mara ya kwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa mara ya kwanza Sayansi inaweza kumgundu mtu mchawi

    Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana. Vitu nitakavyo gusia ni 1. Mambo ya kidini (Kikiristo). Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho 2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine Learning 3. Brain Computer Interface Technology (BCI) 3.Teknolojia ya BCI ya Kusoma na Kutafsiri Mawazo...
  2. Aibu kubwa kwa Mhimili wa Mahakama: Kwa mara ya kwanza Watanzania wafikiria Kuandamana kupinga Mahakama kuingiliwa na Serikali.

    Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
  3. Tanzania kurusha chombo Angani kwa mara ya kwanza

    Tanzania, kupitia Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satelaiti yake angani, ifikapo mwaka 2026. Chombo hicho, kitakuwa cha kwanza kurushwa angani na nchi hiyo, baada ya kuongezeka kwa ujuzi, ubunifu na teknolojia. Chuo cha DIT kilianza mpango huo toka mwaka 2024...
  4. Ayatollah Khamenei ajitokeza hadharani kwa mara ya kwanza

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mzozo wa Iran na Israel, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Picha za runinga ya serikali zilimuonyesha akiwasalimia waumini kwenye msikiti siku ya Jumamosi kabla ya tamasha la...
  5. Kwa mara ya kwanza leo nimepigana

    Katika makuzi yangu sikumbuki lini niliwahi kupigana na mtu na hata kama nilipokuwa najikuta niko kwenye ugonvi silaha yangu ilikuwa mdomo😁 nilipokuwa/huwa nikion naona mambo yamezidi nanyamaza na kuondoka eneo la tukio ili nsije bandwa😂! Kumbe bwana nilikuwa na ji underrate kumbe ninaweza...
  6. Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kula tunda

    Wakuu salaaam.. Moja kwa moja kwenye mada Leo nilipata kutembelewa ofisini na bibie mdogo miaka 18 hivi. Katika moja na mbili nikatupia ndoano kumvua kimwana huyu mzuri wa sura na shape. Ilivyo bahati ikabidi tuandae mazingira ya kula hapo hapo ofisini mida ya jioni saa mbili kasoro. Piga...
  7. Manusura pekee wa Air India aongea kwa mara ya kwanza

    Tofauti na ilivyokuwa inasemwa kwamba aliruka kupitia mlango wa dharura si kweli.. Kwa maneno yake mwenyewe baada ya ajali alitoka kwa miguu yake akitembea hadi nje alipokutana na ambulance na kumbeba Alikuwa kakaa siti no 11A Pia anasema sekunde chache kabla ya ajali aliona moshi ndani ya...
  8. W

    Inakuwa ngumu kuamini kwa mara ya kwanza watanzania wanazungumzia zaidi siasa wakati Derby ya Simba na Yanga iliyojaa ukakasi inakaribia

    Sio Tanzania niliyoizoea hii, Tanzania nayoijua inapokaribia Derby Talk of the town huwa ni Simba na Yanga. Tena hii derby inayokaribia imejaa ukakasi kama itachezwa au lah, kuna kiu ya kuona TFF watatoa maamuzi gani, kurahisisha kwa maneno machache, Tanzania niliyozoea ilibidi kuwe na debates...
  9. Q

    Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

    Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba. Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji. Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
  10. Kwa mara ya kwanza na-report Mzumbe university first year nilikua disappointed sana na mazingira

    Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania kwa Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa kama ifuatayo Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali barabara zote zinapigwa lami Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali kunapigwa pavement hapawi na vumbi Vyoo vinatoa maji 24/7...
  11. Sitasahau Kwa mara ya kwanza nilishindwa kusimamisha mbele ya binti

    Mjimushileee....!! Ilikuwa maisha ya chuo yaani maswala ya kuishi geto la kupanga uswahilini. Nyumba niliyokuwa nimepanga kulikuwa na nyumba kubwa ambayo akiishi baba mwenye nyumba na familia yake pamoja na baadhi ya wapangaji, na nyumba ndogo ya uwani ambyo iliweza ku accommodate watu 3. mimi...
  12. Mara ya kwanza kupita rough road ilikuaje?

    Aisee mimi sitosahau, yule dereva sijui alikua kaweka mafuta gani yaani, na yeye ndie alikomalia tupite huko. Sababu ile tumeianza tu rough road pembeni nikaona tope la manjano na harufu ile ikanishinda kabisa. Nakumbuka nilitapika dirishani na sikua na hamu ya kula wala kupita road yoyote tena...
  13. Toka simba acheze shirikisho kwa mara ya kwanza kapata kipimo sahihi

    Toka simba acheze aya mashindano leo ndo kapata kipimo sahihi, na pia kagoma na ngoma wanatakiwa wa level up game yao wapo slow , sio creative, deffencesively kagoma ana cheza faul nyingi sana kitu ambacho ni hatari, mbele pia kibu na mpanzu sio wabunifu, wakikabwa kidogo tu hawana plan b...
  14. S

    Kwa mara ya Kwanza Mwanamke anagombea URAISI hapa Tanzania

    IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi. Na hii itatokana na ridhaa ya...
  15. Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

    Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
  16. Sperm Race: Mashindano yafanyika kwa mara ya kwanza Los Angeles

    Oyaaah, wazee wa kazi. Tutunze afya zetu aisee!!! Naiona fursa ya kupiga pesa ileeeeeee inasogea. Huko USA wazee wa kazi wamekuja na mashindano ya riadha ya manii, sampuli za WAZUNGU zinachukuliwa kutoka kwa washindani, zinawekwa kwenye kifaa cha microscope vijusi vilivyomo kwenye WAZUNGU...
  17. PreGE2025 Kibatala: Lissu kagoma sababu sheria imekiukwa, alipaswa awepo kwanza mahakamani kusomewa Mashtaka kwa mara ya kwanza kabla ya kuhamishiwa mtandaoni

    Ripoti kutoka Mahakamani, Wakili Peter Kibatala amesema Lissu amegoma kusikiliza kesi yake Mtandaoni sababu sheria imekiukwa, alipaswa awepo kwanza mahakamani kusomewa Mashtaka kwa mara ya kwanza kabla ya kuhamishiwa mtandaoni. Kibatala anasema yeye na mawakili wenzake walienda Jela, Ukonga...
  18. Jinsi mrembo alivofanya niende mahabusu kwa mara ya kwanza

    habarin wakuu leo nataka nishare na nyie jinsi mrembo huyu alivonifanya niswekwe mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ilikua ni siku ya jumapili ya tarehe 30 mwezi march mwaka huu nilipokuwa na mrembo huyu wakuitwa x tulipokua tumetoka kazin mida ya saa mbili kasoro usiku sasa akawa...
  19. Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?

    Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza? Tuangalie the power of Patnership Katika online business Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
  20. Video: Papa Francis aonekana kwa mara ya kwanza hadharani kupitia dirisha hospitalini

    Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka Hospitali ya Gemelli, Rome, kabla ya kurejea Vatican kwa mapumziko ya miezi miwili. Daktari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…