marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani wameongoza kwa vifo vya Covid-19 ina watu 20466 wamefariki 1731 Jumamosi ya 11/4/20

    CORONAVIRUS 🇺🇸 The United States became the world leader in coronavirus deaths Saturday, a grim indicator of the country’s status as the global epicenter of the pandemic. As of Saturday evening, the U.S. had recorded about 526,396 COVID-19 cases and 20,577deaths, according to Johns Hopkins...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani: IMF msiikopeshe IRAN

    Marekani yaikataza IMF kutoa mkopo kwa Iran kukabiliana na COVID-19 Marekani imelizuia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoa mkopo wa dharura wa dola bilioni 5 za kimarekani kwa Iran, kutokana na kile ilichosema kuwa Iran itatumia pesa hizo katika shughuli za kijeshi badala ya kukabiliana...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yaendelea kuvutana na China kwenye janga la Corona, yahamishia lawama kwa Shirika la Afya-WHO

    Rais Donald Trump amelishukia shirika la afya duniani WHO na kulilaumu kwa kuegemea upande wa China.Trump amesema asasi hiyo ya kimataifa ilishirikiana na China kuficha ukweli. Rais wa Marekani Trump ametishia kulikatia fedha shirika la afya Duniani WHO kwa sababu amesema shirika hilo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania CHINA: Tupo tayari kuisaidia Marekani kupambana na Corona

    Msemaji Wizara ya Mambo ya Nje wa China Zhao Lijian amesema China ipo tayari kuisaidia Marekani ili kupunguza maambukizi ya corona ambayo yanaonekana kushika kasi USA wakati huu ambapo China yamepungua, Zhao ni miongoni mwa Watu wa kwanza kudai Marekani imepandikiza corona China. "Niliwahi...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu coronavirus kuua zaidi Ulaya na Marekani

    Ndugu zangu wana JF Kwa muda wa siku tatu mfululizo nimetokewa na malaika katika ndoto alinieleza chanzo na sababu ya Coronavirus KUUA zaidi jamii ya hawa wenzetu wanaojiita bora zaidi kuliko sisi waafrika. Kuna mambo mawili muhimu ya kuzingatia; 1. Sababu ya kimazingira 2. Sababu za kibiolojia...
  6. JamiiForums Tanzania 89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

    Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaijeria wenye uraia wa Marekani wajitokeza kwa wingi kuliko wamarekani wenyewe, baada ya Marekani kutaka kuwa-evacuate raia wake

    Serikali ya Marekani ilitangaza kuwachukua raia wake nchini Nigeria ili kuwarudisha Marekani, kutokana na tishio la Corona VirusKatia zoezi hilo, walikutana na wanaijeria wengi wenye uraia wamarekani kuliko wamarekani wazawa ambao wako Nigeria Zoezi lilisitishwa. Na taratibu zilizowekwa ili mtu...
  8. JamiiForums Tanzania DRC imeingia makubaliano na Marekani pamoja na China ufanyikaji wa majaribio ya kinga ya Corona nchini mwao

    DR Congo 'prepared' to take part in vaccine testing: official The Democratic Republic of Congo is prepared to take part in testing of any future vaccine against the coronavirus, the head of the country's taskforce against the pandemic said on Friday. "We've been chosen to conduct these tests,"...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe Marekani inaikamua Korea Kusini pesa ya ulinzi kiuonevu

    Kama unadhani Marekani huwa hafurahishwi na makombora ya korea kaskazini basi jua unajidanganya. Makombora ya korea kaskazini yamekuwa ni mtaji mkubwa wa marekani kuishurutisha korea kusini kulipa kiwango kikubwa cha pesa kwa ajili ya ulinzi. Hivi karibuni Ikulu ya marekani imeitaka korea...
  10. JamiiForums Tanzania Hapo Zamani Nchini Marekani.

    Huko mjini Los Angels nchini Marekani, miaka ya 1930, bwana mmoja ambaye hakufahamika jina alionekana akisimamishwa na askari wa usalama barabarani kwa kosa kuendesha kwa kasi kubwa, mkokoteni wake unaovutwa na Mbuni. #History Is Great#
  11. JamiiForums Tanzania Urusi yaisaidia Marekani kupambana na corona

    Wakuu, ni ukweli sasa Marekani imenyoosha mikono juu kufatilia kuongoza kuwa na cases nyingii za wagonjwa wa COVID-19 kuliko nchi yeyote duniani! Hii imepelekea mpaka Trump kumgeukia mhasimu wake wa muda mrefu na hivyo hapa tunavyoongea ndege ya Urusi ya kijeshi aina ya AntonovAN124 upo angani...
  12. JamiiForums Tanzania Kutolewa kwa Mkopo wa Benki ya Dunia kwa Tanzania: Marekani yaeleza msimamo wake

    Marekani (US), nchi ambayo ni mdau muhimu kabisa wa Benki ya Dunia (World Bank) wameonesha dhahiri kutofurahishwa na hatua ya taasisi hiyo ya fedha kuridhia mkopo kwa ajili ya sekta ya elimu Tanzania kutokana na makandokando mengi ambayo serekali yetu bado haijayaweka sawa. Soma waraka wao huu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Marekani: Vifo vya corona vyafikia 4000, watu zaidi ya 900 wamefariki jana pekee

    Hali ya corona yawa mbaya zaidi nchini Marekani. Visa vya maambukizo vilivyothibitishwa vyazidi 180,000. Watu zaidi ya 4,000 wamefariki kwa corona, huku jana (31 March) ikiripotiwa idadi kubwa zaidi ya vifo kwa siku, 912.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa viongozi wa Marekani wanatumia mbinu gani kumwaga madini kwa muda mrefu hivi?

    Namwangalia huyu Gavana Cuomo wa New York kupitia Fox News akimwaga maneno yalipangilika vizuri kuhusu corona kwa muda mrefu sasa, zaidi ya saa moja na zaidi. Ukimwangalia haonekani akisoma popote pale (labda kama sielewi). hakuna blah blah blah, ni madini tupu. Nawakumbuka kina Obama na...
  15. JamiiForums Tanzania Afrika huu ndio wakati wa kuikuta Ulaya na Marekani Kiuchumi

    Afrika tuna bahati kuwa kasi ya kuenea na kufa kwa COVID-19 sio kubwa, tumshukuru kwa hili kwakweli. Sina uhakika kama hii inatokwna na uhodari wetu katika kuupiga vita ugonjwa. Hii ni tunu kutoka kwa MwenyeziMungu wetu. Lakini hatunabudi kuitumia bahati hii kwa kuchapa kazi kwa bidii wakati...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Vifo Vinavyotokana na Magonjwa ya Mafua vs Ugonjwa wa Corona Ulaya & Marekani

    Najua kuna watu wanafatilia sana na kushtuka na idadi ya watu wanaokufa huko Italy kutokana na ugonjwa wa korona. Vifo hivi vimeleta hofu kubwa kiasi kwamba watu kusitisha shughuli zote ili kuzuia maaambukizi. Kwa muktadha huo nimependa watu hasa wa dunia ya tatu kufahamu magonjwa ya mafua na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Marekani Waiomba China msaada

    CHINA YAKUBALI KUISAIDIA MAREKANI KUPAMBANA NA CORONA China imekubali kutoa msaada kwa Marekani ambayo imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya virusi vya corona kuliko nchi nyingine duniani, ikiwa na zaidi ya wagonjwa 85, 500 kwa mujibu wa chuo kikuu cha Johns Hopkins, Marekan Source...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani na China zaungana katika kupambana na Corona

    Rais wa China amesema nchi yake na Marekani lazima ziungane kupambana na janga la Corona, huku mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya wakitakiwa kufikia mpango wa kuuokoa uchumi wao uliodhoofishwa kutokana na janga hilo. Rais Xi Jinping wa China pia ameitolea wito Marekani kuimarisha uhusiano wa...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani yamfungulia mashtaka Rais Nicolás Maduro wa Venezuela

    The US has charged Venezuela's President Nicolás Maduro and other senior officials in the country with drug trafficking crimes. The move, which will increase tensions between the two nations, was announced by Attorney General William Barr. The US also offered a $15m (£12.5m) reward for any...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Donald Trump asaini amri kuzuia watu kukusanya na kupandisha bei bidhaa zinazohitajika kudhibiti Corona Virus

    President Donald Trump signed an executive order on Monday to prevent hoarding and price gouging of supplies needed to fight the deadly coronavirus, a spokeswoman said. “This sends a strong message - we will not let those hoarding vital supplies & price gougers to harm the health of America in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…