Mashabiki wengi wa Yanga hata hawa ambao siku za hivi karibuni wamekengeuka na kupinga kitendo cha klabu yao kujiingiza katika shughuli za siasa, wanaamini kabisa kwamba klabu yao ina historia, mashirikiano na ukaribu na chama tawala pamoja na serikali.
Yanga ni kitengo cha michezo ndani ya...
Jibuni hili swali ; KENYA v/s MOROCCO nani alifungwa ?
Acheni kukatisha watu tamaa likiwemo benchi la ufundi.
Kama wewe ni mzalendo wa kweli toa maoni yako hapa tutayafanyia kazi "Kama yanatekelezeka"
"KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE..................."
Hivi karibuni mashabiki wa ile timu ya Manzoki na Mzee Rage walikua wanapigania haki ya Mzize aende nje akajitafutie maisha kwamba timu yake ina roho mbaya ajabu ni kwamba timu yao imemsajiri Salim Mwalimu kutoka Wydad aje huku alipo Mzize, hii ina maana Mwalimu hana future au mapenzi yao kwa...
Zama hizi mtu anayepiga kelele na kubwabwaja huyo ni tahira. Kama kiongozi au viongozi wame misuse pesa za timu ambazo ni za shirika mahakama ziko wazi.
Kubwabwaja maana yake pesa za Yanga au Simba hazina uhusiano na mashabiki (haziwahusu) ila viongozi wakitaka pesa wanatumia ujinga wenu...
Clips zinasambaa mtandaoni;
Mashabiki wa yanga mamia kwa maelfu wanapost video wakichoma Jezi za yanga naba do kuna wengine wanachoma bila kupost na wengine hawachomi ila wameshaikataa yanga.
Engineer Hersi kama Rais wa Yanga inabidi sasa Ujiuzulu.Sidhani kama klabu ya Yanga itaichangia...
Nimeona privaninho amepost katika ukurasa wake wa insta kama fahari ya wao kuichangia ccm lakini maoni ya wafuasi wa yanga wameonesha kukasirishwa sana na wengi wanatoa matusi ya nguoni.
Mimi nawaambia mashabiki wa yanga waache kuchukia kinyesi cha binadamu huku wakifurahia kula funza...
Habari zenyu bhana najua hazina majotooo !
Kiukweli vijana wanapambana though kuna makosa mengi especially kwenye eneo la striking mostly huwa hamna utulivu mzuri wa kujenga mashambulizi pia middles zinapaswa kuwa na utulivu na kusogea mbele kwa speed. All in All vijana wanaubonda Hongera sana...
Huyu mmakonde alisema tarehe 8 mwezi huu anaachia album kama kawaida yake huwa anaachia usiku wa kuamkia ijumaa Sasa mpaka Sasa hivi yupo kimya hata majina ya nyimbo hajapost je amewafanya mashabiki wake ni wajinga?
Baadhi ya Mashabiki wa Simba SC wamechukizwa na post hii ya kumpongeza Mohamed Dewji kutajwa kuwa ndie Tajiri namba Moja Tanzania.
Je Kuna shida yoyote kumpost Mohamed Dewji na kumpongeza kwa Utajiri wake kupitia ukurasa wa Klabu ya Simba ambapo yeye ndie muwekezaji wa Klabu.
Gari aina ya Tata liliobeba mashabiki wa mpira kutoka Mwanza kwenda Dar kuisapoti Taifa Stars michuano ya CHAN limeketetea kwa moto baada ya kutokea hitilafu.
Ajali hiyo ya moto imetokea ghafla gari kuwaka moto msafara wakati msafara ukiwa unakaribia mkoani Shinyanga.
Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko
Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi kuishi.
Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli na kuwaingizia hasara,wakati mwingine kelele anazofanya Ahmed Ally ni kama unafki tu.
* Simba ilileta mchango kwa ajili ya uzio wa uwanja wa Bunju,mashabiki wamechanga baadaye Magungu anasema imeenda kwenye matumizi mengine,na hakuweka bayana ni...
Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe",
Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂
acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
Motra the future tofauti na diss track ukisikiliza nyimbo zake zingine huwezi kumuelewa kabisa, katoa diss trck mwenyewe nadai kuwa ni east africa diss track, ukiisikiliza kachana utoto mtupu ukianzia kuchagua mdundo na punchlines zake kiufupi bado kabisa hana kiwango cha east africa kama...
Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu: kushindwa kwa mipango ya usajili, kukosekana kwa mwelekeo wa kiufundi, na viongozi wanaozunguka...
Ni kama bado naona timu hizi za Simba na Yanga zenye utajiri wa Mashabiki zikazane kubuni mbinu mbalimbali kujiongezea mapato.
Kwa mfano vipi kama wataingia makubaliano na Kampuni za Bia na Soda kukawa na sehemu ya vinywaji vikawa na nembo au picha ya Mchezaji aliyefurahisha Mashabiki kwa...
Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao...
Simba Viongozi wake wanajitaidi saba kununua marefa ili waonekana bora mbele ya mashabiki wake,na mashabiki hufurahia hilo wanaposhinda mechi bila kuhoji uwezo wa timu
tena ni timu ya kawaida sana, ilistahiri kushika na 4 au tano kwenye msimamo wa ligi,
Endeleeni kununua malefa mkikutana na...
Hapo vip!
Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.