mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Loren Japhet anahujumiwa sana, hii ni mara ya tatu sasa

    Hapa bongo ninadiriki kusema hakuna bondia wa kizazi hiki anayehujumiwa wazi wazi kama Loren Japhet. Kwa haraka haraka ninaweza nikakutajia fights tatu alizohujumiwa wazi wazi mpaka mashabiki tukabaki mdomo wazi. Fight ya kwanza aliyohujumiwa bila aibu ni ile fight dhidi ya Muhsin Alkasus...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Damu kutoka puani mara kwa mara

    Hello, Mtu mzima umri miaka 50+ anasumbuliwa na kutoka damu puani inatokea mara mbili hata zaidi kila wiki. Nini kifanyike kutoweka kwa hari hii, msaada tafadhali!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Binafsi navutiwa na sauti nzuri laini.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Dar, nashuhudia ukungu

    Aisee nimekumbuka nyumbani kwetu, hali ya ukungu ni kawaida. Leo ni mara yangu ya kwanza kushuhudia ukungu Dar yenu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Waafrica mara nyingi ndo wanaosababisha viongozi wao kuwa madictator bila kupenda kwao.

    Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mmoja mkoani Mara awapuuuza viongozi wa Mwenge na itifaki yake

    Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno. DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu. Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu. Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha...
  8. JamiiForums Tanzania Congo DR ni sehemu ambayo hata shetani hujiuliza mara mbili kwenda

    Ama kweli tembea uone! Congo DR, ni sehemu ambayo maeneo mengi ili ufanikiwe kutoboa, ni lazima uwe umehitimu ubabe kwa zaidi ya alama 1000%. DR, ndilo eneo ambalo maovu, umafia na hata unyama hutendwa hadharani! Mfano, mgeni usafiripo kwa kupitia mpaka wa Kasumbalesa kwa roli kwenda...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Askari Polisi atuhumiwa kumuua raia Arusha kwa kumpiga risasi 3, Wananchi wamtuhumu kwa mauaji ya mara kwa mara

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe kuingia shambani. Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Olaresho, Kata ya Olasiti katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Akizungumzia tukio...
  10. JamiiForums Tanzania Kikwazo ambacho Marekani aliyomuekea Uchina kimemrudia mwenyewe

    Baada ya Marekani kuiwekewa vikwazo sekta ya utengenezaji wa chips ya China, China nayo imelipiza kisasi kwa kuwekea udhibiti wa mauzo ya nje(export) kwenye madini ya gallium na germanium, hizo ni metal mbili muhimu zinazohitajika katika utengenezaji wa chips. China inachangia 98% ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi ya waliokuwa vigogo NIC yakwama mara ya pili mfululizo

    Kesi ya kuchepusha fedha na kulisabishia hasara Shirika la Bima la Taifa (NIC) ya Sh 1.8 bilioni, inayowakabili washtakiwa saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Sam Kamanga, imeshindwa kuendelea mahakamani. Kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 18/2023 imeshindwa kuendelea leo...
  12. JamiiForums Tanzania Nilivyoacha pombe kwa mara moja kwa kutumia psychedelics

    Habari zangu ni nzuri na zilizojaa furaha baada ya kufanikiwa kuacha pombe. Kama mtumiaji mzuri niliyokubuhu wa pombe takriban miaka mitano nilikuwa na pambana sana na nafsi yangu kuacha hii kitu, nikijitahidi sana naweza kukaa wiki ila nilikuwa nakunywa kila siku. Kwa kuhangaika kwangu...
  13. JamiiForums Tanzania Nani alilipia gharama za Dkt. Slaa na Lipumba kuponda maraha Kigali mara baada ya kuisaliti UKAWA mwaka 2015?

    Mwaka 2015, uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Rwanda factor. Dk. Slaa na Lipumba, mara baada ya kuisaliti UKAWA, walipelekwa kwa ndege ya kukodi mpaka Kigali, wakawekwa kwenye hoteli ya kifahari sana na ulinzi mkali wakipewa Kila wanachotaka. Walikula maisha sana, baadae, Kila mmoja akapewa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

    Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato. Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima tunaosafiri kwenda Mkoani Mara tupite Mkoani Mwanza? Hakuna Chocho lingine la kufika haraka?

    ONYO Ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkerewe na Mnyamwezi tafadhali kaa mbali na huu Uzi kwani nina uhakika kwa Ushamba wenu mkubwa hakuna mnachokijua na wote huwa hamna Ratiba za Kusafiri kutokana na kutokuwa na Pesa kama tulizonazo Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma )...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wakikukuta una upwiru unaweza hata kufikiria kuoa, kumbe ni bomu

    Mimi niwe mkweli, yule binti kidogo niweke makazi permanent pale sababu mambo alonipa sikuwahi kuyapata popote pale hapo kabla. Cha kushangaza siku naenda kwake kumchukua akanipe maburudani tena si nikakuta kulikua na shuhuli (wao wanaita hivo), anacheza kashika dela linaonesha pichu kabisa na...
  17. JamiiForums Tanzania Ushahidi huu hapa yanga bingwa mara 29

    Kutokana na Mjadala alio Uanzisha zakazakazi Afisa habari wa Azam FC. Kuwa Yanga sio Bingwa Mara(29)bali Yanga ni Bingwa Mara(22)na Simba bingwa Mara 21. Mjadala Umekuwa Mkubwa Wengi wakikosoa ya Kuwa zakazakazi Kahamua Kukaza Fuvu tu. Ukweli ni Kwamba Mimi Muandishi wajuzi tu hivyo historia...
  18. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mara ni moja ya mikoa ya iliyo nyuma kimaendeleo katika nchi hii

    Nimefika wilaya ya Tarime daah ni hovyo kwelikweli, stand ni mbaya. Hakuna daladala zaidi ya probox mnawekwa hata 10 hadi kwenye buti huko. Sehemu kubwa ya wilaya na mkoa ni pori tu, ikifika saa mbili watu wamelala mji hauna watu. Maji ni tatizo japo wamepakana na ziwa victoria. Watu wa huko...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

    Jirani anatapa tapa!! Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili...
  20. JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Anaandika Zakazakazi, YANGA SIYO MABINGWA MARA 29 NA SIMBA SIYO MABINGWA MARA 22 Hii ni changamoto kwa wadau wote wa soka nchini Tanzania; wachambuzi, waandishi wa habari, mamlaka za soka na serikali kwa maana ya wizara ya michezo na baraza la michezo. Fanyeni utafiti na mje na majibu sahihi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…