marekani

  1. JamiiForums Tanzania Kampuni yatangaza nafasi za kazi ya kulala mshahara milioni 3.2

    Kampuni moja nchini Marekani ambayo hutoa vidokezo vya usingizi imetangaza nafasi za kazi ya weledi wa usingizi. Kampuni ya Eachnight ilisema inawatafuta watu wa kujiunga na kikosi cha utafiti kama weledi wa kulala kubaini umuhimu wa usingizi na hasara yake. "Kwa sasa tunaajiri kikosi cha watu...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi waeleza kuisambaratisha birthday party ya Chris Brown kisa msongamano mkubwa wa magari

    Unaijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa ikabidi majirani na watu wanaoishi ameneo karibu na Breezy waite polisi. Ilianza kwa sauti kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Facebook yaamua kutomfungulia Tump akaunti yake

    Facebook imeamua kutofungulia akaunti ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump baada ya kufungiwa kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu. Uamuzi huo unafuata baada ya Kampuni hiyo kuifungia akaunti za Trump za Facebook na Instagram kwa muda wa saa...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimaye Marekani yashindwa kubaki Afghanistan

    Baada kuleta hasara kubwa ya maisha ya watu na kuharibu mali kwa miaka takriban 10,Hatimae Marekani imeamua kuondoka nchini Afghanistan ikiwa ni sharti muhimu katika makubaliano yake na wanamgambo wa Taliban.
  5. JamiiForums Tanzania Marekani: Derek Chauvin aomba kesi yake kusikilizwa upya

    Ikiwa ni takriban wiki mbili tangu akutwe na hatia katika mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd, Derek Chauvin ameomba kesi yake kusikilizwa upya. Mwanasheria wa Chauvin, Eric Nelson, amesema uendeshaji wa kesi dhidi ya Polisi huyo wa zamani haukuwa na haki akidai kulikuwa na makosa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Maoni ya Balozi wa Marekani Donald Wright Katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani

    Kwa takriban miaka 30, tarehe 3 Mei ya kila mwaka, dunia imekuwa ikiadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani inatupa fursa ya kuenzi nafasi na wajibu muhimu wa vyombo huru vya habari katika kimarishaa na kuhifadhi jamii zilizo huru na...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbukizi Video: WW2, Wajapani wakipambana vikali wakitumia (suicide bomber) dhidi ya Marekani kulinda kisiwa chao cha Okinawa , Mei 1945

    Kuelekea mwishoni mwa vita ya pili ya dunia 1945 , vita upande wa Ulaya ni kama ilikuwa imeisha, hata hvyo upande wa Pacific ndo ilikuwa inashuhudiwa pambano kubwa zaidi kuwahi kutokea , kisiwa cha Okinawa ambacho ni sehemu ya ardhi ya Japani sasa kilikuwa kinashambuliwa na wamarekani...Japan...
  8. JamiiForums Tanzania China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

    Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke. Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua. Pia tayari...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani na nchi nyingine zaanza kuondoa Wanajeshi wake Afghanistan

    Marekani yaanza kuondosha wanajeshi Afghanistan. Marekani imeanza awamu ya mwisho ya kuwaondowa wanajeshi wake nchini Afghanistan, huku mashambulizi mapya yakiripotiwa licha ya ulinzi kuimarishwa kwenye maeneo kadhaa ya taifa hilo la Asia. Wanajeshi wawili wa Afghanistan waliuawa na wengine 18...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanamichezo kutoka Afrika Kusini apigwa risasi na Polisi na kufariki

    Hasira zaenea baada ya polisi Marekani kumuua mwanamichezo wa Afrika Kusini. Kifo cha mchezaji wa mpira wa rugby wa Afrika Kusini, Lindani Myeni akiwa mikononi mwa polisi huko Honolulu, Marekani, kimeibua ghadhabu na hasira kali miongoni mwa watu wa Waafrika Kusini. Kumefanyika maandamano ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Keya, Marekani: Mbu wa kutengenezwa kuachiwa

    Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika. Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inafanya mchezo gani barani Afrika kwa kuitaja China?

    Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na China barani Afrika, Marekani itaangalia zaidi maslahi ya Afrika, kitu ambacho kitaivutia zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Songas wakutana na Balozi wa Marekani

    Leo ubalozi wa Marekani umetoa taarifa kua viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme wa gesi ya Songas imekutana na Balozi wa Marekani na kufanya mazungumzo kuhusu nishati ya Tanzania. Historia ya Songas Tanzania inajulikana ilivyojawa na utata na nakumbuka mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Kilagi...
  14. JamiiForums Tanzania Biden: Marekani haitaki zogo na China wala Urusi

    Biden ameyasema hayo katika hotuba yake ya kwanza kwa bunge la Marekani, baada ya kutimiza siku 100 tangu aingie madarakani. "Marekani ipo katika hatua ya kusonga mbele tena." Ni sehemu ya maneno ya kutia moyo ambayo ameyasema katika hotuba iliyopindukia takribani saa nzima yenye kugusia masuala...
  15. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa Rais Samia kuanza safari za Ulaya na Marekani

    Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru. Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa...
  16. JamiiForums Tanzania Bunduki ni zaidi ya Corona Marekani

    Wanangu wana jamvi. Wamarekani ni watu wa ajabu sana. Wanasema kwenye nembo ya taifa lao IN GOD WE TRUST. Ila kiukweli inapaswa iwe IN GUN WE TRUST. Wanapenda sana bunduki kiasi cha kumalizana wenyewe kwa wenyewe. Wanachukia ugaidi wa nje lakini wanafanyiana ugaidi wa ndani kwa kutumia...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani ambayo imekosolewa kwa kuhodhi chanjo itagawa dozi Milioni 60 za AstraZeneca na nchi nyingine

    Marekani itagawana dozi za Chanjo ya AstraZeneca zipatazo Milioni 60 na Mataifa mengine. Licha ya kuwa Mamlaka hazijatoa idhini ya AstraZeneca kutumika kwa Umma, Marekani imekuwa na akiba ya Chanjo hizo. Wakosoaji wamekuwa wakiishutumu Marekani kuhodhi Chanjo wakati Nchi nyingine zina uhitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Ubalozi Marekani watahadharisha raia wake nchini Tanzania kuhusu kimbunga Jobo

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam. Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kadari Singo aliyeteuliwa na Rais Samia ni Raia wa Marekani?

    Katika uteuzi wa Tarehe 21/04/2021 Mhe. Rais amemteua Kadari Singo ambaye anadaiwa kuwa Raia wa Marekani. Je, huyu bwana ameteuliwa kimakosa au huko Marekani yupo special mission? Kama siyo special mission kateuliwa kwa sheria gani inayoruhusu wageni kusimamia taasisi za umma? Jalada au jina...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

    Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli. Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…