Wanaobeza maridhiano mko dunia gani?

Wanaobeza maridhiano mko dunia gani?

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
520
Reaction score
495
Ni Utamaduni wa ajabu kabisa wa baadhi ya Wanaharakati au Baadhi ya wadau wa vyama vya Upinzani kupinga kila ambalo linafanyika but je ni Sawa sasa kupinga hata MARIDHIANO ya kumaliza shida na migogoro ya kisiasa ambayo tuko nayo?

If Chama cha Siasa na Kiongozi wake kinasema kipo kwa ajili ya Wananchi je Nchi kua UNSTABLE kisiasa kuna MASLAHI kwa WANANCHI au wao?...bado naamini kiongozi anaesema yupo kwa ajili ya Wananchi na ana uchungu na nchi basi jambo la mwanzo atataka kuhakisisha nchi ina amani ya kisiasa ili Viongozi hao waweze kufanya shughuli zao za kisiasa kwa amani.

Nimeshangazwa sana sana na Kauli za baadhi ya WANASIASA ambayo wamekua wakibeza juhudi kubwa zilizofanywa na Mh Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi kuhakikisha Mgando wa kisiasa ambao upo Zanzibar unakwamuka kwa gharama yoyote na kuweka Maslahi ya Taifa Mbele kuliko kiburi cha kisiasa ambacho hakina Faida kwa wananchi wengi...

Unashangaa ni kweli kama SULUHU (maridhaiano) haya faida kwa baadhi ya WAPINZANI na WANAHARAKATI je kivipi Vurugu na chuki za kisiasa zinaweza kua Faida kwao?

Hebu tujiulize ni kweli CHUKI za Ksiasa Tanzania ni kubwa kuliko MMGOGORO wa miaka almost 40 wa IRAN na USA?....au PALESTINA na ISRAEL?...why pamoja na UHASAMA mkubwa wa pande hizo mpaka leo hii kila wanapokwama kwenye MATUMIZI YA NGUVU NA VITA wanarudi MEZANI kwenye Mazungumzo?

If PALESTINA na ISRAEL au IRAN na USA wanaweza kukaa na kuongea kwenye MEZA....if MAADUI hawa wakubwa wanaamini kua VITA na VURUGU haviwezi kumaliza migogoro yao ya kisiasa je VIONGOZI wa CHADEMA na Wengine wanaobeza na kutoamini kwenye Maridhiano wananufaika nini na MIGOGORO na CHUKI ZA KISIASA Nchini?

Ngoja niwakumbushe MARIDHIANO kadhaa Duniani ambayo to date yameifanya dunia kua na amani na kuzuia Umwagaji mkubwa wa damu ...

DUNIA Imepitia mikataba kadhaa muhimu iliyobadilisha jiografia ya kisiasa, kuanzia ule wa kale zaidi ulioandikwa kwenye mawe hadi makubaliano ya kisasa ya kimataifa.

Miongoni mwa mikataba mikuu ya amani katika historia ni pamoja na
:Mkataba wa Amani wa Kadeshi (1269 KK): Huu ndio mkataba wa amani wa kwanza kabisa kurekodiwa rasmi duniani, uliosainiwa kati ya Farao Ramses II wa Misri na Mfalme Hattusilli III wa Dola ya Wahiti.

Mkataba wa Amani wa Westphalia (1648): Ulimaliza Vita vya Miaka Thelathini barani Ulaya na kuweka msingi wa mfumo wa kisasa wa mataifa unaotambua mamlaka ya kila nchi na mipaka yake.

Mkataba wa Versailles (1919): Uliotiwa saini katika Jumba la Versailles nchini Ufaransa, mkataba huu ulihitimisha rasmi Vita vya Kwanza vya Dunia na kusababisha kuundwa kwa Shirika la Mataifa.

Mkataba wa Amani wa Paris (1973): Ulisainiwa Januari 27, 1973, na ulikomesha ushiriki wa moja kwa moja wa Marekani katika Vita vya Vietnam.

Mkataba wa Camp David (1978): Makubaliano haya yalisimamiwa na Marekani na kuzaa mkataba wa amani wa kihistoria kati ya Misri na Israel mnamo 1979.

Mkataba wa Amani wa Oslo (1993): Huu ulikuwa mkataba wa moja kwa moja kati ya Serikali ya Israel na Shirika la Ukombozi la Palestina (PLO) ili kutatua mzozo wa muda mrefu wa Mashariki ya Kati.

Dunia ya sasa na hata ya kabla yetu ya ENZI ZA MITUME miaka kadhaa iliyopita MARIDHIANO ndio imekua nyenzo za kumaliza migogoro kwenye jamii yoyote

Refer MARIDHIANO yaliyowahi kufanywa na MTUME (SAW) na MAKUREISH wa MAKKAH ambayo yalipelekea kutokea kwA (SULUHU YA HUDEBIYA) je tunadhani yaliyokuwemo kwenye Mkataba ule yalitoa Favor kwa WAISLAM? But why MTUME aliyakubali masharti yale licha ya kuona mengi yalikua yanawabana WAISLAM?....

Hebu leo hii tupitie baadhi ya Vipengele vya Mkataba wa Hudaybiyah.

1.Waislamu warudi Madinah bila kufanya ‘Umrah’.

2.Waislamu wanaweza kurudi mwakani (7 A.H) kufanya ‘Umrah’ lakini wakae siku tatu.

3.Wakija Makkah wasije na silaha ila panga zikiwa ndani yah ala zao.

4.Waislamu hawataenda nao Madinah waislamu wanaoishi Makkah na wala hawatamzuia yeyote miongoni mwao anayetaka kubakia Makkah.

5.Kama yeyote wa Makkah atatoroka kwenda kusilimu, Waislamu hawana budi kumrudisha (wasimpokee), lakini yeyote kutoka Madinah akitoroka kwenda Makkah kuritadi, Maquraish hawatapaswa kumrudisha Madinah (watampokea).

6.Makabila ya Waarabu yatakuwa huru kufanya Itifaki (urafiki) na upande wowote ule yanaoupendelea.

7.Pasiwe na vita kwa kipindi cha miaka 10 baina ya waislamu na Maquraish na baina ya waitifaki (Allies) wa Waislamu na waitifaki wa Maquraish.

8.Hapana ruhusa ya kutengua hata sharti moja katika hizi kabla ya miaka 10 kupita.

Sasa leo hii WANGAPI ambao wanaweza kuona mkataba huu haukua na manufaa yoyote ya kuonekana kwa macho kwa Waislam but jiulize WHY MTUME alikubali MARIDHIANO na MAKAFIRI wa MAKKAH?....Funzo hapa ni kua MASLAHI ya wengi na amani ya muda mrefu ni muhimu kwa jamiii yoyote kuliko our personal ego au maslahi ya kikundi cha watu

Je wanaowaambia CHADEMA wasikubali MARIDHIANO ni kweli wana NIA njema na Nchi Hii?

If IRAN na MAREKANI wameona Vita na vurugu si msingi wa maendeleo na amani ya nchi zao leo hii wanaopinga maridhiano wanapinga kwa maslahi ya NANI hasa?

Dr.Zack ✍️
09/07/2026
 
Wajinga ndio walawao. Kama mnaona maridhiano ni muhimu, ni kipi kiliwafanya mkatae maridhiano kabla ya uchaguzi, na baada ya kujiweka madarakani kwa umwagaji wa damu ndio muone ni mazuri?
 
Wengi wao wanawaza maandamano haramu ili kufanya matukio ya kigaidi tu :1Head:
 
Wapo dunia ambayo wauaji hawajafika!
 
Kwani lazima CCM iridhiane na Chadema
 
Mnaonaje mkafanye maridhiano na wale 700 waliotajwa na Chande wamepotea tangu October 29 hadi leo hawajulikani walipo?
 
Karidhiane na mboo ya abduli na kvma ya mama yake huyo changudoa samuya
 
Mkatae maridhiano kabla ya uchaguzi halafu baada ya kuua maelfu ya watanganyika ndiyo mnajifanya mnataka maridhiano, hiyo haipo na haitakuwepo.
 
Mkataba wa Hudaybiyah ulikuwa na vipengele maalum, muda maalum, na masharti yaliyoainishwa wazi kwa pande zote mbili.

Maridhiano ya Tanzania yanaongelewa kwa jumla jumla tu bila hata kuwa na uwazi juu ya nini hasa kinakubaliwa, nani anawajibika kwa nini, na uhakika gani upo kwamba yatatekelezwa.
 
Ni Utamaduni wa ajabu kabisa wa baadhi ya Wanaharakati au Baadhi ya wadau wa vyama vya Upinzani kupinga kila ambalo linafanyika but je ni Sawa sasa kupinga hata MARIDHIANO ya kumaliza shida na migogoro ya kisiasa ambayo tuko nayo?

If Chama cha Siasa na Kiongozi wake kinasema kipo kwa ajili ya Wananchi je Nchi kua UNSTABLE kisiasa kuna MASLAHI kwa WANANCHI au wao?...bado naamini kiongozi anaesema yupo kwa ajili ya Wananchi na ana uchungu na nchi basi jambo la mwanzo atataka kuhakisisha nchi ina amani ya kisiasa ili Viongozi hao waweze kufanya shughuli zao za kisiasa kwa amani.

Nimeshangazwa sana sana na Kauli za baadhi ya WANASIASA ambayo wamekua wakibeza juhudi kubwa zilizofanywa na Mh Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi kuhakikisha Mgando wa kisiasa ambao upo Zanzibar unakwamuka kwa gharama yoyote na kuweka Maslahi ya Taifa Mbele kuliko kiburi cha kisiasa ambacho hakina Faida kwa wananchi wengi...

Unashangaa ni kweli kama SULUHU (maridhaiano) haya faida kwa baadhi ya WAPINZANI na WANAHARAKATI je kivipi Vurugu na chuki za kisiasa zinaweza kua Faida kwao?

Hebu tujiulize ni kweli CHUKI za Ksiasa Tanzania ni kubwa kuliko MMGOGORO wa miaka almost 40 wa IRAN na USA?....au PALESTINA na ISRAEL?...why pamoja na UHASAMA mkubwa wa pande hizo mpaka leo hii kila wanapokwama kwenye MATUMIZI YA NGUVU NA VITA wanarudi MEZANI kwenye Mazungumzo?

If PALESTINA na ISRAEL au IRAN na USA wanaweza kukaa na kuongea kwenye MEZA....if MAADUI hawa wakubwa wanaamini kua VITA na VURUGU haviwezi kumaliza migogoro yao ya kisiasa je VIONGOZI wa CHADEMA na Wengine wanaobeza na kutoamini kwenye Maridhiano wananufaika nini na MIGOGORO na CHUKI ZA KISIASA Nchini?

Ngoja niwakumbushe MARIDHIANO kadhaa Duniani ambayo to date yameifanya dunia kua na amani na kuzuia Umwagaji mkubwa wa damu ...

DUNIA Imepitia mikataba kadhaa muhimu iliyobadilisha jiografia ya kisiasa, kuanzia ule wa kale zaidi ulioandikwa kwenye mawe hadi makubaliano ya kisasa ya kimataifa.

Miongoni mwa mikataba mikuu ya amani katika historia ni pamoja na
:Mkataba wa Amani wa Kadeshi (1269 KK): Huu ndio mkataba wa amani wa kwanza kabisa kurekodiwa rasmi duniani, uliosainiwa kati ya Farao Ramses II wa Misri na Mfalme Hattusilli III wa Dola ya Wahiti.

Mkataba wa Amani wa Westphalia (1648): Ulimaliza Vita vya Miaka Thelathini barani Ulaya na kuweka msingi wa mfumo wa kisasa wa mataifa unaotambua mamlaka ya kila nchi na mipaka yake.

Mkataba wa Versailles (1919): Uliotiwa saini katika Jumba la Versailles nchini Ufaransa, mkataba huu ulihitimisha rasmi Vita vya Kwanza vya Dunia na kusababisha kuundwa kwa Shirika la Mataifa.

Mkataba wa Amani wa Paris (1973): Ulisainiwa Januari 27, 1973, na ulikomesha ushiriki wa moja kwa moja wa Marekani katika Vita vya Vietnam.

Mkataba wa Camp David (1978): Makubaliano haya yalisimamiwa na Marekani na kuzaa mkataba wa amani wa kihistoria kati ya Misri na Israel mnamo 1979.

Mkataba wa Amani wa Oslo (1993): Huu ulikuwa mkataba wa moja kwa moja kati ya Serikali ya Israel na Shirika la Ukombozi la Palestina (PLO) ili kutatua mzozo wa muda mrefu wa Mashariki ya Kati.

Dunia ya sasa na hata ya kabla yetu ya ENZI ZA MITUME miaka kadhaa iliyopita MARIDHIANO ndio imekua nyenzo za kumaliza migogoro kwenye jamii yoyote

Refer MARIDHIANO yaliyowahi kufanywa na MTUME (SAW) na MAKUREISH wa MAKKAH ambayo yalipelekea kutokea kwA (SULUHU YA HUDEBIYA) je tunadhani yaliyokuwemo kwenye Mkataba ule yalitoa Favor kwa WAISLAM? But why MTUME aliyakubali masharti yale licha ya kuona mengi yalikua yanawabana WAISLAM?....

Hebu leo hii tupitie baadhi ya Vipengele vya Mkataba wa Hudaybiyah.

1.Waislamu warudi Madinah bila kufanya ‘Umrah’.

2.Waislamu wanaweza kurudi mwakani (7 A.H) kufanya ‘Umrah’ lakini wakae siku tatu.

3.Wakija Makkah wasije na silaha ila panga zikiwa ndani yah ala zao.

4.Waislamu hawataenda nao Madinah waislamu wanaoishi Makkah na wala hawatamzuia yeyote miongoni mwao anayetaka kubakia Makkah.

5.Kama yeyote wa Makkah atatoroka kwenda kusilimu, Waislamu hawana budi kumrudisha (wasimpokee), lakini yeyote kutoka Madinah akitoroka kwenda Makkah kuritadi, Maquraish hawatapaswa kumrudisha Madinah (watampokea).

6.Makabila ya Waarabu yatakuwa huru kufanya Itifaki (urafiki) na upande wowote ule yanaoupendelea.

7.Pasiwe na vita kwa kipindi cha miaka 10 baina ya waislamu na Maquraish na baina ya waitifaki (Allies) wa Waislamu na waitifaki wa Maquraish.

8.Hapana ruhusa ya kutengua hata sharti moja katika hizi kabla ya miaka 10 kupita.

Sasa leo hii WANGAPI ambao wanaweza kuona mkataba huu haukua na manufaa yoyote ya kuonekana kwa macho kwa Waislam but jiulize WHY MTUME alikubali MARIDHIANO na MAKAFIRI wa MAKKAH?....Funzo hapa ni kua MASLAHI ya wengi na amani ya muda mrefu ni muhimu kwa jamiii yoyote kuliko our personal ego au maslahi ya kikundi cha watu

Je wanaowaambia CHADEMA wasikubali MARIDHIANO ni kweli wana NIA njema na Nchi Hii?

If IRAN na MAREKANI wameona Vita na vurugu si msingi wa maendeleo na amani ya nchi zao leo hii wanaopinga maridhiano wanapinga kwa maslahi ya NANI hasa?

Dr.Zack ✍️
09/07/2026
Dah, kaka umeandika andiko zuri sana. Nakuomba tufanye mjadala hapa juu ya mada hii, mimi na wewe. Ukiwa tayari, niambie lini na muda gani. Ni muhimu tukiwa na mijadala hii, pengine kuna mahali hatusomani. Tafadhali sana. Nasubiri majibu yako.
 
Maridhiano yalitakiwa kabla ya uchaguzi... Mkajaa kiburi... Mkaiba kila kitu... Mkaua WaTanganyika!
Sasa maridhiano mnayotaka ni ya nini? Mnaridhiana na nani? Ili iweje?
 
Dionis Kipanya, katibu mwenezi Chadema, Sumbawanga. Alitekwa na kupotezwa kabisa 2024.
Duu hivi ni huyu kipanya au mwingine??? jamaa namkumbuka one time naishi sumbawanga way back nilikua nasali misa za asubuhi zile za saa 12 siku za j3 to ijumaa parokia ya familia takatifu

jamaa nilimfahamu alikua anaongoza kwaya pale mbele siku za misa ni yeye au ni mwingine ?? Muda mrefu Sana umepita ila bado Nina kumbukumbu za ile parokia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom