mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MabatiBeiNafuu

    JamiiForums Tanzania VIDEO : Manara azomewa na mashabiki baada ya Yanga kula Kichapo

    Baada ya timu ya wananchi kuchezea kichapo katika siku ya tamasha lao pendwa. Msemaji wa mpya Haji Manara aka Bugatti amerekodiwa akizomewa na mashbiki wenye hasira kali. #PoleSanaManara
  2. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa makala za wanyama mpo kwenye uzi upi jamani?

    Habari nyote Ninaomba kufahamishwa uzi makini unaojadili tabia za wanyama na maumbile ya dunia na vilivyomo hapa JF. Mimi ninapenda hizi mambo. Hunitoi National Geographic TV, Discovery channel... Siku hizi nimenogewa na WildEarth Tv, hawa wanarusha video live toka mbugani kule South Africa...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mashabiki wa Tennis watakiwa kuonesha ushahidi wa kupata chanjo dhidi ya COVID-19

    Mashabiki wa Tennis wenye umri kuanzia miaka 12 na kuendelea Nchini Marekani watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ili kuhudhuria U.S. Open Wametakiwa kuonesha ushahidi wa kupata angalau dozi moja ya chanjo. Michuano hiyo ilifanyika bila Mashabiki mwaka 2020 ======...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki walimponza Mwl. Kashasha, aliambukizwa COVID-19

    KIFO ni fumbo. Hutamsoma tena Mwalimu Alex Kashasha kwenye kolamu yake aliyokuwa akiandika kwenye ukurasa wa 12 wa Mwanaspoti kila Jumamosi. Kifo kimemchukua, atazikwa Dar es Salaam Jumatatu. SOMA ZAIDI: Kilichomuua Mwalimu Kashasha hiki hapa Hutasikia tena ile misemo, mbwembwe zake akitangaza...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania MwanaSport acheni kujificha kwenye mgongo wa mashabiki wa Simba Sc

    Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini. Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la...
  6. hiram

    JamiiForums Tanzania Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

    Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali. Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Yanga yatupwa nje Kagame. Badala ya kusaidia kujenga timu mashabiki wao wanakalia kumsakama Mo

    Habari ndiyo hiyo Mipasho FC aka Manara FC.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji, puuza wanaokusakama mitandaoni, hao ni mashabiki wa Yanga wana wivu wa mafanikio ya Simba

    Nadhani title inajieleza hapo juu, hakuna shabiki halisi wa Simba anaweza kukushambulia kwa mafanikio yako ktk SSC kuipelekea kuwapiku yeboyebo kwa rekodi ya ubingwa miaka 4 mfululizo hasa ukifikiria Simba ilivyokuwa taaban kwa Yanga huko nyuma. Na huyo Manara kawekeza sh ngapi SSC, atokomee...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

    Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi. Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa. Kayakanyaga hivyo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndo mechi inayoshikilia record ya kuingiza mashabiki wengi kwenye historia ya mpira wa miguu ulimwenguni

    Rejea kichwa cha Habari hapo juu Ni mechi ya kirafiki iliyochezwa tarehe 2/8/2014 mjini Michigan kwenye dimba la Ann Arbor Stadium, Nchini Marekani, ilihudhuriwa na watazamaji 109,318 na kuweka historia ya aina yake kwenye ulimwengu wa kandanda kwa vilabu. Mechi hiyo ya kirafiki Manchester...
  12. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya mashabiki wa Manchester United

    Pogba kutaka kuondoka Manchester United sio tatizo. Ila tatizo ni kumtafuta mbadala wake. Kweli?
  13. tamsana

    JamiiForums Tanzania Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wakongwe, mashabiki wawatetea chipukizi waliokosa penati England

    Wakati mashabiki wakiwatuliza wachezaji chipukizi waliopoteza penati zao na kusababisha England ishindwe kuondoa nuksi ya miaka 55 ya ukame wa vikombe, Gary Naville amemtaka winga wa Arsenal, Bukayo Saka kutembea kichwa juu licha ya kushindwa kufunga penati muhimu ya tano dhidi ya Italia. Saka...
  15. kukumsela

    JamiiForums Tanzania Mzee Mpili tumekukosea nini sisi mashabiki wa Simba Sport Club?

    Mzee wangu najua unasoma uzi huu sasa hivi nakuomba kwa niaba ya mashabiki wa Simba SC utusamehe kama tulikukwaza kwasababu umetuandamana sana. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  16. Gepard

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Mastaa wa Bongo ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Kama uzi unavyojieleza. Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa. Itapendeza zaidi akiwa ndani ya uzi wa club husika. Pia, Kama wewe ni shabiki wa Yanga weka like 👍 yako kama...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Uingereza ni wazalendo wa kweli

    Watu wengi huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara wanapotosha maana halisi ya "uzalendo" maana wanaligeuza neno kama kibwagizo cha kutafutia fulsa na kushibisha matumbo yao. Uzalendo sio kelele za kasuku bali uzalendo ni vitendo vya utu, upendo, na kuwa na matarajio mema kwa taifa husika...
  18. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la soka mashabiki wa Uingereza ni zaidi ya vichaa

    Hawa jamaa bana wanajua kushangilia asee nadhani pombe pia inachangia. Haya Ujerumani kashakula 2-0 huko.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mashabiki 'Oya Oya' wa Yanga SC baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC leo walitakiwa walaumu lipi kati ya haya yafuatayo?

    a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha Kushangaza Mwamuzi hakumpa upesi Kadi Nyekundu na akaishia tu kumpa ya Njano huku Mchezaji Mcheza Rafu...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais TFF Oscar Oscar: Yanga SC inaongozwa Kihuni na ikiri tu kwa Mashabiki kuwa inaogopa kufungwa nyingi tarehe 3 July, 2021

    " Kinachoendelea Yanga SC na huu mkanganyiko kuhusu wao kucheza au kutocheza Mechi yao na Simba SC tarehe 3 July, 2021 ni Uthibitisho rasmi kuwa Yanga SC sasa imejaa Wahuni na inaongozwa Kihuni. Na katika hili Yanga SC wasitake Kuwaficha Mashabiki wao bali waseme tu kuwa wanaiogopa hii Mechi...
Back
Top Bottom