marekani

  1. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

    Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani. Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia...
  2. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nyambizi za Urusi zenye makombora ya nyuklia zapelekwa kwenye eneo la maji karibu na Marekani

    Hali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na eneo la Marekani. Lengo la nyambizi hizo ni kujibu hatua yoyote Marekani atakayochukua dhidi ya...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Manhattan, New York: Miss USA 2019, Cheslie Kryst ajiua kwa kujirusha ghorofani

    Cheslie Kryst (30) aliyekuwa mlimbwende wa Marekani mwaka 2019 amefariki dunia. Kwa mujibu wa Polisi, alijirusha ghorofani Jumapili asubuhi huko Manhattan, New York. Kabla ya kujirusha aliweka bandiko la picha yake Instagram yenye ujumbe "Siku hii ikuletee Pumziko la Amani". Alikuwa na Shahada...
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Mzigo wa tatu hadi jana umetua rasmi kule Ukraine toka Marekani, wale wanaosema NATO wanatania

    Nimesoma na kuona hizi habari kupitia vyombo vya Habari kama CNN TV, Al-Jazeera, BBC kwamba mzigo wa tatu rasmi umetua KIEV ukitoa ule wa tani 80 wa mara ya pili. Nilisoma humu kuna watu wanadai NATO na Marekani wanatania tania lakini pia Troops zinamiminika Ukraine kwa upande wa Nato pia...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Canada: Wanne wakutwa wamefariki kwenye theluji wakijaribu kuingia Marekani

    Polisi Canada wameipata miili ya watu wanne akiwemo mtoto mchanga, katika eneo la uwanja mkubwa uliopo kwenye mpaka wa Canada na Marekani. Watu hao walipatikana wakiwa wamekufa katika theruji walipokuwa wakijaribu kuingia nchini Marekani kinyume cha sheria. Imetambuliwa kuwa familia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

    Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo? Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inatakiwa kuwajibika kwa vitendo kupunguza utoaji wa gesi chafu

    Upunguzaji wa utoaji wa gesi chafu hauwezi kufanikiwa bila ya kuwa na vitendo halisi kutoka kwa nchi zilizoendelea. Katika kipindi cha Utawala wa rais Donald Trump, Marekani iliojiondoa kwenye mkataba wa Paris na kuonyesha kuonyesha dunia mtazamo usiofaa kwenye juhudi za kulinda mazingira. Hata...
  8. Cathelin

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Biden madarakani, amefeli vibaya sana

    Biden alijinasibu na kutoa ahadi kemkemu na kumtupia lawama lukuki Trump Ndani ya mwaka mmoja wa Biden, vifo vya Covid-19 marekani vimezidi vifo vilivyoripotiwa chini ya Trump, wakati Biden kakuta kila kitu,Chanjo, instruments na wamarekani washakuwa na ufahamu wa Covid-19. Mmfumko wa bei...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Huduma ya 5G yadaiwa kuathiri Mawasiliano ya Ndege. Mashirika makubwa yasitisha safari zake Nchini Marekani

    Mashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na huduma ya mtandao wa 5G. Jana asubuhi huduma ya mtandao wa 5G ilianza kutumika nchini Marekani kwa kuwashwa minara 4500 ya 5G. Mashirika hayo ya ndege yamesitisha...
  10. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Marekani yakosa Wagombea Urais: Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem

    DT anaweza kuwa rais kwa mara nyingine tena Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem Kristyn Burtt December 30, 2021·2 min read Well, it looks like Joe Rogan has created a political firestorm by predicting that former First Lady Michelle Obama...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mahakama ya Juu yamkataa Trump, yakubali rekodi za White House kutolewa

    Mahakama ya Juu Nchini humo imekataa ombi la aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Donald Trump la kuzuia kutolewa rekodi za White House kwa jopo linalochunguza vurugu zilizofanywa na wafuasi wake eneo la Bunge. Amri ya Mahakama inamaanisha zaidi ya Hati 700 zinaweza kutoa mwanga juu ya matukio...
  12. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini Marekani, Urusi na India zina shauku kubwa ya kwenda mwezini

    Hakuna chombo hata kimoja cha safari za anga za mbali kilichotua mwezini mwaka uliopita. Lakini, tunaendelea kusikia habari kuhusu mwezi. Nchi nyingi na makampuni yanajiandaa kwa kupatwa kwa mwezi mwaka huu. NASA itazindua mpango wake wa Artemis mwaka huu kama sehemu ya hili, mwanaanga wa kike...
  13. The Genius

    JamiiForums Tanzania Captain Sully: Shujaa wa Marekani atatizmiza miaka 72 Tarehe 23/1/2022

    Ilikua ni Jan 25 mwaka 2009, ndege aina ya Airbus A320 mali ya Us Airways chini ya captain Chelsey Burnett (captain Sully) ikiwa na abiria 155 kwenye uwanja wa ndege wa laGuardia uliopo mji wa Newyork city ilikua ipo tayari kwa safari ya kuelekea Charlotte Airport huko North Carolina Ndege...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mchungaji azua tafrani baada ya video yake ya kumponya muumini kwa kumpaka mate kusambaa

    Mwinjilisti maarufu wa Marekani Michael Todd azua tafrani na kuibua hisia za hasira miongoni mwa watu baada ya video yake akimpaka mate muumini kusambaa. Katika ibada hiyo ya Jumapili Mchungaji huyo alipokuwa akiongoza ibada iliyokuwa mbashara alionekana akitema mate kisha kumpaka muumini wake...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya aajiriwa kufunza Kiswahili kwenye chuo kikuu cha Michigan, Marekani

    Wakenya hatujambo likija suala la kuchangamkia fursa duniani, huyu kuupiga mwingi maana hiki chuo kikuu cha Michigan ni mojawapo wa vyuo maarufu duniani na kipo ndani 100 bora. Kuchaguliwa ufunze chochote pale lazima upitie ukaguzi sio haba. A collage image of Paul Otieno (Left) and an aerial...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inazidi kujiabisha tu eti kwa kujidai “kususia Michezo ya Olimpki ya Majira ya Baridi ya Beijing”

    Na Pili Mwinyi Mwanzoni mwa mwezi Disemba 2021 serikali ya Marekani ilitangaza kususia Michezo ya Olimpki ya Majira ya Baridi ya Beijing ya mwaka 2022, kwa kile walichodai kwamba wanapinga ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na China, hivyo haitaleta maafisa wake kuja China kushiriki...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Marekani haijawahi kuacha njama ya kutawala kikoloni Afrika

    Mwaka 1958, mwaka mmoja baada ya kujipata uhuru, Ghana, nchi ya kwanza ya Afrika kusini mwa Sahara iliyoondokana na utawala wa kikoloni iliitisha mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika. Kwa watu waliodhamiria kujenga taifa upya, hiki kilikuwa ni kipindi chenye matumaini. Lakini nchi mwenyeji...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaziondoa Ethiopia, Mali na Guinea kwenye Mfumo wa AGOA

    Serikali ya Marekani imeanza rasmi kutekeleza agizo la Rais Joe Biden la kuziondowa Ethiopia, Mali na Guinea kutoka makubaliano ya kibiashara kati ya taifa hilo na Afrika kutokana na uvunjwaji wa haki za binaadamu.M Marekanihivi leo imeziondosha Ethiopia, Mali na Guinea kutoka kwenye programu...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yatishia kuchukua hatua mpya dhidi ya Myanmar

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken amesema Washington inapania kuchukua hatua mpya ili kushinikiza utawala wa jeshi nchini Myanmar kurudisha serikali ya kiraia, katika wakati ambapo wasiwasi unazidi kuongezeka kutokana na kukandamizwa wapinzani. Akizungumza wakati wa ziara...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Athari ya Kirusi cha Omicron ipo juu

    Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limesema leo kwamba athari inayotokana na aina mpya ya kirusi cha Omicron bado iko juu baada ya idadi ya maambukizo ya virusi vya corona kuongezeka kwa asilimia 11 kote duniani wiki iliyopita Katika taarifa yake ya kila wiki kuhusu udhibiti na kuenea kwa virusi...
Back
Top Bottom