marekani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Marekani kubadili vikwazo kuwawezesha wananchi wa IRAN kupata taarifa.

    Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata taarifa. Hatua hii ya Marekani imekuja kufuatia kifo cha mwanadada wa Kikurdi nchini Iran...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Urusi ikishindwa, China ijitayarishe na Marekani hatamtawala mtu

    Kasi ya kusambaratika jeshi na nguvu ya Urusi ni kubwa kiasi kwamba natabiri hatoweza kuidhibiti Ukraine ijapokuwa tayari ameikamata pazuri. Hapo sioni yeyote kuwa ni shujaa katika kuleta hali hii. Si kwamba Zelensky ni shujaa wa vita wala si kwamba HIMARS ndio zimeleta mabadiliko hayo. Na wala...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Donald Trump na familia yake washtakiwa kwa kudanganya kuhusu kodi na mikopo

    Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo. Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la kiwango cha riba nchini Marekani laathiri uchumi wa Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na janga la UVIKO-19, Marekani ilichapisha dola nyingi ili kuchochea uchumi. Lakini kuanzia mwaka huu, Marekani imegeuza sera ya kifedha na kuongeza viwango vya riba ili kukabiliana na mfumuko wa bei. Kitendo hicho kimekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mfumuko...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Marekani: Jakaya Kikwete ameshiriki katika Mkutano wa Mageuzi katika Elimu

    Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education) - GPE) ameshiriki katika Mkutano wa Mageuzi katika Elimu uliondaliwa na Umoja wa Mataifa, tarehe 19 Septemba, 2022 Jijini New York, Marekani...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Biden: Marekani itailinda Taiwan ikivamiwa na China

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesisitiza kuwa taifa lake litailinda Taiwan dhidi ya mashambulizi yoyote yatakayofanywa na China. Hiyo ni mara ya tatu Rais Biden kutoa kauli inayoendana na kuilinda Taiwan ambapo mwanzoni mwa Septemba 2022 Marekani ilipitisha mpango wa kuiuzia Taiwan silaha za...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango awasili Marekani, Kushiriki Mkutano wa UNGA 77

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA). Makamu wa Rais...
  8. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani: Muuguzi Mkenya akiri makosa ya ulaghai wa mabilioni katika huduma za afya

    Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya kudanganya wachunguzi wa shirikisho la Marekani. ======= A 42-year-old Kenyan nurse has pleaded guilty to...
  9. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Biden asema Marekani itailinda Taiwan iwapo China itashambulia

    Rais wa Marekani Joe Biden amesema kwa mara nyengine kwamba Marekani itailinda Taiwan endapo kutatokea "shambulio ambalo halijawahi kushuhudiwa" na China. Akizungumza katika mahojiano ya chombo cha Habari cha CBS, Bw Biden alijibu "Ndiyo" alipoulizwa ikiwa hiyo inamaanisha majeshi ya Marekani...
  10. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Trump; karata aliyoicheza putini kwa weledi mwishowe akalamba joka

    Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi. US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine kupokea mifumo ya NASAMS Air Defense Systems kutoka Marekani

    Ukraine wamedhihirisha uwezo wao wa kutumia kidogo walichopewa, vitu kama HIMARS wamevitumia vizuri na kupokeza adhabu, sasa wanapandishwa ngazi na kupewa madubwasha ya maana, kama haya hapa kazi yake kudungua ndege, mizinga, drones na chochote cha kupaa angani. NASAMS are surface-to-air...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapotosha ukweli wa Xinjiang kwa kutunga habari za uwongo

    Chuo Kikuu cha Stanford cha Marekani hivi karibuni kilitoa ripoti iliyofichua kuwa Marekani inatumia mitandao ya kijamii kupotosha maoni ya umma duniani kuhusu Xinjiang. Ripoti hiyo iliyotolewa kwa pamoja na Chuo Kikuu cha Stanford na Kampuni ya Uchambuzi wa Majukwaa ya Kijamii Graphika...
  13. Mavindozii

    JamiiForums Tanzania Maoni: Soko la silaha la Marekani kupanda maradufu

    Kutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA, tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao. Na soko la wa Russia litakufa kabisa. Mungu bariki Ukraine, Mungu Bariki USA.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani ina nia ya dhati kujenga Miundombinu barani Afrika ama ipo kwenye ushindani tu na China?

    Na Pili Mwinyi Ni miaka tisa sasa tangu rais wa China Xi Jinping atangaze pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” duniani, ambalo mbali na mambo mengine pia linajikita zaidi katika uwekezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu. Pendekezo hili lilitolewa kwa ajili mahsusi ya kuanzisha zama mpya ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi waunda sera ya kigeni ya Marekani kuhusu Afrika

    Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi ilitoa ripoti ya tathmini ya jinsi Marekani inavyotekeleza Mkataba wa Kimataifa wa Kutokomeza Aina Zote za Ubaguzi wa Rangi, ikisema uhalifu na kauli za chuki nchini Marekani vimeongezeka kidhahiri katika miaka kadhaa iliyopita, na watu...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Palestine utafanywa na Urusi sio Marekani wala Waarabu

    Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini. Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke milele. Mungu atafanya hivyo kama alivyofanya kwa wa Israel pia. Mungu atafanya hivyo hata kwa bara...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Marekani yampongeza William Ruto kwa ushindi wa kuwa Rais

    Serikali ya Marekani imetuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Mteule wa Kenya, William Ruto baada ya Mahakama ya Upeo kuidhinisha ushindi wake. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken amesema anatarajia ushirikiano wa Kenya na Marekani utaimarika chini ya uongozi wa Ruto. Aidha, Marekani...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani kuiuzia Taiwan silaha za Dola Bilioni 1.1

    Marekani imeidhinisha uwezekano wa kuiuzia silaha Taiwan zenye thamani ya Dola Bilioni 1.1, hatua ambayo inaweza kuzidisha mvutano ambao tayari upo kati ya Marekani na China. Mauzo hayo yatajumuisha makombora 60 ya kukinga meli, makombora 100 ya angani na msaada wa vifaa vya ufuatiliaji wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yaitamani demokrasia ya Kenya

    Soma mwenyewe hapa. Lumumba kwa kuwa hamjui kiingereza mtafuatilia komenti ili kujua kilichoandikwa.
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kenya: Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya Usalama kwa raia wake

    Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
Back
Top Bottom