mapya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Ni kweli Brigedia Mohammad Naghdi amesema Vita ikirejea tutawapiga kwa makombora mapya, yaliyotengenezwa mwezi huu?

    Kumekuwa na chapisho linalosambazwa na watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa Mohammad-Reza Naghdi, Kamanda Mwandamizi wa jeshi la Iran, amesema: “Marekani haina cha kutupangia. Tunazalisha makombora kila siku, na yapo mengi bila kupumzika. Ikiwa vita itarejea safari hii, tutahakikisha...
  2. M

    Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi

    Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi Source. Gazeti la mwananchi mtandao Nimeshindwa kuipata story kamili baada ya website ya mwananchi kuweka tozo kwa kila anaetaka habari zake jambo ambalo ni KINYUME ZA MKATABA WA KIMATAIFA KUPATA HABARI WAKATI WOWOTE
  3. jamaikatz

    Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee

    Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee
  4. M

    Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  5. PAYE

    Samia: Mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchi nzima zihakikishe kunatengwa maeneo ya kijani na upandaji miti

    Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
  6. Mad Max

    Tesla wasitisha Autopilot ya bure kwenye magari yao mapya! Ukihitaji utaipata kwenye FSD kwa $99/month!

    Imekua officially. Tesla wamesitisha Autopilot kwenye magari yao yote ya kuanzia mwaka 2026 nakuendelea. Kwa sasa utapata basic cruise control (itakayo ongeza na kupunguza speed) na traffic awareness kama speed detection, signs nk., lane centering kwenye highway nk. LAKINI kukata kona...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
  8. JITU BANDIA

    Pole, Na Karibu Kaanani Mpya na Makao Mapya! Cry no more!. (For those who are living in the future!)

    Ni wengi tuliokuwa nao katika hii safari, wachache wametuacha siku chache tu zilizopita...kimwili hatuko nao, kiroho tuko nao...mashujaa wetu...wengi walitamani kuifikia hii nchi ya ahadi, lakini wametuacha.... tufurahi pamoja katika nchi mpya ASEMA BWANA WA MAJESHI!... Jaribu kuishi nami mbele...
  9. Yoda

    Waziri wa Afya Marekani aibua madai mapya ya kutahiri kuchochea usonji(autism)

    RFK Jr adai vijana wanaotahiriwa hasa wakiwa wadogo wengi wanakuwa katika hatari ya kupata usonji.
  10. Msanii

    Unafiki wa media kutoripoti kero za wasafiri wa Mwendokasi, lakini media zote zimeripoti mabasi mapya UDART

    Media zetu Tanzania zinatusaliti au ni waoga? Sikusikia wala kuona vyombo vya habari vilivyosajiliwa wakihabarisha kero za wasafiri wa Mwendokasi. Taarifa nyingi zimetufikia kupitia Social Media na hapa JamiiForums. Lakini baada ya serikali kutoa mabasi mapya ya UDART, tunaona vyombo vikuu vya...
  11. Kitomai

    Kitabu kinauzwa: Gundua Siri za Ndani Yako: Nguvu, Mawazo na Maisha Mapya

    MJUE MWANADAMU NA NGUVU ZILIZOMO NDANI YAKE Kitabu hiki ni mwongozo wa kujitambua, kuelewa nguvu za mawazo, ndoto, mapenzi na nguvu ya tendo la ndoa, pamoja na mbinu za meditation. Kinaeleza jinsi mawazo yanavyogeuka hisia na vitendo, siri za maisha ya ndani na nguvu zilizojificha ndani ya...
  12. GENTAMYCINE

    Tafadhali nyie Walumbi na Washititi wa Lugha ya Kiswahili haya Maneno Mawili ya Kimsamiati mapya ya Lugha ya Kiswahili yana maana gani?

    1. Kuvumbula, Kuvumbulwa na Kuvumbulana 2. Kipochi Manyoya
  13. F

    Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  14. The Zanzibar Echo

    Urusi yaanzisha mashambulizi mapya magharibi mwa Ukraine

    Urusi imerusha mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora magharibi mwa Ukraine usiku kucha katika moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya mabomu katika wiki za hivi karibuni, maafisa wa Ukraine wamesema. Mashambulizi hayo yaliripotiwa huko Zaporizhzhia, Dnipropetrovsk, na Lviv, ambapo mtu...
  15. Nyani Ngabu

    Mapya ya ‘awamu ya sita’!

    Hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana! Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana. Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno. Na mifano yake ni mingi sana...
  16. Moto wa volcano

    Kwenye mahusiano kila mtu ana mapungufu yake , kumuacha mtu ni kutafuta mapungufu mapya kwako

    Usifikirie kubadilisha mahusiano ndio hautakutana na matatizo/ changamoto . Kila mtu atakuja na changamoto zake mpya. Kuna muda jifunze human nature , mapungufu madogo ya mpenzi wako yavumilie. Unaweza ukamuacha mtu m baya ukakutana na m baya zaidi. Ukasema ni afadhali yule
  17. M

    Je, Mafundi Wetu Ndio Wanaangamiza Magari Mapya? Tuchambue Ukweli

    Magari mapya yanayoingia nchini, hasa yenye plate mpya kama D au E, yamekuwa yakikumbwa na matatizo makubwa ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kutumika. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu chanzo cha matatizo hayo. Uchambuzi unaonesha kuwa, licha ya uwezekano wa kuwepo kwa magari mabovu...
  18. jerry spare parts service

    Lack of Proper Diagnosis Tools – Sababu Kubwa ya Magari Mapya Kuungua au Kuharibika Mapema

    Moja kati ya sababu kuu zinazochangia magari mapya – hata yale yenye namba mpya kama plate E – kuharibika mapema, ni ukosefu wa vifaa sahihi vya utambuzi wa matatizo (diagnosis tools) kwenye karakana nyingi hapa nchini. Katika miaka ya karibuni, magari mengi yamekuwa ya kisasa zaidi, yakiwa na...
  19. Busu la Kenge

    Lissu na Gwajima wameleta maneno mapya kwenye Kiswahili Uchwara na Ponjoro

    Kama mnakumbuka 2016 mheshimiwa Tundu Lissu Rais wa awamu YA 7 alianzisha hili neno uchwara Kwa kumuita dikteta uchwara. Na sasa hivi askofu wa kanisa la uzima na ufufuo ndugu Josephat Gwajima Kaja na ponjoro.
  20. Y

    Mapya yaibuka : Wajue majini mustwafain na ujenzi wa peramidi za giza-Misri

    Naam , Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Chanzo cha maarifa haya ni sheikh Sharifu Sultan, akiwa katika mfululizo wa vipindi vyake katika chaneli ya moja kwa moja ya Manara TV. Sifahamu kuhusu elimu yake ya kizungu kuhusiano na ujenzi huo wa kale lakini, nondo anazoshusha...
Back
Top Bottom