Agosti 30, wakazi wa mji wa Jackson kwenye jimbo la Mississippi, Marekani ambao hivi karibuni walikumbwa na mafuriko, sasa wanakabiliwa na tatizo lingine la ukosefu wa maji ya bomba.
Kwa mujibu wa gavana wa jimbo hilo Tate Reeves, kutokana na hitilafu za miundombinu ya shughulikia maji, hivi sasa hakuna maji ya kutosha ya bomba kwa ajili ya kusafisha choo au kuzima moto.