Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini.
Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke milele. Mungu atafanya hivyo kama alivyofanya kwa wa Israel pia. Mungu atafanya hivyo hata kwa bara...
Serikali ya Marekani imetuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Mteule wa Kenya, William Ruto baada ya Mahakama ya Upeo kuidhinisha ushindi wake.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken amesema anatarajia ushirikiano wa Kenya na Marekani utaimarika chini ya uongozi wa Ruto.
Aidha, Marekani...
Marekani imeidhinisha uwezekano wa kuiuzia silaha Taiwan zenye thamani ya Dola Bilioni 1.1, hatua ambayo inaweza kuzidisha mvutano ambao tayari upo kati ya Marekani na China.
Mauzo hayo yatajumuisha makombora 60 ya kukinga meli, makombora 100 ya angani na msaada wa vifaa vya ufuatiliaji wa...
Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga
Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1.
Bloomberg yasema hatua hiyo ya Putin kuyakusanya mataifa makubwa nchini Urusi inazizodoa na kuzivunjavunja jitihada za Marekani...
Agosti 30, wakazi wa mji wa Jackson kwenye jimbo la Mississippi, Marekani ambao hivi karibuni walikumbwa na mafuriko, sasa wanakabiliwa na tatizo lingine la ukosefu wa maji ya bomba.
Kwa mujibu wa gavana wa jimbo hilo Tate Reeves, kutokana na hitilafu za miundombinu ya shughulikia maji, hivi...
Utawala wa Biden umeomba idhini Bunge la Congress kuruhusu kuiuzia Taiwan Makombora ya kuzamisha Meli, Makombora ya kulipua ndege pamoja na Rada za kisasa za uchunguzi kwenye dili la thamani ya Dola bilioni moja.
United States President Joe Biden plans to ask Congress to approve an estimated...
Wenzetu wako mbele sana ,wakati sisi tunapambana na tozo.
Jimbo la California ndilo ltaanza na hiyo program ,sidhani kama mbeleni vitukuu vyetu vitaendesha magar ya mafuta.
California has laid out an audacious goal: In 13 years, it should no longer be possible anywhere in the state to buy a...
Sio rahisi kuepuka Marekani....
Cuba has asked the United States for help in restoring a major fuel storage plant devastated by a massive fire that left 16 people dead, the island nation's foreign ministry said on Friday.
The request was made during an online meeting Wednesday between experts...
Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za Idara za Usalama wa Taifa.
Katika Hati hiyo ya Kiapo, Afisa wa siri wa FBI amesema walipitia na...
Pentagon imeendelea kuruka viunzi suala la kupeleka ndegevita za kimarekani nchini Ukraine. Pentagon yasema suala la kuipatia Ukraine ndegevita za kimarekani lipo mezani lakini kuzipeleka hadi kufika nchini Ukraine itachukua miaka tele.
Mwambieni Biden aache kuruka viunzi, ni muda muafaka sasa...
Jaji Bruce Reinhart kutoka Mahakama inayosikiliza kesi hiyo, ameiamuru Idara ya Haki kufikia saa 1:00 jioni leo Agosti 26, 2022 iwe imeweka hadharani Hati ya Kiapo ambayo iliruhusu upekuzi wa FBI kwenye nyumba ya Rais wa zamani, Donald Trump.
Reinhart amesema Idara ya Haki ina haki ya kuficha...
Marekani na Ukraine zinalalamika kuwa Urusi imeikatia Umeme Kyiv toka kwenye mtambo mkubwa wa nyuklia wa kufua umeme uliokuwa mali ya Ukraine kabla ya kuanza vita vya Ukraine. Mtambo huonwa nyuklia wa Zaporizhzhia ndio mtambo mkubwa zaidi kwa Ulaya nzima, na umo kwenye top 10 ya mitambo mikubwa...
Mahakama imeamuru Mjane wa Kobe Bryant kulipwa Tsh. 37,312,000,000 sawa na Dola za Marekani Milioni 16 baada ya kuthibitisha kuwa Maafisa wa Polisi na wa Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles walisambaza picha mbaya za ajali za nyota huyo wa NBA, na binti yake, pamoja na wahanga wengine katika...
Zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na mtawala wa zamani wa kijeshi Sani Abacha, zitakabidhiwa kwa serikali ya Nigeria baada ya nchi hizo mbili kutia saini makubaliano.
Balozi wa Marekani nchini humo, Mary Beth Leonard alisema pesa hizo zilikuwa kwenye akaunti za Uingereza lakini...
Fadhili Mpunji
Wiki mbili baada ya Spika wa baraza la wawakilishi la bunge la Marekani kutembelea Taiwan, kinyume na kanuni za Umoja wa Mataifa kuhusu uhusiano wa kidiplomasia, na kinyume na makubaliano yaliyofikiwa na serikali za China na Marekani, kwa mara nyingine tena Marekani imefanya...
Marekani ni nchi tajiri na yenye maguvu.
Lakini sensa yao iliyoendeshwa na Idara ya Cencus Bureu(kama sensa yetu) imeonyesha kuwa hii nchi ya watu karibia milioni 330, ina watu masikini kabisa kufikia milioni 48.
Na kwa Marekani ukiwa masikini basi heri ya Tanzania.
Masikini wa Marekani...
Msaada huo umetengwa kutoka kwenye Mfuko Mkuu wa Dharura (CERF), ili kushughulilkia hali mbaya ya Chakula nchini humo inayosababishwa na ghasia za magenge ya waasi
Ripoti ya Mashirika ya Misaada ya Umoja wa Mataifa imeonesha tangu mwezi Julai 2022, takriban watu 500 wameuawa katika mapambano...
Moazu Kromah raia kutoka nchini Uganda amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na Mahakama ya jijini New York kwa kosa la kula njama za kusafirisha Pembe za Faru na Pembe za Tembo.
Shehena iliyokamatwa ilikuwa na Kilo 200 za Pembe za Faru na Tani 10 za Pembe za Tembo ambazo thamani...