mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UPDATE: JAY-Z, DJ Khaled, Lil Wayne, Rick Ross kupanda kwenye steji za GRAMMYs Jumapili

    Baada ya kuwepo tetesi za mastaa hao kufanya onesho la pamoja, #RecordingAcademy ambao ni waandaji wa Tuzo za #Grammys wamethibitisha kuwa #JAYZ atakuwa kati ya wasani watakaotumbuiza Jumapili Feb. 5, 2023. Kwa mujibu wa #Variety, mastaa wengine wanaotajwa kuwa watatoa burudani kwenye usiku wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ

    Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k. Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mtendaji NECTA aondolewe mara moja kwenye nafasi hiyo

    Jana matokeo ya CSEE na QT yalitangazwa. Lakini hayakuwa na ranking wala hata kuonesha halmashauri inakopatikana shule husika. 1. Kufanya ranking ni mhimu Kama recognition kwa shule na mwanafunzi binafsi. Hii pia ni motivation. 2. Mtihani wa NECTA ni standard, kwa maana kwamba hatua zote...
  4. JamiiForums Tanzania Siku Nilipoiona Simu Kwa Mara ya Kwanza Odeon Cinema 1955 au 1956 au Nyuma ya Hapo Kidogo Sijavuka Miaka 4

    SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE Nakumbuka kama jana vile. Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa akanichukua kunipeleka hospitali. Ilikuwa usiku lakini si usiku mkubwa kiasi cha saa moja hivi. Nina...
  5. JamiiForums Tanzania Tems na Rihanna watajwa kwa mara kwanza kuwania Tuzo ya Oscar

    Mwimbaji Temilade Openiyi a.k.a #Tems kutoka Nigeria, ameweka historia ya kuwa msanii mwenye muda mfupi kwenye muziki na kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo maarufu ya #Oscar kupitia wimbo wa Lift Me Up alioshiriki kuuandika pamoja na #Rihanna. Licha ya Ukubwa wake kwenye tasnia ya Muziki, kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mara: Kijana apanda kwenye grid ya taifa

    Angalia hapa
  7. JamiiForums Tanzania Nisiwe mnafiki wanawake wenye chuchu Mungu awazidishie zaidi

    Wasalaam Sina mengi nimetafakari sana kwenye rejea mimi ni Mr chuchuz ujumbe wapenda trakooz mimi siko huko, hakika wanawake wenye chuchu Mungu awabariki sana aongeze idadi yenu kuna haja tuendelee na tafakuri ya kuoa au kuenzi vyombo. Sina mengi mnanibariki sana I feel it uwepo wa mwanamke...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nimeahirisha mara 3 ila bado haijapita kiasi, nasikilizia

    Tangu asubui naharisha nimeharisha mara 3 Ila nguvu bado ninazo nachukua muda kidogo kutoka one episode to another. Nangoja nione kama nitaharisha tena hali ikizidi nitakunywa Albendazole au Mebendazole maana hapa nilipo majani ya mpera hayapo.
  9. JamiiForums Tanzania Dar: Dibron Saidi ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mkewe Herieth Justine kwa kisu, ni baada ya kumfumania

    Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi kwa kosa la kumuua aliyekuwa mkewe, Herieth Justine kwa kumchoma na kisu mara tatu. Hukumu hiyo imesomwa leo na Hakimu mkazi mkuu, Evodia Kyaruzi aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo. Akisoma...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ni mara ya pili polisi wanashambuliwa mtaa wa Narung'ombe na Ndanda, Kariakoo

    Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika...
  11. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mara aagiza wazazi wa watoto 70 waliokeketwa wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee tarehe 10/1/2023 ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya kuwakamata wazazi/walezi wa watoto 70 waliokuwa wamekimbilia AFTGM Masanga kukwepa ukeketaji na baadaye kurejeshwa kwa wazazi wao baada ya kipindi cha ukeketaji...
  12. JamiiForums Tanzania Bashe: Kwa mara ya kwanza, tunafungua maghala ya chakula pasipokuwa na njaa

    Waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe akihojiwa na DW amesema hili kupunguza mfumuko mkubwa wa bei hasahasa ya chakula, serikali imeamua kufungua maghala yake kadhaa ya chakula nchini kwenda kupunguza mfumuko wa bei. Pia amedai ni nadra Sana kufungua maghala ila tu Kama itatokea njaa.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zimemtumia Putin barua ya onyo kwa mara ya kwanza

    Putin ktk mwezi wa Dec amerusha mabomu mengi kwa Ukraine mengine yame hit target while mengine Ukraine waliyadungua. Ila jambo Mrusi hakujuwa nchi za Magharibi walikuwa wakifanya ktk hali ya usiri mkubwa ni pale Nchi za Magharibi walikuwa waki monitor all movement za Mrusi kukusanya silaha na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia ameondoa zuio la mikutano ya vyama vingi sasa na si mara tu alipokabidhiwa madaraka?

    Kama wengi mlivyofuatilia leo Januari 3, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alifanya mkutano na viongozi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania. Pamoja na hoja mbalimbali alizozungumza mojawapo ni kuondoa zuio...
  15. JamiiForums Tanzania Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kukagua na kupokea madarasa 58 Serengeti

    Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza jasusi mbombezi Kagame anakwenda kuzidiwa kete DRC

    Wa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC. Zaidi ya nusu ya suppy ya madini muhimu yanayotumika kwenye technolia mbalimbali za kisasa kama lithium batteries yanatoka DRC. Kwa miaka mingi vita na vurugu za wanaoitwa "waasi" vimesababisha...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zapaswa kuacha mara moja uchochezi wa “kutengana na China”

    Shirikisho la Kuhimiza Biashara la China hivi karibuni limehoji zaidi ya makampuni 160 ya kigeni nchini China, na matokeo ya hojaji hiyo yameonyesha kuwa, asilimia 98.7 ya makampuni yana nia ya kudumisha na kupanua uwekezaji nchini China, na asilimia 10.2 yanapanga kuhamishia viwanda vyao nchini...
  18. JamiiForums Tanzania Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Habari! Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea. Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutokana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha. Kuna taasisi hazifai kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Putin asema yuko tayari kwa mazungumzo ya kumaliza vita

    Anasema Zelensky ndiye amekataa kumskliza wayamalize, huyu huyu Putin aliyempa Zelensky masaa 24 aihame Ukraine, huyu huyu aliyesema atakayeisaidia Ukraine asubiri kipigo, huyu huyu aliyegoma kupokea simu za Zelensky siku za mwanzo mwanzo, amefika mwisho, hali imemzidi, sasa amegeuza kibao na...
  20. JamiiForums Tanzania Toka 2000 CCM imebadili Wenyeviti mara 4, CDM na CUF hakuna

    WanaJf, Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023! Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka. Hii kweli inatuonesha kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…