masharti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Ameniomba Msamaha lakini ameniwekea Masharti

    Miezi michache iliyopita, nilitengana na mwenzi wangu wa muda mrefu baada ya kusitisha kuota mahari nyumbani kwao na kuamua kumsaidia rafiki yangu ambae alikuwa kwenye changamoto fulani za kimaisha. Nilipomjulisha kwamba nitaahirisha kutoa mahari, hakukubali na aliniomba tuachane. Nilikubali...
  2. JamiiForums Tanzania Moja ya Masharti waliyopewa ni Kutojumuika tena Maria Space kuponda

    1. Lema 2. Mbowe 3. Lissu huyu bado ana ukaidi anasema yeye hawataweza mzuia so atashiriki tu. Ila Lema na Mbowe wao wameelewa somo kuwa sasa ni mwendo wa praise and worship tu kama ilivyokuwa kwa Sukuma Gang sasa ni M. Gang. Kwenye majukwaa wanatakiwa wawe wanazungumzia tu awamu ya 5 basi...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Baraza la Ulamaa lilimpa masharti Mufti Mkuu, Amuondoe Alhad Mussa, Aondoke yeye au Waondoke wote wawili

    Baada ya kutafutwa Sheikh Alhad na kumweleza tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kupendelewa na Mufti Zubeir kutokana na ukaribu wao wa kifamilia, kuingilia majukumu ya Baraza la Ulamaa ambapo alisema leo atalitolea ufafanuzi jambo lake. “Leo nitazungumza pale Karimejee hall, karibu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka binti yangu(Mkristo) kwenye seminary ya kiislamu iliyopo Dar (wanasoma day). Je, ipi ambayo haina masharti ya kutaka awe muislamu?

    Naombeni msaada tafadhali. Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc. Mambo mengine yote atafuata kama mavazi na sheria nyinginezo za shule?.ushauri wenu tafadhali. Iwe dsm...
  5. JamiiForums Tanzania Nauliza tu, huko Kusini mmeishiwa majina, kila mtu anaitwa Sanga tu, and ndio masharti ya utajiri?

    Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko Kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au? Nini kinaendelea? Kila mtu Sanga, Sanga..., Sangaa ...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Masharti ya maridhiano yamelenga ulaji wa Nusu mkate kwa wanasiasa

    Ndugu wakigombana shika jembe ukalime ili siku wakipatana urudi shamba ukavune! Vyama vya siasa katika muktadha wa maridhiano vimeshinikiza baadhi ya viongozi kuhamishwa na kutenguliwa! Si kwasababu hawafai Bali ni kwa maslahi ya maridhiano! Maridhiano hayakumtaka afande Sirro ikabidi astaafu...
  7. JamiiForums Tanzania Ruhusa ya mikutano ya hadhara ni utashi wa watawala au imeshinikizwa na masharti ya wakubwa wanaotoa mikopo?

    Tanzania imefungua ukurasa mpya wa demokrasia kwa kurejesha haki ya wananchi kushiriki mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.Tunachosubiri kuona ni je kweli kuna utashi wa kisiasa kuruhusu mikutano hii au ni shinikizo la wakubwa? Maana yake kama ni utashi wetu basi ruhusa hii itatolewa bila...
  8. JamiiForums Tanzania Anayejua masharti yote ya Mkataba wa Feitoto na Yanga kufatwa ni Feitoto mwenyewe na Engineer tu. Tusiwasemee ukweli utajulikana

    Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe. Wachezaji Wana Siri nzito Sana.
  9. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tutanunua madeni yaliyowahi kukopwa kwa masharti ya kibiashara

    “Tumeshafanya majaribio hata kutaka tupate fedha zenye masharti nafuu tununue madeni ya nyuma ambayo yaliwahi kukopwa commercial [kukopwa kwa masharti ya kibiashara] tuyapeleke kwenye masharti nafuu, [..] ili tuwape Watanzania unafuu.” -Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba
  10. JamiiForums Tanzania Apple yakubali masharti ya EU, iPhone zitaanza kuja na mfumo wa USB-C

    Makamu wa Rais wa Idara ya Masoko kutoka Apple, Greg Joswiak amesema hawana uamuzi mwingine zaidi ya kufuata maagizo hayo na kuanza utekelezaji japokuwa hawakubaliani nayo. Amesema "Apple haijafurahishwa sana na hii, tunafikiri mbinu hiyo ingekuwa bora zaidi kimazingira, na bora kwa wateja wetu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mgunda na Kibu Denis, sote tukubaliane Bila masharti , Simba ni liduude likubwa Sana!

    Hebu fikiria Kibu Denis alicheza Mbeya huko miaka na miaka!! Lakini siku alitia mguu wake Simba Tanzania yote ilisimama! Na hatimaye mambo ya Uraia yakajitokeza! Amini nakuambia angeenda yanga Wala hakuna kelele ambazo zingesikika! Sasa tuje Kwa Juma Mgunda, Yeye alishafundisha mpaka Timu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe masharti ya kupata mbolea yanaashiria mbolea hamna. Nimeanza kukosa imani

    Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea. Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe...
  13. JamiiForums Tanzania Lebanon: Jaji aamuru aliyevamia benki akiwa na bunduki aachiwe huru bila masharti

    Jaji Nchini Lebanon ameamuru Bassam al-Sheikh Hussein (42) ambaye alikamatwa na kuweka kizuizini kutokana na kuvamia benki akiwa na bunduki akitaka apewe fedha zake, aameachiwa huru bila masharti. Hussein alivamia Benki ya FBL Jijini Beirut akitaka apewe Dola 35,000 (Tsh. Milioni 81) kati ya...
  14. JamiiForums Tanzania Utajiri wa ushirikina una masharti magumu sana

    Bwa Uyoga alikua mfanyabiashara wa kawaida lakini huku Kwamtogole tulimuona wa mboga saba, alikua na usafiri wa IST na mke wake hakupanda basi kwenda sokoni. Watoto walisoma English Medium. Katika kupambana na maisha alikutana na fundi aliyemuahidi utajiri wake utaongezeka akifuata masharti...
  15. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara kijana aandaa kaburi lake baada ya kukiuka masharti ya Mganga

    Mfanyabiashara Kijana wa Nakonde nchini Zambia mwenye umri wa miaka 29 ameanza kuandaa kaburi lake baada ya kuambiwa na Mganga wake wa Sumbawanga kuwa atakufa hivi karibuni kwa kukiuka masharti ya utajiri wake. Grigory Siame ambaye alikuwa maskini sana hadi alipoenda kuonana na mganga miaka 8...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

    Habari wadau. Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke. Masharti ni awe na asset net worth 150m. Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32. Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote. Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Yupo anayepewa bila mizinga wala masharti, anakula mpaka anaikinai na anapelekewa bila kuomba. Usilazimishe, wewe sio chaguo lake!

    Hali ndivyo ilivyo, hata kwenye urafiki wa kujuana na watu kawaida tu kuna yule mtu hata akijenga nyumba porini bado atatembelewa ila kuna yule aliejenga sehem ya karibu ila hatembelewi mpaka labda kuwe na party na watu hapo wamekuja kwajili ya vinywaji na si kwajili ya mtu. Kuna mtu akikupigia...
  18. JamiiForums Tanzania Gavana BOT aagiza benki zipunguze masharti ya mikopo na riba

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga amezitaka Benki na Taasisi za fedha kupunguza masharti ya mikopo na riba ili malengo yaliyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ya kuwawezesha wananchi kiuchumi yaweze kutimia. “Tumeelekeza benki ambazo hazishushi gharama za uendeshaji...
  19. JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaidia mtu ambae mnajuana kidogo au humjui kabisa bila malipo / masharti na siku za mbele akaja kukusaidia ili kurudisha fadhila

    Huwaga naskia kuna stori kwamba kuna watu huwa wanakuja kusaidiwa huko mbele ya safari na watu wasiowajua ama kujuana kwa mbali ambao waliwahi kuwasaidia kipindi ha nyuma. Je, wewe ni moja wapo ama una mtu unaemjua uliewahi kushuhudia kaja kusaidiwa na mtu ambae aliwahi kumsaidia na walikuwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Umefika wakati sasa wa Serikali kulegeza masharti ya umilikishaji wa silaha kwa watoto wa kike

    Kutokana na haya tunayoyaona yakiendelea ya akina Swalha Kiduku kupigwa risasi kichwani, naona iko haja ya Wanawake hasa walioko kwenye ndoa kuwezeshwa kumiliki miguu ya kuku (bastola) ili kubalance mahesabu Au mnasemaje masela ? Tuuze nchi tugawane mahela ? Naomba uzi huu bwana GENTAMYCINE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…