masaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje makamanda 20 wa Iran wanauliwa ndani ya masaa machache?

    Kobazi ni bure kabisa! Makamanda waandamizi takriban 20 wa jeshi la Iran wameliwa vichwa na IDF. Huu si tu ni uzembe, ni upumbavu wa hali ya juu wa hao makobazi. Wanachojua ni kupayuka takbiiir tu lakini akili kichwani hamna. Tokea huu mzozo wa Israel na Hamas na Israel na Iran uanze, no...
  2. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Media za Bongo mnatakiwa kujitafakari, masaa manne media inaongelea michezo tu. Tutatoboa kweli?

    Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui. Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔 Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo? Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo...
  3. Doto12

    JamiiForums Tanzania Masaa 24 biashara Mbezi Louis

    Nikishuhudia uzinduzi kufanya biashara masaa yote 24 siku Saba za wiki mliopo mbezi tupeni ushuhuda hiyo biashara inafanyika masaa yote?
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bado Tanzania kazi za kufanya kwa masaa hakuna halafu mnataka jiji la Dar liwe linafanya kazi masaa 24

    Tuna safari ndefu sana hususani hawa tuliwapa madaraka ndio watupangie kulingana na uwezo wao. Ni jambo zuri jiji kama dar kutaka liwe linafanya kazi masaa 24 yani watu wapige kazi usiku kucha. Je, hizo kazi mshajiuliza kuhusu waajili na wenye hizo kazi. Kazi nyingi za tanzania ni kama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ninyi wahubiri wakristo hebu sasa acheni kutuaibisha. Yesu alikuwa anakemea mapepo masaa na na masaa au ilikuwa ni AMRI MOJA, ONDOKA?

    Mnafanya mambo ya upumbavu. Kwa damu ya Yesu × 500, kwa jina la Yesu x 400, toka toka toka x600. Kwa damu ya mwana kondoo x500 ....n.k. Huo ni upumbavu na hao wanaojazana humu nao ....... Yesu wala mitume hawakufanya ujuha huo. Ninyi ni wanamazingaombwe tu. BIBLIA ILISHAWEKA WAZI NINYI...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB Sim banking haifanyi kazi zaidi ya saa nne

    Kila kitu hoi, customer service hawapokei. CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa na VPN naona masaa 2 sasa Twitter (X) haipatikani.

    Natumia Norton VPN toka last week, ila kufika saa 7.30 leo naona Twitter haifunguki. Je na nyinyi mnapata shida kama ya kwangu?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tiba asili tusizibeze sana, Mdudu aliekuwa ananisumbua kwenye kidole kaacha jeuri ndani ya masaa manne tu

    Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete. Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni tafrani. Nimehangaika hospitalini, daktari kaniandikia dawa ila hakuna nafuu Siku ya leo nikawa...
  9. Noel france

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa inatosha,itabidi tuungane na wana Mbeya kumtafuta Mdude. Masaa 24 hadi tumpate.

    Ndugu zangu Watanzania,naombeni tushirikiane ili tuwe salama ili si jukumu la watu wachache na wala si swala la viongozi wa chadema pekee yao. Tafadhali tunaomba sana tuamke tupambanie haki zetu tukiwa kama nchi huru na wala hatupo utumwani. Tukisimama kwa pamoja tunakuwa salama sana kuliko...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna tatizo katika mfumo wa kununua Umeme, Wataalam wanaendelea kurekebisha

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Masaa 72 Yanga waliowapa TPLB yamekwisha, Sasa tukutane CAS

    Tukumbuke tarehe March 10, 2025. Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya...
  12. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Nawakubali sana Waislamu kwenye kuzika, nawaza niweke kwenye wosia wangu nikifa nizikwe isizidi masaa 24

    Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa. Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili. Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia Masaa Mengi Kujadili Mpira, Mnapata Dola Ngapi kwa Siku?

    Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo, lakini je, mijadala hiyo inazalisha kipato chochote? Katika ulimwengu wa sasa, muda ni rasilimali...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Masaa 24 biashara Kariakoo, hali ya usalama mitaani wanakotoka wateja inaruhusu?

    Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa. Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na taifa kwa ujumla. Usalama Kariakoo umeimarishwa kwa kufunga taa, kamera na kuwa na walinzi wa watu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule za msingi na chekechea wasogezewe mbele masaa ya kuanza masomo.

    Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza kwenye ukuta.Niliwafikia nikamuona mdogo kavaa sare za shule ila mkubwa kavaa nguo za nyumbani na...
  16. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania M23 yatangazia umma kuwa safari za Kivu Kaskazini na Goma zipo wazi masaa 24

    Mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, anapenda kuwafahamisha wakazi wa Kivu kasikazini na Kivu kusini, hasa miji ya Goma na Bukavu, kuwa miaro yote ya ya Goma na Bukavu kuanzia sasa inatoa huduma masaa 24,kuanzia kesho tarehe 18-2-2025 saa kumi na mbili asubuhi. Watoa huduma wote, wanatakiwa...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya masaa 7 mfululizo ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?

    LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
  18. milele amina

    JamiiForums Tanzania Rushwa nimekubali ina nguvu kubwa sana, huyu ni mtu mmoja kwa masaa tofauti,ila kauli tofauti!

    Huyu ni mtu mmoja, kauli tofauti ila kwa tofauti ya masaa! Rushwa ina nguvu sana!
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kumbe safari ya Arusha Mpaka Kenya (Nairobi) ni masaa matatu mpaka nne, Basi Haichoshi kabisa,naweza enda na kurudi chap kulitumikia taifa langu

    The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator). The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator) Trippy
Back
Top Bottom