maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Huu ndo uwe Msingi mkuu wa Maridhiano

    Wadau, nimeona maoni ya wadau mbalimbali kuhusu kile kinachoitwa Maridhiano, wengine wakipinga, wengine wakiyaunga mkono na kila kundi likitoa sababu zake. Nimeona CHADEMA wametoa Masharti ya awali (pre conditions) kama 3 za Maridhiano 1. Mwenyekiti Lissu Aachiwe huru pamoja na wafungwa wote...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini "maridhiano" yanaitaja sana CHADEMA?

    Neno maridhiano limeshika kasi kwa siku za hivi karibuni. Lakini mjadala upo zaidi kwa CHADEMA. Maswali niliyonayo ni nini kilitokea? Chadema hawakushiriki uchaguzi, je watafanya maridhiano gani kama sio kuyafuata waliyohahitaji kabla ya uchaguzi? Lakini kama maridhiano ni matokeo ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Kinachofanyika sasa hivi ni kwamba ili tuwe na maridhiano lazima tuwe na ugaidi wa kisiasa

    Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Peter Madelekea amedai kuwa nchini kuna aina ya "ugaidi wa kisiasa" ambao unatumika kimkakati ili kutengeneza mazingira ya kulazimisha maridhiano ya kisiasa. Madelekea ametolea mfano Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wasomi: Ni makosa kudhani maridhiano yatapatikana kwa vyama vya siasa peke yake

    Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan, na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam Julai 30, umeibua tena mjadala kuhusu mwelekeo wa maridhiano nchini baada ya kipindi cha mvutano wa kisiasa kilichofuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Kwa upande wa Serikali, mkutano huo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Maridhiano ya Watanganyika na Watanganyika ndio tutafikiria Mazungumzo na Wazanzibari

    Zanzibar walifanya mazungumzo yao chini ya Wazanzibari. Hakutakuwa na maridhiano ya Tanzania, hadi Watanganyika tutakapo ridhiana kwanza. Wazanzibari lazima wajue ni wakati wa kurudi kwao, siku kadhaa zijazo itabidi tutumie kitabu cha Rwanda, kuidai Tanganyika.
  6. JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka Matukio ya Oktoba 29, Vijana walivyouliwa , Watanzania KAMWE Msikubali MARIDHIANO, CCM lazima tuindoe, Na Wahusika Wawajibishwe !!

    Tukomae, Tupambane, ni mwendawazimu pekeee ambaye anaweza ku normalize Mauaji ya Oktoba 29, na kukaa na Samia, na kupiga Picha eti 'Tumeyamaliza'. Vijana waliuliwa kwa Risasi za Kivita , Snipers walipasua watu Vichwa vyao, bongo za Vijana zilimwagwa . Watanzania Msikubali kabisa Huo Upuuzi...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Muchunguzi: Kwenye maridhiano kama yetu, hatuhitaji upatanishi kutoka nje

    Maoni ya Dkt. Dennis Muchunguzi, Mkurugenzi Mkuu Taasisi za AFREDA na Rais wa Taasisi ya ACERICAANDO na Mtaalam wa maendeleo ya Kijamii na kiuchumi, mtaalam wa Lugha, maridhiano, upatanishi na ujenzi wa Amani .Kwenye maridhiano kama ya kwetu haya, hatuhitaji upatanishi. Mara nyingi tumekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Ufupi NCHIMBI ,anawaambia Watanzania ,Komaeni tu hapohapo shikilieni, ACHANENI NA MARIDHIANO, NYIE KOMAENI TU

    CCM na Genge lao Wana ujinga wanauita "MARIDHIANO" . Huuuu ujinga, ndio ambao NCHIMBI, anaupiga Vita . Anawaambia Watanzania, 'Msiingie kwenye huo mtego'
  9. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Umuhimu wa maridhiano “ya kweli” ni huu hapa

    Karibu namaliza mwaka 1 nikiwa Mwalimu wa Chuo Kikuu. Kimsingi, kila Askofu ni Mwalimu lakini si kila Mwalimu ni Askofu. Kwa bahati mbaya nina vyote! Tangu Septemba 2025 nafundisha somo la POLITICAL PHILOSOPY kwa wanafunzi wanaosoma Sayansi ya Siasa. Hapa mezani kwangu, nina nyaraka za...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu kuwekwa ndani ni mbinu ya kuwarudisha CHADEMA kwenye line wamtumie kutaka maridhiano?

    Bado tunafuatilia! Kila mara nimesikia viongozi mbalimbali wa upinzani, wa chama Dola, waastafu, watu maarufu kwenye media wakizungumza kauli inayofanana na hii: Mtafanyaje mazungumzo wakati Tundu Lisu kiongozi wa CHADEMA yuko ndani? Swali hilo lina maana kubwa sana zenye tafsiri kadhaa. Huku...
  11. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Maridhiano ya nani na nani? CHADEMA ipo lockup Ukonga

    "CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
  12. JamiiForums Tanzania Namshangaa Prof. Tibaijuka anaposema Lissu ni kete muhimu katika maridhiano inamaana haoni athari alizoleta kwa Taifa? Au ni athari za kukosa cheo?

    Katika watu ambao hawafai hata kutajwa na ni sumu ya uzalendo wetu ni lissu huyu mtu siasa zake zimelirudisha nyuma Taifa letu kimaendeleo, Lissu ni mtu asiye na uchungu na Taifa letu, ni mtu aliyesababisha athari kubwa sana kwenye ustawa wa kijamii na kiuchumi kwa Taifa letu hafai! hafai...
  13. JamiiForums Tanzania Heheee! Nani atakubali maridhiano?

    Mkadhani mkiniingiza ndani ndimi ntatoa siri ya kambi? Hehehe! Mahii, mnalota sana. Kama mnaniona zumbukuku, basi mumejikosea. Mmeloba. Sasa huyo mtu wenu munayemtafuta, huenda akawaletee jambo kubwa la kutetemesha. Sijui walahi! Mahii! Hakuna mambo ya maridhiano wala mapatano tena. Hakuna wa...
  14. JamiiForums Tanzania Othman Masoud ulipaswa kukutana na Warioba kabla ya Maridhiano yenu na CCM, unachokifanya ni kujikosha tu, hutaaminika tena

    Ushafunga mkataba wa kiduwanzi na Shetani eti leo ndio unakuja kuona Wazee Tushakustukia.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukikubali maridhiano na CCM tutakuwa watu wa ajabu sana. Damu ya Polepole itatulilia hadi kaburini

    Watanzania wenzangu lazima tujitofautishe na wanyama ambao pengine hawana kumbukumbu wala utashi. Polepole alituambia kabisa kwamba kuna wazee wamepangwa kuja kufacilitate maridhiano baada ya uchaguzi wa 29 October 2025. Just imagine Balozi Humphrey Polepole alitufungua macho kuhusu script ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wasira: Hakuna njia ya mkato ya kuleta maridhiano isipokuwa mazungumzo

    Mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza. Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia usihangaike na maridhiano, hawa hawakutaki tu kwa sababu zao

    Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike. Maridhiano nao...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano nini kinafuata, uchaguzi unarudiwa au, Isije kuwa ni maridhiano ya kugawana vyeo maana kila baada ya uchaguzi maridhiano

    Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa. Kama sababu za...
  20. K

    JamiiForums Tanzania CCM Ni waongo,habari ya maridhiano haipo,wanadanganya watu

    Habari wakuu; Nawakumbusha tu kwamba chama cha mapinduzi hakina nia ya dhati ya kushughulikia maridhiano ya kweli na nawakumbusha wadau na wenye nia njema kwamba hilo jambo kwao ni mwiba kitu ambacho hawawezi kukubali. CCM wana silka ya kudanganya danganya watu miaka yote. Mfano mzuri ni zile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…