Chadema wamefikisha milioni 100 katika kampeni yao ya marathon ya kutafuta milion 300 na kitu
Imewachukua siku sita tu sawa na masaa 144 kufikisha kiwango hiki pamoja na changamoto ya tuhuma za ubadhirifu zinazomkabili makamu mwenyekiti ndugu Heche
Hapa lipo funzo kwa watanzania wote kuwa hiki chama kisichukuliwe kama ni kikundi flani cha wahuni kama tulivyoaminishwa na tukaamini
Mie sio mwanachama wala mfuasi wa chama hiki lakini nikiri tu kuwa hiki chama kina watu
Wito wangu kwa serikali na chama tawala tafuteni maridhiano na chama hiki kwakuwa kimebeba watanzania mamilion kadhaa wa kadhaa kudhani kwamba inawezekana kukibinya kijifie kama ilivyokufa CUF ni kujidanganya.