mashujaa

Heroes' Day or National Heroes' Day may refer to a number of commemorations of national heroes in different countries. It is often held on the birthday of a national hero or heroine, or the anniversary of their great deeds that made them heroes.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa iliyofanyika Stendi ya Jamatini na Uwanja wa Mashujaa Mwaka 2018 iliwaathiri Watu wengi kisha hakuna kilichofanyika

    Mwaka 2018, Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya usimamizi wa Mkurugenzi wake, Masanja Kadogosa lilifanya bomoabomoa kubwa katika maeneo mbalimbali kando ya Reli ya Kati, likiwa na lengo la kuhifadhi na kulinda miundombinu ya reli. Zoezi hilo liliathiri maeneo muhimu ya biashara na makazi...
  2. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wa Meli ya Titanic

    Wakati meli ya Titanic inazama ilikua imembeba Billionare John Jacob Astor IV, Pesa aliyokua nayo alikua ana uwezo wa kujenga Meli zaidi ya 30 kama hiyo ya Titanic, Titanic ilijengwa kwa mwaka 1912 kwa $7.5 million ambayo kwa sasa ni sawa na $ 400 million ambayo ni sawa na Tsh...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mechi ya Yanga vs Mashujaa

    Coach Saed Ramovic Sasa tumeanza kumwelewa Wachezaji wa Yanga wameongeza fitness Prince Dube Hat trick ya kwanza kwenye NBC pl mwaka huu, nilimwambia ni suala la muda Sasa naamini tumemwona top scorer wa ligi, sio mpaka avizie kufunga penalties Job & Bacca Wamefanya vyema kama kawaida Yao...
  4. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Mashujaa leo kipigo chao si chini ya bao 2 toka Yanga. Dube anatupia ameshafunguliwa

    Wachezaji hawa 1. Prince Dube 2. Aziz Ki 3. Chama Lazima wote au baadhi wa/atupie. Hilo lipo wazi limepitishwa. Na Dube alifanyiwa maombi majini yaliyotupwa kwake na wazee wa Zanzibar yameondolewa. Sasa yupo huru kweli kweli atakuwa anatupia tu. Aziz Ki naye amekaa sawa hakutakuwa na shida...
  5. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Mashujaa FC 📆 19.12.2024 🏟 KMC Complex 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Ligi, Yanga na Mashujaa kuamriwa na Polisi kesho Disemba 19

    Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi huyu, ambaye pia ni miongoni mwa waamuzi waliothibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
  7. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Namkumbuka Saddam Hussein na Muamar Ghadaf. Walikuwa Mashujaa kweli kweli

    Ghadaffi alikataa kukimbia nchi akapambana mpaka tone la mwisho. Alipambana akafa akipambana. Hakukimbilia kwa mabeberu, alipambana akashinda. Saddam Hussein naye alikataa kukimbia. Alipambana mpaka mwisho. Mpaka naye akapambana na kupambana akashinda. Assad, khaaaaah! Salaleeeeeh awezaje...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Chana Awataka Watanzania Kuwaenzi Mashujaa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa kuendeleza utu, amani na ubinadamu walioupigania ili kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi. Ametoa kauli hiyo leo alipokuwa mgeni rasmi katika Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa...
  9. Decruise

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wetu wa zamani bado wanathaminiwa katika kufundisha kizazi kilichopo mashuleni?

    Nataka Kujua mashujaa wa kipindi cha nyuma kama kina chifu mkwawa bado wana somwa kweli mtaala wa elimu wa sasa?
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba itapata Sare na Mashujaa

    Habari. Sina Mda kuanza kutoa takwimu Mara kuchambua Mchezo wa Leo Ili kuthibitisha hio heading ya Uzi. Ila hizi ni hisia zangu tu..Narudia hizi ni Hisia Zangu sio kimbinu wala Nini! Simba at Draw Leo na Mashujaa. Good morning 🇵🇹
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

    Mashujaa VS Simba SC | NBC Premier League Uwanja wa Lake Tanganyika Tarehe 1 November, 2024
  12. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa Simba tusiende Kigoma kuikabili Mashujaa kitoto, jamaa wako vizuri msimu huu

    Moja ya mechi ngumu mikoani ni pamoja na hawa wanajeshi wa mpakani, Mashujaa, msimu huu wako vizuri sana, leo nimewaona wakiipelekesha Fountain Gate pale Kirumba na ilikuwa waondoke na point 3 lakini Salum Kihimbwa akasawazisha. Mashujaa wamebadilika sana, msimu uliopita hawa jamaa kule kwao...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

    SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader "Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara...
  14. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 29.09.2024

    Match Day Mashujaa Fc 🆚 Azam Fc 🏆 #NBCPremierLeague 🕓 Saa 10:15 Jioni 🗓️ 29.09.2024 🏟️ Lake Tanganyika Nb: Tutawakumbusha kazi wanayoweza kuifanya tofauti na kabumbu🍦🦍 Mashujaa ndio sisi. KIKOSI CHETU KINACHOANZA. KIKOSI CHAO KINACHOANZA LEO. Updates... Dakika 10' 0-0 HALFTIME...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akicheza Mchezo wa Bao Pamoja na Kuwaenzi Mashujaa wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu ndiye Rais wetu,Rais Makini,hodari,shupavu,imara, madhubutu na mwenye maono Makubwa.Rais Mwenye utulivu na misimamo madhubuti.Rais Mwenye akili na upeo wa kiuongozi. Hanaga Makuu wala majivuno Mama yetu,hanaga kiburi wala dharau Mama yetu.yeye ni mtu wa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC

    Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex. Lawi amejiunga na Coastal Union baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Simba Sports Club na Coastal Union, ambapo Simba ilikubali...
  17. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa walimu wenzangu

    Huu mwezi kumetokea matukio mengi kwa Walimu na wanafunzi, Walimu wakitoa vipigo vikali sana kwa wanafunzi, wanafunzi wakipokea ngumi chembe kidevu, ngumi za macho, fimbo 50. Sikatai wanafunzi wasipigwe lakini, piga fimbo zako tatu au nne then pita kushoto, sasahivi mitandao imeleta mapinduzi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili. Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila ameongoza viongozi na mamia ya wananchi wa Mkoa, katika maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa wa Tanzania

    RC CHALAMILA AONGOZA VIONGOZI NA MAMIA YA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA-DSM. -Amtaja Rais Dkt Samia kuwa shujaa aliye hai kutokana na kazi kubwa anayoifanya ndani ya Taifa hili. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ameongoza viongozi na mamia ya...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

    Mashujaa Vs Simba SC | Lake Tanganyika Stadium | CRDB Confederation Cup | Aprili 9, 2024 KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA MASHUJAA
Back
Top Bottom