PM express cargo tunasafirisha mizigo kutoka China kwa njia ya anga

Wamisosi

Senior Member
May 22, 2012
131
74
Habari za kazi wanjukwaa,

Kampuni ya PM EXPRESS CARGO tunapenda kuwataarifu kuwa tunasafirisha mizigo kutoka China Kuja Tanzania kwa bei nafuu kabisa. Tunaendelea na upokeaji wa mizigo ya kawaida katika ofisi zetu China Guangzhou ratiba ya week hii ndege itaondoka China kuja Tanzania jumanne ya tarehe tarehe 09/05 mwisho wa kupokea mzigo ni Jumapili tarehe 07/05.

Bei zetu ni rafiki na huduma zetu ni bora mpatie supplier wako address yetu

TUPIGIE/WHATSAPP:+255753623611

Karibu tukuhudumie.

IMG-20230503-WA0009.jpg
 
Gharama ya kusafirisha mzigo wa kilo kumi ni bei gani? Je inahusha pamoja na kodi za TRA?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hapa boss inategemea na aina ya mzigo kama ni mzigo wa kawaida gharama yake ni kila kg 1 = 12.5 usd discount ipo kulingana na uzito na idadi ya transaction kilakitu pamoja na kodi vinahusika kwa gharama hiyo
 
Safi mkuu majibu mazuri mnatoa, vp kwa mizigo ya chini ya 1kg mnafanyaje
 
Sawa,
Simu 4 hazifiki hata hata uzito wa kilo moja zote kwa ujumla. Hopefully gharama za simu zote jumla ni hiyo US$ 12.5 mpaka na kodi humo humo.
Simu gharama zake ni tofauti na mizigo mingine zenyewe zinachajiwa kwa full box na bila box, karibu sana.
 
Mizigo imewasili kutoka china
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom