mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Leo Waziri Mkuu Majaliwa ni kusifia tu, kila mara utamsikia "Piga makofi mengi kwa Rais"!

    Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Mkoa wa Mara Wapamba Moto

    MBUNGE AGENS MARWA ACHANGIA UJENZI NYUMBA YA KATIBU UWT MKOA WA MARA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa amekabidhi mifuko 10 ya Saruji katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Mkoa wa Mara ikiwa ni sehemu ya matofali 1000 pamoja na laki tano (500,000) zilizotumika kununua...
  3. JamiiForums Tanzania Mara yangu ya kwanza kupiga punyeto!

    Nilibaatika kusoma shule ya vipaji maalumu tu punde baada ya kumaliza darasa la saba,, uko nilibaatika kukutana na marafiki wa aina mbalimbali, Shule yetu ilikua ni ya bweni. Ambapo ilikua ni jinsia moja tuu, kama mnavyojua kwamba, "kwenye msafara wa kenge MAMBA naye huwa akosekani...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoponda ajira ni umasikini / utumwa mara nyingi wazazi au ndugu zao wana ajira za chini sana

    Oh, Ajira ni utumwa Oh, kuajiriwa ni manyanyaso Huwa hawanaga utofauti sana na wale waliokulia maisha ya kimasikini ambao ni rahisi sana kuwajua siku hizi, ukisikia mtu anatumia sana msemo maarufu " Tafuta pesa" ni kwamba huyo kuna uwezekano mkubwa sana kakulia maisha ya kimasikini sana. Basi...
  5. JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

    Huko nyuma tuliwahi kumchambua Tundu Antipas Lissu na kuhitimisha siyo presidential material. Amekuwa akiropoka ropoka hovyo bila kupima athari za kauli zake na mbaya zaidi mbali ya kunyanyapaa wapinzani wake wa kisiasa pia hana majibu ya matatizo yaliyopo. Ukikosoa kwamba mkakati huu haufai...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SIRI: Timu yetu ya Taifa Stars isipokuwepo na promo ya media,ahadi za wanasiasa,kocha akipanga timu mwenyewe bila shinikizo mara nyingi tunafanikiwa

    Mods naomba msiunganishe hii thread! Leo hii kila Mtanzania akiwa na Furaha baada ya timu yetu ya Taifa Stars Kufuzu Afcon mwakani. Sasa kila Mtanzania ana uhakika wa Kukaa kwenye TV na kuona Vijana Wetu wakiliwalisha Taifa Huko Ivory Coast... Sasa tumegundua ya kuwa timu yetu Ili kufanikiwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mbona mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ya mara kwa mara hayaleti tija yoyote kwa mwananchi wa kawaida?

    Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri, lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana. Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati. Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na...
  8. JamiiForums Tanzania RPC Mara Salum Ramadhan Morcase ni mchapa kazi haswa

    Nina miaka sasa zaidi ya 10 katika mkoa wa Mara. Katika kipindi chote hicho nimeshuhudia makamanda wengi wa polisi wa huu mkoa wanavyowajibika ila kwa huyu mkoa umepata kamanda haswa! Anasikiliza matatizo ya Wananchi na kuyafanyia kazi haraka iwezekanavyo. Halewi madaraka, ni mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Mara ngapi umekutana na mtu uliyedhani amefariki kitambo? Na nini ulifanya?

    Sizungumzii misukule kama ile ya mikoa ya kanda ya ziwa ambapo watu huzika mtu halafu akaokotwa baada ya muda miji ya mbali. Nazungumzia vile hujamuona mtu fulani au mzee wa eneo bila kuuliza au bila kupata habari zake kiuhakika baadae ukamuona siku ya siku kwenye mishughuliko yake. Vile vile...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto hii, imekuwa ikijirudia mara kadhaa

    Habari za asubuhi, naomba mnisaidie waungana kama kutakuwa na mtu ana uelewa na ndoto. Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikiota nimeibiwa hereni zangu, nahitaji kujua maana ya hii ndoto. Inasemwa kwamba kila ndoto mtu anayoota inakuwa na maana, naomba msaada katika hili Asanteni.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Doto Biteko, ishi na watu wa Pwani kwa akili; siyo mara zote wanapenda mtu aliyepo serious

    Kuna njia nyingi za kummaliza mwanasiasa kisiasa; moja ya njia hizi ni kuteua na kutumbua bila kutoa kupewa sababu ya kuteuliwa na bila sababu ya kutumbuliwa. Kanda ya Ziwa ni eneo moja wapo ambalo kwa bahati mbaya halina wanasiasa wenye nguvu katika bunge la sasa. Mhe. Magufuli alihakikisha...
  12. JamiiForums Tanzania Nini siri ya Bashungwa kuhamishwa Wizara kila mara?

    Wakuu salama Innocent Bashungwa ambaye jana ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi amekuwa Waziri anayehamishwa Wizara mara nyingi sana. Nini hasa kipo nyuma ya Bashungwa kuhamishwa Wizara kila mara? Ukiangalia tangu atotolewe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo na kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara mnamo...
  13. JamiiForums Tanzania Mila ya ‘kumaliza msiba’ inavyowatesa wanawake Mara

    WATANI ZANGU SOMENI SHULE KAMA SISI KUONDOA MILA HIZI POTOFU Mila ya ‘kumaliza msiba’ ni miongoni mwa mila kandamizi zinazoendelea katika baadhi ya makabila mkoani Mara inayotweza utu wa mwanamke anayetakiwa kujamiiana na mwanaume yeyote pindi anapofiwa na mumewe kwa madai ya kujisafisha...
  14. JamiiForums Tanzania Nilivyokula tunda kwa mara ya kwanza

    Wana JF shusheni visa vyenu kuhusu jinsi ulivyokula tunda kwa mara ya kwanza na ulifanyaje
  15. JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha Prigozhin hii ni mara ya pili kufa kwa ajali ya ndege

    Bado dunia iko kwenye kizungmkuti cha kinachoitwa kifo cha Boss wa Wagner PMC Prigozhin na wenzake katika ajali ya ndege. Huyu mwamba aliwahi kufeki kifo chake hivihivi kwa jina lake kuonekana lilikuwemo kwenye list ya watu waliosafiri. Hii ilikuwa ni ajali ya ndege iliyotokea Congo mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

    Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate. Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja.. This is true of Haji in the USA, akifika...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, mara ya mwisho kula hii kitu ilikuwa lini?

    Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo. Hivyo vyote hapo juu vina madhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu ya Luhaga Mpina mkataba wa DP-World

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUHUSU MAPENDEKEZO YA KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI...
  19. JamiiForums Tanzania Taifa linapitia kipindi kigumu. Huyu ndiyo kocha wa Biashara Mara

    Edina Lema ndie kocha msaidizi wa biashara united ya mkoani Mara. Hongereni wanajeshi wa mpakani. Nasema hongereni hasa viongozi wa juu!
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

    Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi. Tatizo huwa ni nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…