marekani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inadaiwa kuchukua pesa za Waafghanistan ikitetea haki duniani

    Rais Joe Biden wa Marekani hivi majuzi alitia saini amri ya rais kuhusu fedha ya Benki Kuu ya Afghanistan iliyozuiliwa nchini Marekani, na kutangaza kuwa fedha hizo, dola bilioni 7 za Kimarekani zitagawanywa katika sehemu mbili: nusu itatumika kuwalipa fidia wahasiriwa wa tukio la Septemba 11...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika haupaswi kutungwa kwa ajili ya kukabiliana na China

    Kwa muda usio mrefu sasa, serikali ya Marekani chini ya rais Joe Biden imeelekeza tena mkakati wake kwa Afrika. Alipofanya ziara yake ya kwanza barani Afrika mwezi Novemba mwaka jana, waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken aliahidi kuwa serikali yake "itachukua mtazamo tofauti" na kushiriki...
  3. JamiiForums Tanzania BoT mnisikilize ili kwendana na wakati dunia inataka nini

    Kitu kilichonileta na kushtuka kama mnakumbuka miaka ya nyuma china ilihodhi sana dola ya Kimarekani nchini mwao ambapo malipo mengi walikuwa wanataka dola na kufikia mzunguko wa dola ukawa upo China. Hapo ndipo Marekani akashtuka kuwa pesa yake yote ipo China!.baada kutangaza hatachapisha pesa...
  4. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi inaweza kuivamia Ukraine muda wowote, Marekani yatoa angalizo, yataka raia wake waondoke Ukraine

    Marekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuivamia kijeshi Ukraine muda wowote. Mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani, Jake Sullivan amesema uvamizi huo unaweza ukaanza kwa makombora na mashambulizi ya anga. Tangazo la Marekani linatokana na taarifa mpya za kijasusi kuhusu kuongezeka kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Urusi yatiwa hofu na inteligesia ya Marekani kuhusu uvamizi Ukraine

    Wachambuzi wa medani za kivita wanasema kati ya mambo ambayo yamechelewesha Russia kuivamia Ukraine ni taarifa za kiintelijesia ilizonazo US zinazohusu mipango ya kuivamia Ukraine. Taarifa hizi, sio tu zinatokana na images za setilaiti bali ni zile ambazo zinatoka ndani kabisa ya jeshi la...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

    Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka. 1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine! 2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa! 3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yatamba kuwa miongoni mwa nchi chache ulimwenguni zenye uwezo wa kuitisha na kuiogofya Marekani

    Korea Kaskazini imetamba ktk jumanne ya wiki hii kuwa nchi hiyo ni moja ya nchi chache duniani zenye silaha za nyuklia na makombora yenye ubora wa hali ya juu. Ikaendelea kutamba kuwa nchi hiyo (Korea Kaskazini) ndio nchi pekee yaweza kuidindia Marekani kwa 'kuitikisa dunia' kupitia majaribio...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Biden awataka raia wa Marekani kuondoka Ukraine. Vita vikianza hatatuma vikosi kuwaokoa

    Rais wa Marekani Joe Biden ametoa wito kwa raia wote wa Marekani waliosalia nchini Ukraine kuondoka nchini humo mara moja kutokana na kuongezeka kwa vitisho vya kuchukuliwa hatua za kijeshi za Urusi. Bw Biden alisema hatatuma wanajeshi kuwaokoa Wamarekani ikiwa Moscow itavamia Ukraine. Alionya...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza vikwazo vya viza dhidi ya Maofisa wa Somalia

    Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika kwa uchaguzi wa kuaminika nchini Somalia - ambao umechelewa kwa muda mrefu. Katika taarifa...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Marekani

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa kitanzania ninaomba mwenye ndugu au hata mtu wa karibu ambaye anahitaji mfanyakazi iwe ni baby sister au hata house girl MAREKANI aniunganishe, Mimi nipo pia naongea Kiswahili na Kiingereza vizuri, maisha magumu sana jamani ,pia ajira ngumu sana kupata...
  12. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa juu wa Iran awakosoa Rais Biden, Trump asema wameharibu sifa ya Marekani

    Picha: Ayatollah Ali Khamenei Kiongozi wa juu kabisa mwenye usemi wa mwisho nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amewatuhumu Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden, na mtangulizi wake, Donald Trump, kwa kuiharibu sifa ya Marekani. Ukosoaji huo wa moja kwa moja ni hatua ya nadra kufanywa na...
  13. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Donald Wright leo Februari 4, 2022 ametembelea Ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi Balozi Wright na timu yake wamepata kuelezwa namna Jamii Forums ambayo ni Asasi ya Kiraia inavyoendesha shughuli zake katika...
  14. JamiiForums Tanzania Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

    Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani. Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nyambizi za Urusi zenye makombora ya nyuklia zapelekwa kwenye eneo la maji karibu na Marekani

    Hali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na eneo la Marekani. Lengo la nyambizi hizo ni kujibu hatua yoyote Marekani atakayochukua dhidi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Manhattan, New York: Miss USA 2019, Cheslie Kryst ajiua kwa kujirusha ghorofani

    Cheslie Kryst (30) aliyekuwa mlimbwende wa Marekani mwaka 2019 amefariki dunia. Kwa mujibu wa Polisi, alijirusha ghorofani Jumapili asubuhi huko Manhattan, New York. Kabla ya kujirusha aliweka bandiko la picha yake Instagram yenye ujumbe "Siku hii ikuletee Pumziko la Amani". Alikuwa na Shahada...
  17. 5

    JamiiForums Tanzania Mzigo wa tatu hadi jana umetua rasmi kule Ukraine toka Marekani, wale wanaosema NATO wanatania

    Nimesoma na kuona hizi habari kupitia vyombo vya Habari kama CNN TV, Al-Jazeera, BBC kwamba mzigo wa tatu rasmi umetua KIEV ukitoa ule wa tani 80 wa mara ya pili. Nilisoma humu kuna watu wanadai NATO na Marekani wanatania tania lakini pia Troops zinamiminika Ukraine kwa upande wa Nato pia...
  18. JamiiForums Tanzania Canada: Wanne wakutwa wamefariki kwenye theluji wakijaribu kuingia Marekani

    Polisi Canada wameipata miili ya watu wanne akiwemo mtoto mchanga, katika eneo la uwanja mkubwa uliopo kwenye mpaka wa Canada na Marekani. Watu hao walipatikana wakiwa wamekufa katika theruji walipokuwa wakijaribu kuingia nchini Marekani kinyume cha sheria. Imetambuliwa kuwa familia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

    Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo? Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
  20. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inatakiwa kuwajibika kwa vitendo kupunguza utoaji wa gesi chafu

    Upunguzaji wa utoaji wa gesi chafu hauwezi kufanikiwa bila ya kuwa na vitendo halisi kutoka kwa nchi zilizoendelea. Katika kipindi cha Utawala wa rais Donald Trump, Marekani iliojiondoa kwenye mkataba wa Paris na kuonyesha kuonyesha dunia mtazamo usiofaa kwenye juhudi za kulinda mazingira. Hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…