze kutengeneza hata drones na mifumo ya ulinzi ya anga. Historia haitusaidii chochote
 
Holoholo...
Naamini hukusudii tuifute historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
Fimbo...
Wakati Jopo la Waandishi wa Chuo Kikuu Cha CCM Kivukoni chini ya Dr. Mayanja Kiwanuka wanaandika historia ya TANU mwaka wa 1981 mjumbe wa Jopo hilo Hassan Upeka aliwasilisha historia ya Abdul Sykes katika kuasisiwa kwa TANU.

Dr. Kiwanuka alikataa kupokea historia ya Abdul Sykes kwa madai kuwa historia inayoandikwa haina uhusiano wowote na Abdul Sykes.

Hassan Upeka alikuwa Usalama wa Taifa na nilibahatika kumuhoji na ndiyo akanieleza haya .
 
Fimbo...
Wakati Jopo la Waandishi wa Chuo Kikuu Cha CCM chini ya Dr. Mayanja Kiwanuka wanaandika historia ya TANU mwaka wa 1981 mjumbe wa Jopo hilo Hassan Upeka aliwasilisha historia ya Abdul Sykes katika kuasisiwa kwa TANU.

Dr. Kiwanuka alikataa kupokea historia ya Abdul Sykes kwa madai kuwa historia inayoandikwa haina uhusiano wowote na Abdul Sykes.

Hassan Upeka alikuwa Usalama wa Taifa na nilibahatika kumuhoji na ndiyo akanieleza haya .
ok sawa
 
Voice of Mtwara,
Abdul Sykes alipata mkosi mkubwa wa hasad katika maisha yake.

Allah alimjaalia nema kubwa nyingi katika umri mdogo sana.

Akiwa katika King's African Rifles (KAR) Burma Infantry 6th Battalion alikuwa na cheo kikubwa kupita Waafrika wenzake, " Quarter Master Sergeant."

Abdul Sykes alikuwa na miaka 20.

Mwaka wa 1947 akiwa na miaka 24 Waingereza walimteua kuwa Secretary wa Dar es Salaam Dockworkers Union.

1950 akachaguliwa kuwa Secretary wa TAA na mwaka huu huu akafanya mkutano wa siri na President wa KAU, Jomo Kenyatta na wazalendo wengine wa Kenya: Peter Mbiu Koinange, Kungu Karumba, Bildad Kaggia, Paul Ngei na Karume Njega.

1952 Abdul Sykes akampoke Nyerere Dar es Salaam wakati huo akiwa Act. President wa TAA na Secretary.

Wakati huo ni Market Master Soko la Kariakoo.

1953 Abdul Sykes na Julius Nyerere waligombea nafasi ya Rais wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo.

Ilikuwa tarehe 17 April 1953.
Sina haja ya kueleza zaidi ila moja.

Abdul Sykes hayupo katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika si kwa lolote ila hasad.

Wewe unaghadhibika jina la Abdul Sykes kutajwa kwa sifa ambayo ni haki yake.

Jiulize kwa nini Nyerere alikwenda kumzika Abdul Sykes Makaburi ya Kisutu?
swali langu lililohoji "ulitaka azikwe wapi?" limetokana na mstari huu unaohoji kwanini Nyerere alimzika Sykes Kisutu

Back
Top Bottom