Bunge la Ukraine limepiga kura kuunga mkono mswada unaopiga marufuku baadhi ya muziki wa Urusi kwenye vyombo vya habari na maeneo ya umma nchini humo.
Mswada huo, uliopata kura za uungwaji mkono 303 kati ya 450 unapiga marufuku baadhi ya muziki wa Kirusi kuchezwa kwenye televisheni, redio...