mapokezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Nafsi ya Joh Makini imeshindwa kukubaliana na ukweli Mchungu kuhusu mapokezi duni ya wimbo wake mpya uitwao "Bobea"

    Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla. Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya ziada ku push wimbo kwenye social networks (jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na.mwanamuziki wa...
  2. Mwl.RCT

    Kishindo cha Lissu Ngorongoro! Mkutano wa Kuvutia na Mapokezi ya Kishujaa

    https://youtu.be/lkdsG7HDqiU = = = Video source | mwanzoTV
  3. blogger

    Haya Mapokezi yalikuwa si ya kawaida. Haikuwa rahisi mtu yeyote kuchomoa huu mtego.

    Hamjiulizi. Wametuzidi akili. Hakuna mtu angechomoka hapa..
  4. Stephano Mgendanyi

    Mapokezi ya Mhashamu Askofu Mkuu Protase Rugambwa aliyeteuliwa na Papa Francis kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora

    Ifucha, Tabora Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Leo tarehe 25 Juni, 2023 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki kushiriki adhimisho la Misa Takatifu ya kumpokea Mhashamu Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa alieteuliwa na Baba Mtakatifu , Papa Francis kuwa Askofu Mkuu...
  5. The Burning Spear

    Bandari inapigwa Mnada wewe unashangilia Yanga?

    Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously. Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni...
  6. D

    Yanga wapewe mapokezi ya heshima. Wanastahili kwa viwango vyote

    Timu ya Daresalam Young Africans imehitimisha safari yake salama na kuwa BINGWA NAMBA MBILI AFRICA, wa kombe la shirikisho. Klabu ya Yanga, wanachama na Wapenzi wa Michezo wenye moyo wa uzalendo, wanaombwa kuwapa MABINGWA No 2 mapokezi ya heshima. Kazi walioyofanya ni kubwa haswa KUSHINDA...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Mapokezi makubwa ya kamanda mwenzetu Lissu jijini Kahama

  8. NetMaster

    Kamati ya mapokezi, Kuna wanawake ukionekana nao watu wanakuona wewe ni mgeni wa mji ama mgeni wa mapenzi

    Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko wageni wa mapenzi hujifunzia na wageni wa mji hupokelewa. Mbaya zaidi unakuta watu wanakuangalia tu...
  9. Msanii

    Lile nyomi la mapokezi ya Lema lililetwa na malori mangapi?

    Sisi WanaCCM tumezoea kusombwa na malori kwenda kupokea viongozi wa kitaifa wanapokuja kufanya ziara za kichama hata kiserikali. Baada ya uminywaji wa demokrasia kwa miaka zaidi ya 8, hatimaye vyama vya siasa vimeruhusiwa kuanza kufanya shughuli zao kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi...
  10. Tindo

    Ushauri kwa Chadema kwenye mapokezi ya Lema

    CHADEMA wanapaswa kuweka mbele agenda yake ya katiba mpya kila wanapopata nafasi. Ni vizuri leo katika ujio wa Lema wawe na mabango makubwa ya katiba mpya. Mapokezi ya Lisu sikuona pia mabango ya katiba mpya. Matokeo yake wanaonekana wanajikita zaidi kwenye watu kuliko agenda. Ni vizuri...
  11. BARD AI

    Mbowe na Askofu Bagonza kuongoza mapokezi ya Lema KIA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe anatarajia kuongoza mapokezi na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema, Machi Mosi mwaka huu, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na viongozi kadhaa wa dini. Lema aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kuanzia mwaka 2010 hadi...
  12. Countrywide

    Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

    Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium. Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa...
  13. Erythrocyte

    Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

    Hakika bado wapo Watanzania wanaoililia nchi yao kutokana na ukweli kwamba hakuna tena viongozi wenye uchungu nao, sasa anapokuja mtu kama Tundu Lissu aliyejidhihirisha wazi kutetea wananchi ni lazima hali kama hizi zijitokeze.
  14. MSAGA SUMU

    Mapokezi ya Lissu yatakuwa yamemvunja moyo sana Lema

    Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, Makamu Mwenyekiti, amewahi kugombea Urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk, amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje? Nashauri kamati ya mapokezi ijaribu kutumia njia nyingine kutuepusha na aibu sisi BAVICHA iliyoko mbele yetu. Msigwa na...
  15. Countrywide

    Wananchi wamesusa mapokezi ya Lissu. CHADEMA imefeli

    Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe. Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika? Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja...
  16. Erythrocyte

    Mapokezi ya Tundu Lissu yapamba moto, apangiwa kuhutubia taifa jukwaani siku hiyo hiyo Temeke

    Taarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yamekamilika, ambako wanachama wa CHADEMA na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020 kabla ya Sarakasi za Dr. Mahera, wametakiwa kujipanga kuanzia uwanja wa ndege hadi Temeke. Habari...
  17. happyxxx

    Mkutano wa CHADEMA VS Mapokezi ya Mandonga: Kwa nini Mandonga kapata watu wengi zaidi?

    Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu. Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro. Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali. Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi...
  18. Tajiri wa kinyankole

    Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi. --- Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema alichokisema Mbunge Dkt. Bashiru...
  19. chiembe

    CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru, yakiri ni mwanachama hai wa chama hicho, akilipia kadi yake

    Kina tetesi kwamba Bashiru amekuwa na vikao vya Siri sana na viongozi wa juu wa CUF. Moja kati ya mambo waliyojadili ni mapokezi makubwa ya Bashiru Ally Kakurwa ambaye muda si punde atarejea kwenye chama chake Cha CUF. it's wa chama Cha CUF ambao waliomba majina yao yasitajwe, walieleza kwamba...
  20. Roving Journalist

    Mapokezi Rasmi ya Rais Samia Nchini China

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022 ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama...
Back
Top Bottom