Kwa mara ya kwanza jasusi mbombezi Kagame anakwenda kuzidiwa kete DRC

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
3,721
11,715
Wa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC.

Zaidi ya nusu ya suppy ya madini muhimu yanayotumika kwenye technolia mbalimbali za kisasa kama lithium batteries yanatoka DRC.

Kwa miaka mingi vita na vurugu za wanaoitwa "waasi" vimesababisha sehemu kubwa ya uchimbaji wa madini hayo kuwa wa holela na madini yanauzwa kwa magendo pasipo kuinufaisha DRC.

Mabeberu walijihakikishia suppy ya madini hayo kwa bei ya kutupwa kwani waasi na wauzaji wadogowadogo hawana namna zaidi ya kuuza kwa bei inayopangwa na mnunuaji.

Kagame amekuwa middle man kwenye hiyo biashara kwa miaka mingi, ripoti nyingi za kimataifa zinasema waziwazi kuwa serikali yake imekuwa ikifadhili waasi wa mashariki mwa DRC. In fact wengi wa waasi hao ni wanajeshi na vijana wa kinyarwanda. (Wanajeshi wa TZ walioenda mission DRC wanaujua ukweli).

Sasa DRC imepata rais smart, mtoto wa mjini, bwana Felix. Huyu jamaa kaenda kula dili na mabeberu moja kwa moja, na wamekubali (after all pressure ilianza kuwa kubwa huko kwa mabeberu, wananchi wakitaka unyonyaji unaofanyika DRC ukome). Mabeberu wamehakikishiwa secure supply ya madini itakayo wanufaisha wao na DRC. Plan mpya imewekwa mezani, na PK siyo sehemu ya plan hiyo. Mabeberu wote wamemgeuka PK.

Felix akizicheza karata zake vizuri, basi huu unaweza kuwa ndio mwanzo wa mwisho wa uhalifu wa miongo mingi mashariki mwa DRC, na Kagame anaenda kuachwa peke yake. Akijitutumua sana basi ajiandae kupewa chai.
 
DRC nao kwanini wasiwape silaha FDRL wapigane na Rwanda.iwe ngoma draw.
 
KWA sababu alijajifunga na dini tofauti na makundi mengine ya kihuni kama alshabab, alqaeda,boko haya yamefunga ndoa na dini japo dini yao inakataza mambo yao
Wote ni wale wale tu
Kuuwa kumekatazwa na dini zote ila hili neno la ugaidi kwanini liwe na ukakasi kwa wengine ?

Suala hapa ni ugaidi unapokuwa na kikosi cha mauwaji ni ugaidi tu

Dini ni pa kujifichia tu na PK ni gaidi tu kwani anawafadhili hao
 
Felix akizicheza karata zake vizuri, basi huu unaweza kuwa ndio mwanzo wa mwisho wa uhalifu wa miongo mingi mashariki mwa DRC, na Kagame anaenda kuachwa peke yake. Akijitutumua sana basi ajiandae kupewa chai.
Hali ya kisiasa huko Drc na duniani imemnyima PK 'free ride' ya kuivuruga Drc kama miaka ya nyuma, japo bado hao mamluki wake wa M23 na RDF wanashikilia maeneo makubwa.

mtu chake Moronight walker Count Capone
 
Wa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC.

Zaidi ya nusu ya suppy ya madini muhimu yanayotumika kwenye technolia mbalimbali za kisasa kama lithium batteries yanatoka DRC.

Kwa miaka mingi vita na vurugu za wanaoitwa "waasi" vimesababisha sehemu kubwa ya uchimbaji wa madini hayo kuwa wa holela na madini yanauzwa kwa magendo pasipo kuinufaisha DRC.

Mabeberu walijihakikishia suppy ya madini hayo kwa bei ya kutupwa kwani waasi na wauzaji wadogowadogo hawana namna zaidi ya kuuza kwa bei inayopangwa na mnunuaji.

Kagame amekuwa middle man kwenye hiyo biashara kwa miaka mingi, ripoti nyingi za kimataifa zinasema waziwazi kuwa serikali yake imekuwa ikifadhili waasi wa mashariki mwa DRC. In fact wengi wa waasi hao ni wanajeshi na vijana wa kinyarwanda. (Wanajeshi wa TZ walioenda mission DRC wanaujua ukweli).

Sasa DRC imepata rais smart, mtoto wa mjini, bwana Felix. Huyu jamaa kaenda kula dili na mabeberu moja kwa moja, na wamekubali (after all pressure ilianza kuwa kubwa huko kwa mabeberu, wananchi wakitaka unyonyaji unaofanyika DRC ukome). Mabeberu wamehakikishiwa secure supply ya madini itakayo wanufaisha wao na DRC. Plan mpya imewekwa mezani, na PK siyo sehemu ya plan hiyo. Mabeberu wote wamemgeuka PK.

Felix akizicheza karata zake vizuri, basi huu unaweza kuwa ndio mwanzo wa mwisho wa uhalifu wa miongo mingi mashariki mwa DRC, na Kagame anaenda kuachwa peke yake. Akijitutumua sana basi ajiandae kupewa chai.

Hizi ndiyo zile akili zetu sasa. Kwani beberu kaanza leo kumkomalia PK?

Yupo kwenye rekodi: PK huko nyuma kawahi kuwatoa baruti mabalozi wa ufaransa na ujerumani 24hrs kupotea.

Nakazia tathmini ya Uzi huu ni duni kabisa kumhusu PK bingwa wa kujua lini ku strike na lini ku retreat.

PK ni kachero siyo hawa wenye kujipa ubobezi usiojulikana.

Ukumbuke post hii: PK bado yupo yupo sana.

UK stops £21m aid payment to Rwanda

Hiyo miaka 10 iliyopita.
 
Hiyo ya mabalozi wa nchi za mabeberu kuamuruwa waondoke ni fake news. Tizama vizuri vyanzo vyako, walioko jikoni wanajua kunavyofukuta.

PK bado anajaribu diplomasia na hao mambwana wakubwa, so far wamemkazia.
 
Back
Top Bottom