Trump; karata aliyoicheza putini kwa weledi mwishowe akalamba joka

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi.

US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua mchezo ambao Putin alitaka kucheza ,Maana Trump angekua bado rais kwa awamu ya pili, Ukraine leo ingekua Russia, amino usiamini .Putin alicheza karata safi ila mwisho akaokota joka a.k.a Biden

Tujikumbushe vita ya Syria wengi wanaiponda US kwamba ilishindwa ila watu wanakua wavivu kufukua habari za nyuma au wanasahau ,ya kwamba Trump ndiye aliyeamuru majeshi ya US yaondoke Syria, hii ni baada ya swaiba wake Putin kumsih afanye hivyo.

Tujikumbushe kidogo ilivyokua.

DW Swahili
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Jumatano kwamba wanajeshi wa Marekani wataanza kuondoshwa nchini Syria na kurejeshwa nyumbani, kwavile wameshafanikiwa kulitokomeza kundi linalojiita Dola la Kiislam (IS).

Rais wa Marekani Donald Trump amesema Jumatno kwamba wanajeshi wa Marekani wataanza kuondoshwa nchini Syria, kwavile wamefanikiwa kutimiza lengo lao la kulitokomeza kundi linalojiita Dola la Kiislam (IS) na sasa hawahitajiki tena nchini humo.
"Tumekuwa tukipambana kwa muda mrefu sana nchini Syria.

Nimekuwa rais kwa zaidi ya miaka miwili. Tumejitahidi sana na tumelishinda kundi la IS. Tumewashinda na tumewashinda vibaya sana. Tumewapokonya ardhi waliokuwa wanidhibiti. Na sasa ni wakati wa wanajeshi wetu kurudi nyumbani," amesema Donald Trump wakati akitangaza uamuzi wake huo.

Uamuzi huo wa kuondoa kabisa wanajeshi wa Kimarekani nchini Syria, umethibitishwa pia na maafisa wa Marekani na unatarajiwa kutekelezwa katika miezi ijayo. Lakini kuondoka kwao huko kunaweza kukafanya vigumu kupambana na kundi hilo iwapo litapata tena nguvu.

Na Marekani pia itapoteza ushawishi wake katika eneo hilo, na kuhujumu juhudi zake za kidiplomasia za kutaka kumaliza vita vya Syria vya wenyewe kwa wenyewe, ambavyo vimeingia mwaka wake wa nane.

Maseneta wakosoa uamuzi wa Trump
Uamuzi huo wa Trump umekosolewa na Maseneta pamoja na baadhi ya wanachama wenzake wa chama cha Republican, ambao wanadai kwamba kuondoka kutazipa nguvu Urusi na Iran, ambazo zinamuunga mkono Rais wa Syria Bashar Assad.

Maseneta hao wa Marekani ikiwa ni pamoja na wa chama cha Republican Jumatano usiku walimsisitizia Rais Donald Trump kutafakari upya uamuzi wake huo wa kuondoa majeshi ya Marekani kutoka Syria.
 
Mkuu

Kule Syria, bado majeshi ya US yapo na yanatuhumiwa kuifanya shughuli za kuiba Mafuta.
 
Mjomba..akili za sisiemu zinakupeleka puta sana...ebu punguza ukilaza baas mkuu..nyie ndo kina steve nyerere..mko kama vibwengo!
 
Back
Top Bottom