kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu
Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS...
Nilikuwa natoa hela bila card (PESA FASTA) kwenye ATM ya NMB DODOMA leo, baada ya kumaliza kutoa kwenye simu nikawa nasubiria meseji ya namba ya siri ili iniwezeshe kutoa kwa kwenye ATM lakini nilisubiria kwa zaidi ya dakika 15 lakini sikupata Meseji.
Nikawapigia huduma kwa wateja wakaniambia...
Anonymous (c723)
Thread
changamoto
habari
masaamasaa 24
muamala
nmb
nmb mobile
Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo
Ila Nina maswali najiuliza
1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata...
Wakuu Kwema?
Naomba aliyewahi kusafiri kwa gari binafsi Dar to Musoma au Musoma to Dar alitumia masaa mangapi? Nataka kupata experience. Maana nilisafiri kwa Bus nilitumia masaa 22 sio poa.
Huyu mtaalamu kajibu swali la wengi kwa hii video aliyopost. Wale mnaopenda chapati lazima mjue chapati yenye ubora huchukua hadi masaa 7 kwenye mapishi yake. Tazama video.
https://youtube.com/shorts/sKLhw0qNrRg?si=DyW9usbmgs9eFabm
Aweso hii Gaza ya Kusini anzia pale Over Mataa mlipoweka wanajeshi wa Uganda wale shuka mpaka Mbuzi Online Suka mlipoua boda akiwa na abiria ingia na hiyo njia hapo vuka uwanja mbele dukani mlipoua mtu akiwa dukani nenda mbele kidogo pandisha kimlima hayo maeneo mnafungua maji masaa 6 tena muda...
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa.
Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC.
Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa...
JF hebu tusaidieni kuhoji… DSM hapa train haijaondoka toka saa 12 asubuhi leo tar 28.12.2025.. Kwanini hakuna accountability kwa kueleza wateja/abiria nini kimejiri na tatizo litatatuliwa baada ya muda gani?
Hakuna taarifa ya muda gani train itaondoka. Train za saa 2 na saa 3 asubuhi pia abiria...
Hamjambo Wakuu.
1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa;
2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6 mchana.
3. Kisha waingie ndani majumbani kuanzia saa 11 jioni wasitoke kabisa
4. Viongozi wa...
Mpo salama!
1. Nimekuwa miongoni mwa walioiona Clip inayomuonyesha mtu aliyejitambulisha kwa jina la Agustino Polepole. Ambaye mwenye anasema ni ndugu wa Humphrey Polepole.
2. Tangu imeripotiwa na kudaiwa Humphrey Polepole amepotea ndipo Mtu huyu alipojitokeza. Na watu wengi tumemjua kuanzia...
Upinzani nchini Cameroon unaendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika hivi karibuni Mgombea wa urais wa chama pinzani aliyeibuka mshindi wa pili, Issa Tchiroma Bakary, ametoa masaa 48 ya mwisho kwa mamlaka za nchi hiyo kuwaachia huru wote waliokamatwa wakati wa maandamano...
Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
Habari wakuu,
Binafasi nafanya kazi masaa yasiyopungua 16 kwa siku, na nime jiajiri mwenyewe kwenye masuala ya mifumo ya kidigital.
Je, wewe mdau unafanya kazi masaa mangapi kwa siku ?
Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya ndo umeshaakuwa utaratibu wa kawaida sasa watu kupotea ipi solution kama sio IGP Wambura kujiuzulu...
Ni swali tu maana wavaa ngwada wakitamkaga nchi yeyote ile uwa wanatamka huku mkubwa akiwa chini ya ulinzi Tayari,
Na ikitokea wakatamka kabla basi haichukui muda!
Nasisitiza HOTUBA YA KUANDIKA NA KUANDIKIWA INAJULIKANA
Britanicca
Hili ndilo Swali wanalojiuliza watu wote Duniani.
Awali liliwekwa Tangazo hili hapa
Alipotangaza jambo hilo alijiamini nini na sasa kakimbia nini? Au naye kaogopa Mkata Swichi?
Majibu anayo mwenyewe na wanamtandao Wenzake
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini.
Shigongo ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake, mapato ya halmashauri yameongezeka na...
Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa.
Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi
Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2 kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.