marekani

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani kutoa Bilioni 437 kwa ajili ya Miradi ya Afya

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inatarajia kupokea kiasi cha shilingi Bilioni 437 kwa kipindi cha miaka 5 kwaajili ya miradi ya Afya inayolenga kuwafikia wananchi katika ngazi ya jamii. Hayo yamesemwa leo 15 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii...
  2. JamiiForums Tanzania EAC Tanzania kinara kuvutia Wa-USA

    Kuna watu wanapenda kudharau watu toka Mataifa yaliyoendelea kama Marekani na mengineyo kwa kuwaita eti wao ni "Mabeberu " kitu ambacho sichema kwa ustawi wa nchi na kwanchi zinazotuletea biashara na ajira kama hizi kuwaita "Mabeberu " japo hii sio hoja yangu wacha twende kwenye hoja...
  3. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania

    *Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania . Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Donald Wright ameahidi kusaidia programu mbalimbali za habari ili kulinda uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari Tanzania. Balozi Wright amesema hayo wakati alipotembelea klabu ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaruhusu watu waliopewa chanjo za Sinopharm na Sinovac

    Marekani imetangaza kuwa kuanzia tarehe 8 Novemba watu waliopata chanjo kwa ukamilifu kutoka nchi zote duniani wataruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa ajili ya utalii. Uamuzi huu umetangazwa kwa njia ya Twitter na naibu msemaji wa Ikulu ya Marekani Bw. Kevin Munoz. Uamuzi huu unafuatia marufuku...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha mifumo ya nchi nyingine ni kuzusha matatizo ambayo mwisho wake ni mbaya

    Katika miaka ya hivi karibuni dunia imeshuhudia madhara ya mwelekeo wa dunia ya ncha moja (unipolar world), na matendo ya umwamba yanayotokea duniani kutokana na hali hiyo. Tunaweza kukumbuka baada ya shambulizi la kigaidi la Septemba 11 2001, aliyekuwa Rais wa Marekani Bw. George Bush alipotoa...
  6. JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete Ethiopia, Marekani yawataka raia wake kuondoka

    Jeshi la Nchi hiyo limewataka Wanajeshi wa zamani kujiunga nao wakati linapambana na Waasi. Wito huo unakuja baada ya Vikosi vinavyoongozwa na TPLF kuendeleza nia ya kwenda Mji Mkuu, Addis Ababa Hali inayoendelea Ethiopia imepelekea Marekani kutoa tahadhari kwa Raia wake kuondoka mapema...
  7. JamiiForums Tanzania Kununua stocks/Hisa za Kampuni za Marekani

    Wakuu habari. Nimehangaika sana kupata platform ninunue hisa za Lucid Motors,kila App nayopata hawasapoti Tanzania.Sasa nitumie njia gani?
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yaiwekea vikwazo kampuni ya programu ya Pegasu

    Marekani yaiwekea vikwazo kampuni ya programu ya Pegasu Serikali ya Marekani imeiweka kampuni ya Israel inayotengeneza programu ya udukuzi ya Pegasus kwenye orodha ya makampuni mabaya, ikiishtumu kwa kutengeneza na kusambaza programu ya ujasusi kwa serikali za kigeni, zilizoitumia vibaya...
  9. JamiiForums Tanzania Leo hii Marekani yajaribu kuteka meli ya mafuta ya Iran, Iran yaichukua meli yao kwa kutumia kikosi maalum cha Makomando katika pwani ya Oman

    Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman Nov 03, 2021 11:25 UTC Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman Operesheni makinii na iliyochukiwa wakati mwafaka na wanajeshi shupavu wa kikosi cha Jeshi la Walinzi...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani yaidhinisha Chanjo ya Pfizer kwa Watoto wa miaka mitano hadi 11

    Taifa hilo limeidhinisha Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer/BioNtech kwa Watoto walio na umri wa miaka 5 - 11, ikielezwa Wataalamu wamebaini ina ufanisi wa 91% katika kuzuia Ugonjwa huo kwa Watoto Kwa mujibu wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) Marekani imerekodi maambukizi takriban...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

    Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa -- a pack of 3 per 1,000 Kulikoni? Au kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ni wakati kwa Marekani kuelekeza nguvu kupunguza pengo la chanjo

    Hivi karibuni, shirika la ujasusi la Marekani lilitoa ripoti kamili kuhusu chanzo cha virusi vya Corona, ambayo ilishindwa kujibu swali kuwa ni jinsi gani virusi hivyo vya ugonjwa wa COVID-19 vilimwambukiza mtu wa kwanza. Baada ya kupoteza nusu mwaka ambao ni fursa muhimu kwa dunia nzima...
  13. JamiiForums Tanzania National Interest: Marekani itashindwa na China katika vita juu ya mgogoro wa Taiwan

    National Interest: Marekani itashindwa na China katika vita juu ya mgogoro wa Taiwan Jarida la National Interest limewanukuu maafisa wa zamani na wa sasa wa masuala ya ulinzi nchini Marekani wakitahadharisha kwamba, Washington itashindwa na Beijing iwapo kutatokea vita juu ya eneo la Taiwan...
  14. JamiiForums Tanzania China yakosoa Ripoti ya Marekani kuhusu asili ya Virusi vya Covid-19

    Taifa hilo limesema Ripoti ya hivi karibuni ya Marekani inayosema huenda janga la COVID-19 lilianzia maabara sio ya kisayansi na inakosa uaminifu. China imekuwa ikikataa madai kuwa Virusi vilitokea Maabara katika Mji wa Wuhan ambapo COVID-19 iligundulika kwa mara ya mwanza mwaka 2019...
  15. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban wataka Serikali yao kutambuliwa

    Kundi la Taliban limeitaka Marekani na Mataifa mengine kutambua Serikali yao, likisema kushindwa kufanya hivyo na kuendelea kusitisha Misaada kutaleta matatizo sio tu kwa Afghanistan, bali ulimwengu mzima Hakuna Nchi ambayo imeitambua rasmi Serikali ya Afghanistan tangu ichukue Madaraka Mwezi...
  16. JamiiForums Tanzania MASWALI NA MAJIBU: Msimu wa Diversity Visa ya Marekani kwa mwaka 2023, Epuka kutapeliwa

    Video kuhusu taarifa sahihi, Maswali na Majibu kuhusu viza hii . Epuka kutapeliwa; kumbuka hakuna ada yeyote inayotozwa kwa kutuma maombi yako. https://dvprogram.state.gov/. #DiversityVisa American Diversity Visa Season for the year 2023 Accurate information, Questions and Answers about...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

    Colin Powell, the former secretary of State and chairman of the Joint Chiefs of Staff, has died from Covid complications at the age of 84. Powell was previously diagnosed with multiple myeloma, a type of blood cancer that hurts the body’s ability to fight infections. “General Colin L. Powell...
  18. JamiiForums Tanzania Harmonize anafanya nini Marekani?

    Kuna kipindi Nilipitia Instagram Niliona Kama Harmonize Anataka Kwenda Marekani Kufanya Tour Kule. Nilijiuliza Vitu vingi sana kuanzania Management aliyonayo, Promoters Anao Watumia na Aina ya Nyimbo alizo nazo na Watu alio washirikisha. Kuimba Kiswahili na kwenda kuperform Taifa ambalo...
  19. JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi ni uzushi wa Marekani kudai China ina bidhaa feki

    Karibu kila Bidhaa mbovu utasikia imetoka China, 'cha Mchina hicho'. Mbona kwao huko China na Ulaya bidhaa za Kichina ni bora kuliko Maelezo? Ukifuatilia bifu nyingi za kibiashara baina ya mataifa haya mawili utagundua kuwa MADAI YA BIDHAA FEKI TOKA UCHINA, ni UZUSHI wa Marekani na washirika...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta akutana na Rais Joe Biden wa Marekani

    Rais Uhuru Kenyatta amekutana na rais Joe Biden wa Marekani huko White House. By the way rais Uhuru kwenye mambo ya diplomasia yupo vizuri sana. Katika miaka tisa ambayo amekuwa mamlakani, amekutana na rais wote watatu wa Marekani waliokuwa madarakani. Amekutana na rais Barack Obama ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…