mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mataifa matano Afrika yanapaswa kuilipa Marekani dola 15,000 kwa shabiki mmoja Kombe la Dunia

    Kwa mujibu wa The Athletic FC wanaripoti kuwa Mashabiki kutoka nchi za Algeria, Ivory Coast, Cape Verde, Senegal na Tunisia wanapaswa kila mmoja kulipa kiasi cha dola 15,000 za Kimarekani ambayo ni sawa na Tsh. Milioni 38 kama kianzio kama wanataka uhakika wa kwenda Kombe la dunia 2026...
  2. M

    Mabomu ya machozi yarindima kuwatawanya mashabiki Uwanja wa CCM Kirumba baada ya mchezo kuisha 1-1

    Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Pamba Jiji dhidi ya Simba SC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1. Baada ya mchezo kumalizika...
  3. The Father of All

    Hivi mashabiki na wapenzi wa Donald Trump wako sawa kichwani?

    Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu. Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na...
  4. kavulata

    Mashabiki Yanga jiandaeni kwa yote dabi, msiende na matokeo

    Kama Nabi na Gamondi waliwahi kufungwa na Ihefu, Tabora united na Simba kwa nyakati tofauti hata kocha Pedro anaweza kufungwa na Simba pia. Kama ikitokea hivyo haimaanishi Pedro hafai, hajui na anapaswa kufungashiwa virago vyake na kuondoka Yanga.
  5. Just Pray

    Mashabiki wa Simba wamlilia Rais Samia awezeshe mchakato wa mabadiliko

  6. Kipenzi Changu

    Hasira za Mashabiki; Mangungu aokolewa na Polisi

    https://youtube.com/shorts/tOJxCv3CcT0?si=xSS3Qrohs5htvSKG Japo Kwenye mechi ya leo Mangungu hana kosa lolote, ila polisi wangeacha kidogo ale mitama
  7. BIG BROTHER ALEX

    Naendelea kuilaumu TFF na mashabiki wapuuzi wa Tanzania kisa Al Hilal FC

    Saudi arabia anahangaika kulipa mabilioni ili Barcelona na real Madrid wakacheze kwenye ardhi yao, nasikia alitaka kuwalipa england pesa mechi za mzunguko WA pili WA EPL zikachezwe saudia SIJUI walifikia wapi. Kuna kisiwa cha amani kinajiita HIVO mawazir wake huvaa miwani MIKUBWA utasema yes we...
  8. Hance Mtanashati

    Hatimaye tumeletewa Shumileta Part 3, Kiu ya mashabiki inaenda kukatika

    Kwa upande wa filamu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania,basi kwenye hiyo listi Shumileta haiwezi kukosa hata iweje. Stori ya filamu inasisimua sana na iliishia sehemu ya pili, na baada ya mashabiki kuomba muendelezo wake hatimaye gwiji Mussa Banzi anachia rasmi sehemu ya 3 ya filamu hii na...
  9. R

    Jux: Siyo vizuri Mashabiki kuwa na chuki na sisi wasanii wao

    Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
  10. Lycaon pictus

    Kwa nini CAF haiwazuii mashabiki wa timu za Africa kaskazini kumulika wachezaji kwa lasers?

    Huu ujinga ni aibu sana kwa watu waliostaarabika. Wanawaogopa au ni nini?
  11. Z

    Acheni kusingizia mabeberu Tanzania

    Inachosha kusikia kila siku "Mabeberu ndio wanatuvuruga," "Mabeberu ndio chanzo cha vita Afrika na Asia." Hivi hamchoki na huu upuuzi? Hamuoni aibu? Hebu tumia akili yako kidogo (kama unayo): 1️⃣ KWANINI MABEBERU WANALINDA NCHI ZAO? 🛡️ Kama mabeberu ni wabaya sana, mbona kwao hakuna vita...
  12. M

    Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi Timu inapokea kipigo cha sita mfululizo viongozi wanachukulia poa tu Timu inaendeshwa kwa email badala ya...
  13. ELI COHEN

    Hapa mashabiki wa kongo walimtendea haki patrice lumumba. HONGERA SANA BANA CONGOO!

  14. DuaZaMama

    Msanii Marioo awashukuru mashabiki 'Mmeamua nisife njaa'

    Msanii Marioo ameonyesha shukrani za dhati kwa mashabiki wake kufuatia mapokezi makubwa ya wimbo wake mpya “OLUWA.” Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye Instagram, Marioo alieleza kuwa upendo anaoupata si wa kawaida, akisema wazi kuwa mashabiki wake wameamua asife njaa, kauli iliyojaa unyenyekevu...
  15. Troll JF

    Jezi za Yanga za Champions League zaibua Taharuki Mashabiki wapanga kuandamana

    Mashabiki wa Yanga wamepigwa na Ubaridi mara baada ya Club hiyo Kongwe nchini Tanzania Kuzindua Jezi zinazofanana na matambala matambala Ikumbukwe msimu huu hawakutoa Jezi nzuri hivyo wananachama na mashabiki walikua na imani kuwa huenda za kuchezea club bingwa zikawa na unafuu lakini wapi...
  16. Its Pancho

    Mapato ya tickets mechi ya jana ya simba ni shilingi 3000/..! Kweli mashabiki wa simba wanaipenda sana team yao

    Wakuu I salute you kinsmen Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa ticket zimeshauzwa ni full house. Lakini jana kilichotokea ni bora wangefanya watu waingie bure tu...
  17. Waufukweni

    CAF yaitoza Simba SC faini nyingine, kuchangisha mashabiki

    Klabu ya Simba Sports Club imekumbana na adhabu mpya kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikijiandaa kucheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United Jumapili, Septemba 28, 2025, bila mashabiki na faini ya Dola 50,000 (takriban Sh123 milioni)...
  18. ELI COHEN

    Mashabiki wa livakuku wanaichukiaga sana hii picha

  19. Nipe Maji

    SI KWELI Simba imetoa taarifa kwa umma kuomba radhi mashabiki wake kushindwa kuvumilia utani wa Yanga SC

Back
Top Bottom