mara ya kwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina arejea Bungeni kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu yake ya sakata la Sukari

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina leo tarehe 07 Novemba, 2024 amerejea tena Bungeni kuedelea na vikao vya Bunge baada ya kufungiwa kutokuhudhuria vikao 15. Adhabu iliamuliwa na wabunge wengi kupitia kura baada ya Mpina kushindwa kuthibitisha madai yake dhidi ya Waziri wa Kilimo. Pia...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hezbollah Naim Qassem leo jumatano Oktoba 30 kutoa hutuba nzito sana kwa Dunia, ni mara ya kwanza tangu achaguliwe

    LATEST UPDATES: Newly appointed Hezbollah leader vows to continue Nasrallah’s war against Israel By Gianluca Pacchiani Follow Today, 4:00 pm In his first address after his appointment as new Hezbollah leader, Naim Qassem says he intends to continue the “work program” of his predecessor...
  3. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka umeme kwenye godown

    Nataka kuweka umeme kwenye godown langu la kuhifadhi nafaka. Je wiring ya mwanzo inakimbilia kwenye laki tano au mafundi wananipiga
  4. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania DIARA KUFUNGWA LEO KWA MARA YA KWANZA

    -Naitazama Forward Line ya Simba yenye Ateba,Kibu na Balua kisha naitazama Defense Line ya Yanga yenye Yao,Boka Job na Bacca. Yanga wakimkosa Bacca leo akacheza Mwamnyeto namuona Ateba akienda kushangilia kwenye kibendera... Namuona Diarra akienda kuokota mpira kambani kwa mara ya kwanza msimu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sean 'Diddy' Combs kufikishwa Mahakamani leo kwa mara ya kwanza

    Rapa na Mfanyabiashara Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kuwasilishwa mbele ya jaji Arun Subramanian katika mahakama ya Manhattan, Alhamisi hii majira ya mchana, akitokea gereza la Brooklyn. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Combs kukutana na jaji katika kesi inayomhusisha biashara ya ngono...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Marekani na Urusi wanaweza kuungana kumpa nguvu Israel dhidi ya Iran

    Israel na Russia walikuwa maadui tangu zamani sana ,uadui wao ulijulikana sana miaka ya 1947 kipindi cha Cold War mpaka miaka ya 2000. Miaka ya 2000 mpaka sasa Israel na Russia wakaanza kuwa Marafiki hiyo ni kutokana na sababu kuu 3 :- 1. Kuingia katika uongozi wa Russia Pro-Israel Vladimir...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Natembelea Wilaya ya Igunga kwa mara ya kwanza. Wenyeji mniambie maeneo ya kula, kunywa na kulala. Yawe mazuri.

    Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.
  8. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona mara ya kwanza baada ya kuagiza kitu ebay

    Nilikuwa sijawahi kufanya manunuzi ya kitu mtandaoni, kwa mara ya kwanza tarehe 5/08/2024 nilifanya manunuzi ya miwani ya macho katika mtandao wa eBay, hii ni baada ya miwani yangu kupasuka. Niliingia katika mtandao wa eBay, nikasearch aina ya miwani ninayoitaka, nilishangaa sana bei...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Putin, ameanza kuona gharama za ya Vita. Mara ya kwanza alikuwa anasoma sana Threads za JF akapotoshwa?

    Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine. Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya...
  10. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa GGML waaanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. Sasa watatumia Umeme wa TANESCO badala ya Mafuta

    MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA 📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) 📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali 📌 Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa 📌 TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 hadi 3 kwa mwezi Naibu Waziri...
  11. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Boss kaniomba msamaha kaniambia "l'm sorry you can't continue work with us" Kwisha!

    Habari za mchana huu. Leo nimeshangaa sana Yani boss aniombe msamaha kumbe ana jambo lake haya maisha.
  12. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Umeme wafika Kisiwani Chole kwa mara ya kwanza toka uhuru

    uhuru dar24.comJul 21, 2024 5:14 AM Shirika la Umeme Tanzania – TANESCO, Mkoa wa Pwani limefanikiwa kufikisha Umeme katika kisiwa cha Chole kilichopo Wilayani Mafia, ambacho hakijawai kuwekwa Umeme tangu uhuru kwa kuupitisha chini ya Bahari. Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati Meneja wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa Upasuaji wa Uzazi (C-Section) wa kuokoa maisha ya Mama na Mtoto ulikuwa ukifanyika Nchini Uganda kabla ya Bara la Ulaya?

    Upasuaji wa kwanza wa Uzazi (C-Section) ulifanikiwa kufanyika Barani Afrika, ambapo Mama na Mtoto wote walikuwa salama, mara nyingi ujuzi huu, ingawa Daktari Mwingereza, James Barry amekuwa akihusishwa zaidi na upasuaji huu kutokea Cape Town, Afrika Kusini. Caesarian Section (C-Section) ni...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni Jina gani lilikushtua ulipolisikia kwa mara ya kwanza

    Eti, ni jina gani ulisikia kwa mara ya kwanza na hukutegemea kuwa ni la mtu? Tiririka...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa kuagiza cheti kipya Cha kuzaliwa kama Cha mara ya kwanza kimekosewa?

    Habari Wana JF cheti changu Cha kuzaliwa kimekosewa spelling tu kwenye jina la baba na ukoo sasa nauliza ni sawa nikiagiza cheti kipya au ni mpaka nifate taratibu za kubadili? Maana Niko mbali na nilipochukulia cheti na taratibu zinasema niende nilipochukulia
  16. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Kwa mara ya kwanza nimeona kenya

    Kwanini rais wetu mpendwa hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Shida ni nini hasa?? Nishamuona akihojiwa na BBC!! Nao wanadai wamemuomba na kusubiri muda mrefu mpaka kukubaliwa!! Je hii ndio kusema Vyombo vya habari havina uwezo au Mkuu wa nchi haoni haja ya kuhojiwa na...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume "kwa mara ya kwanza kubebesha msichana mimba" nulikuwa na umri gani, ulijisikiaje alipokwambia ana mimba yako?

    Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya kaskazini na kanda ya kati na kanda ya ziwa. Sasa , kijana wewe ulimpa msicha mimba ukiwa na umri gani na...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Urusi wapoteza ndege ya kisasa Su-57

    Ukraine bado wanaendelea kumtia aibu supapawa wenu, sasa sijui nani atawaokoa maana juzi hapa tuliona hata Iran kubwa lenu alishindwa kufanya chochote kwa Israel hata baada ya kutuma makombora 300, yeye alipigwa moja tu ndani kwa ndani. Urusi ambayo huwa mnaitegemea iwalinde imeshindwa kufumua...
  19. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje ukapata Gono mara ya kwanza? Je, aliekuambukiza ulimdhania anaweza kuumwa ugonjwa huo?

    Hebu tupeane experience. Mie gono ya kwanza kabisa nilipata mwaka 2012, na dem alonipa ni alikua kisu balaa tena chuoni na nilihangaika kinoma kumpata, sikutegemea kama angekua anaumwa ugonjwa aina hiyo kwa classy alokua anajiweka.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    "Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
Back
Top Bottom