masharti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Mo apewe Simba sports club bila masharti

    Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala anaemuwakilisha mkuu wa mkoa
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Fei Toto aweka Masharti magumu kwa Azam, anataka Tsh Milioni 70 kila Mwezi ili asaini Mkataba Mpya

    Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam. Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza. Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa; Tunduma INYALA YAWAYA MAKWENJE DARAJANI SHAMWENNGO IMEZU MWASHOMA ITEWE NYASHISHI NGUDU kIBOSHO Na maneo...
  4. fakhbros

    JamiiForums Tanzania Tamani ina masharti

    Thamani Inamasharti Watu huonyesha kupendezwa na wewe unapokuwa tajiri, unapokuwa unawavutia katika kitu furani au haupo tena duniani. Madhara ya Hasira Maamuzi yanayofanywa kwa hasira hayawezi kubadilishika baada ya matokeo nyakati zako za ghadhabu sio nyakati bora za kuamua chochote...
  5. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Muungano una kipengele cha ‘Masharti ya Kuuvunja’?

    Wataalamu wa mambo ya sheria mtakubaliana na mimi kuwa mkataba wowote halali lazima uwe na kipengele cha kuvunja ambacho kinaeleza ni mambo gani yanaweza kupelekea mkataba husika kuvunjika. Kwa walio na mkataba wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar je kuna kipengele hicho na endapo kipo kina...
  6. davetz 23

    JamiiForums Tanzania Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

    Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS walegeza masharti huku vifo vya Wapalesina vikifikia 38,514

    Yaani watu 38,514 kuuawa sio mchezo, hesabu mmoja mmoja mpaka unafikia hiyo namba, na yote hiyo kisa ujinga wa kidini uliofanywa na HAMAS magaidi wa uislamu, sasa wanalegeza misimamo huku wakiendelea kuuawa................ Hamas on Saturday tentatively accepted a US-backed proposal for a phased...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aweka masharti, kwamba hatakubali makubaliano yoyote ambayo yatasimamisha vita kabisa

    Kwamba kila kinachojadiliwa lazima kihusishe malengo ya hivi vita vya kufanya usafi pale Gaza. Prime Minister Benjamin Netanyahu set out Israel’s redlines for a hostage and Gaza ceasefire deal ahead of a critical Doha summit on the matter Wednesday, which will be led by CIA Director William...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanawake wanaofanya Ngono mara Tano ( 5 ) kwa Wiki hawazeeki haraka kuliko wale wanaoibania 'Mbunye' na kuitoa kwa Uchoyo na Masharti

    Nendeni huko TimesFmTz ( katika Mtandao wao ) ili mkajiridhishe Wenyewe. Ukipinga basi uje na Tafiti yako nawe Ok? ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwaliko na masharti ya ajabu Eid

    Sikutegemea kama rafiki yang kipenzi utakuwa na roho mbaya kiasi hiki aisee! Yani bila aibu kwenye mualiko wako unanimbia kuwa nikija kwako kula mwisho sahani moja.? Aisee umenifunza kitu.
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini. Asema utalipwa kwa miaka 40

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini. Soma: - Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kupeleka kombe Mlima Kilimanjaro ni kutekeleza masharti ya waganga

    Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa kama tunataka kukaa kileleni tukapeleke kitu kule mlimani, bahati mbaya Injinia akatonywa na wasaliti...
  13. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

    Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
  14. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Elimu ya talaka, namna ya kudai talaka, vigezo na masharti ya kuandika talaka

    Habari za Leo wanajforum? Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na mada ya kutalikiana kwa wanandoa, huenda ni elimu ya watu wazima tu. Lakini hatuna budi kujifunza...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Atoa Masharti Magumu ya Msaada wa Kiufundi kwa Wawekezaji

    - Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited - Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye mkataba - Serikali kutoa utaratibu mpya juu ya msaada wa kiufundi(technical support) Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company...
  16. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka MSHINDI. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linaloelezea TANZANIA...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yalegeza masharti kuwezesha kupatikana mateka wake 40 kati ya wale wanaoendelea kushikiliwa na vikundi vya wapiganaji Gaza

    Matumaini ya kupatikana nafuu kwa wapalestina karibia milioni 2 na nusu wanaoangamia kwa vita na njaa yameanza kupatikana. Katika mazungumzo ya kusitisha vita baina ya Israel na Hamas kila upande umelegeza masharti yake ili kufikiwa kwa lengo hilo. Kwa mujibu wa taarifa zinazovuja kutoka kikao...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yaacha kuiendekeza Israel. Yapeleka azimio UN kutaka vita vya Gaza visitishwe bila masharti yoyote

    Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka. Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani...
  19. Dr Adinan

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kudhibiti kisukari licha ya kutumia dawa na kufuata masharti

    Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana. Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina ya vyakula na kiwango lakini yeye ameweza kudhibiti ila mimi siijaweza. Tatizo nini? Wagonjwa...
  20. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Masharti ya nyumba za kulala wageni kuzuia jinsia moja kulala chumba kimoja

    Jamani hivi Serikali imetoa tamko kulazimisha lodge zote mjini na mikoani kukataza watu wa jinsia moja kushare chumba? Hata kama sawa mnataka kuzuia mapenzi ya jinsia moja; hamuoni mnatutesa na wengine bila sababu? Imagine unasafiri na rafiki yako na mpo kwa budget mnataka kushare chumba halafu...
Back
Top Bottom