Masharti ya maridhiano yamelenga ulaji wa Nusu mkate kwa wanasiasa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime ili siku wakipatana urudi shamba ukavune!

Vyama vya siasa katika muktadha wa maridhiano vimeshinikiza baadhi ya viongozi kuhamishwa na kutenguliwa!
Si kwasababu hawafai Bali ni kwa maslahi ya maridhiano!

Maridhiano hayakumtaka afande Sirro ikabidi astaafu!

Maridhiano yamembadilisha DCI, lakini pamoja na kupelekwa kuwa katibu mkuu bado ikaonekana atakuwa mwiba kwa wapinzani kuitembelea ikulu!

Imebidi napo atoke atataftiwa kichaka kingine!

  • Maridhiano bado yanamtafta msajili wa vyama,
  • maridhiano yanamtafta mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,
  • maridhiano yanamtafta kingai arudi kusoma magazeti makao,
  • Maridhiano yanamtafta waziri wa mambo ya ndani!
  • Maridhiano hayamhitaji msigwa!
Haya ni machache tu ya masharti ya hawa wapinzani wasaka tonge!

Lakini wapinzani nao wapewa masharti mazito zaidi!

Watakuwa kama trekta iliyong'olewa mataili watapiga kelele wakiwa hapo hapo !

Jambo ambalo halitakuwa na manufaa kwa wananchi wa kawaida, wala ishu ya katiba mpya ni kiini macho wanakwenda kuifumua rasmu ya warioba vipande vipande na wapinzani wataafiki kisa nusu mkate!

Wamekubali kwa sababu wanataka ubunge, wanataka ruzuku, wanataka bahasha na biashara zao ziende!

Haya ni Maridhiano ya nusu mkate, funika kombe mwanaharamu apite!

Naachana siasa rasmi ngoja nifanye mambo yangu
 
Haya ni machache tu ya masharti ya hawa wanapinzani was aka tonge!

Lakini wapinzani nao wapewa masharti mazito zaidi! Watakuwa kama trekta iliyong'olewa mataili watapiga kelele wakiwa hapo hapo! Jambo ambalo halitakuwa na manufaa kwa wananchi!

Haya ni Maridhiano ya nusu mkate
Watanzania AKILI zetu zina shida sana.

NI KWELI HAO WOTE HAWAFAI TENA ILIBIDI WAWE JERA KABISA KWA YALE WALIOYAFANYA 2015 - 2020.
 
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime ili siku wakipatana urudi shamba ukavune!

Vyama vya siasa katika muktadha wa maridhiano vimeshinikiza baadhi ya viongozi kuhamishwa na kutenguliwa!
Si kwasababu hawafai Bali ni kwa maslahi ya maridhiano!

Maridhiano hayakumtaka afande Sirro ikabidi astaafu!

Maridhiano yamembadilisha DCI, lakini pamoja na kupelekwa kuwa katibu mkuu bado ikaonekana atakuwa mwiba kwa wapinzani kuitembelea ikulu!

Imebidi napo atoke atataftiwa kichaka kingine!

  • Maridhiano bado yanamtafta msajili wa vyama,
  • maridhiano yanamtafta mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,
  • maridhiano yanamtafta kingai arudi kusoma magazeti makao,
  • Maridhiano yanamtafta waziri wa mambo ya ndani!
  • Maridhiano hayamhitaji msigwa!
Haya ni machache tu ya masharti ya hawa wanapinzani was aka tonge!

Lakini wapinzani nao wapewa masharti mazito zaidi! Watakuwa kama trekta iliyong'olewa mataili watapiga kelele wakiwa hapo hapo! Jambo ambalo halitakuwa na manufaa kwa wananchi!

Wamekubali kwa sababu wanataka ubunge, wanataka ruzuku, wanataka bahasha na biashara zao ziende!

Haya ni Maridhiano ya nusu mkate
Naomba uniambie tu wewe ni nani kati hao watu wote hapa uliowataja? Msigwa! Kingai! Msajili wa vyama vya siasa,.....!!!!
 
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime ili siku wakipatana urudi shamba ukavune!

Vyama vya siasa katika muktadha wa maridhiano vimeshinikiza baadhi ya viongozi kuhamishwa na kutenguliwa!
Si kwasababu hawafai Bali ni kwa maslahi ya maridhiano!

Maridhiano hayakumtaka afande Sirro ikabidi astaafu!

Maridhiano yamembadilisha DCI, lakini pamoja na kupelekwa kuwa katibu mkuu bado ikaonekana atakuwa mwiba kwa wapinzani kuitembelea ikulu!

Imebidi napo atoke atataftiwa kichaka kingine!

  • Maridhiano bado yanamtafta msajili wa vyama,
  • maridhiano yanamtafta mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,
  • maridhiano yanamtafta kingai arudi kusoma magazeti makao,
  • Maridhiano yanamtafta waziri wa mambo ya ndani!
  • Maridhiano hayamhitaji msigwa!
Haya ni machache tu ya masharti ya hawa wapinzani wasaka tonge!

Lakini wapinzani nao wapewa masharti mazito zaidi!

Watakuwa kama trekta iliyong'olewa mataili watapiga kelele wakiwa hapo hapo !

Jambo ambalo halitakuwa na manufaa kwa wananchi wa kawaida, wala ishu ya katiba mpya ni kiini macho wanakwenda kuifumua rasmu ya warioba vipande vipande na wapinzani wataafiki kisa nusu mkate!

Wamekubali kwa sababu wanataka ubunge, wanataka ruzuku, wanataka bahasha na biashara zao ziende!

Haya ni Maridhiano ya nusu mkate
Zanzibar style
 
Heri nusu mkate kuliko.....nasikia eti kuna habari inazunguka walimuona Mwamba akiimba "Tuna imani na Raisi....." kwenye ile shughuli....anyway tuache hayo tukafanye mikutano ya kisiasa🐒
 
Sasa je mwamba anafuraha sana migodi yake inafunguka
 
Hii cake ni kubwa hakuna wa kuimaliza. Kila zama na nyakati zake ni suala la muda tu. Safari ni fupi!
 
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime ili siku wakipatana urudi shamba ukavune!

Vyama vya siasa katika muktadha wa maridhiano vimeshinikiza baadhi ya viongozi kuhamishwa na kutenguliwa!
Si kwasababu hawafai Bali ni kwa maslahi ya maridhiano!

Maridhiano hayakumtaka afande Sirro ikabidi astaafu!

Maridhiano yamembadilisha DCI, lakini pamoja na kupelekwa kuwa katibu mkuu bado ikaonekana atakuwa mwiba kwa wapinzani kuitembelea ikulu!

Imebidi napo atoke atataftiwa kichaka kingine!

  • Maridhiano bado yanamtafta msajili wa vyama,
  • maridhiano yanamtafta mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,
  • maridhiano yanamtafta kingai arudi kusoma magazeti makao,
  • Maridhiano yanamtafta waziri wa mambo ya ndani!
  • Maridhiano hayamhitaji msigwa!
Haya ni machache tu ya masharti ya hawa wapinzani wasaka tonge!

Lakini wapinzani nao wapewa masharti mazito zaidi!

Watakuwa kama trekta iliyong'olewa mataili watapiga kelele wakiwa hapo hapo !

Jambo ambalo halitakuwa na manufaa kwa wananchi wa kawaida, wala ishu ya katiba mpya ni kiini macho wanakwenda kuifumua rasmu ya warioba vipande vipande na wapinzani wataafiki kisa nusu mkate!

Wamekubali kwa sababu wanataka ubunge, wanataka ruzuku, wanataka bahasha na biashara zao ziende!

Haya ni Maridhiano ya nusu mkate, funika kombe mwanaharamu apite!

Naachana siasa rasmi ngoja nifanye mambo yangu
Hukuwa mwanasiasa.Je una mambo gani ya kufanya?
 
Hao wote uliowataja kwa ustawi wa taifa na kwa maslahi ya taifa walitakiwa kuwa nyuma ya nondo kwa upuuzi waliouandaa na kuufanikisha October 28 , 2020 .

Ila kwa kuwa watanzania wengi ni bora liende ndio maana bado baadhi ya hao na wengine bado wanashika nyadhifa zao.
 
Hakika hili nalo litapita
 
Back
Top Bottom